Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,145
- 3,765
Ukraine ilipiga kambi mbili za Urusi nchini urusi mamia ya maili kutoka mpaka wake kwa kutumia drones za enzi za Usovieti za Tu-141 zilizofanyiwa marekebisho.
Marekebisho hayo yanaonyesha uwezo wa sekta ya ulinzi ya Ukraine kufanya uvumbuzi, wakati Urusi inalazimika kununua ndege za Iran ili kuendesha vita vyake vya anga. Na inazua maswali iwapo Ukraine inaweza kuendelea kufanya mashambulizi kama hayo katika wiki zijazo.
Ukraine kwa muda mrefu imeomba drones na makombora ya masafa marefu kutoka kwa washirika wake wa Magharibi, lakini Marekani na Ulaya hadi sasa zimekataa kutimiza maombi hayo kwa kuhofia kutumiwa kushambulia ndani ya Urusi.
Mkumbuke drone hizo sio kemikaze jamani.
mzigo unapiga kazi halafu unarudi ulikotoka salama wasalimini.
source
politico.