Dina Beluarte awa Rais wa kwanza Mwanamke Nchini Peru

Dina Beluarte awa Rais wa kwanza Mwanamke Nchini Peru

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
9,434
Reaction score
10,970
Moja kwa Moja kwenye mada.

Kama ilivyo Ada Dunia inazidi kuwaamini wanawake huku Marais wa Kiume wakionekana Ni mafisadi wasiojali.

Hii inajili baada ya Bunge la Peru kumuondoa Madarakani Rais Pedro Castillo kutokana na Ufisadi na nafasi yake kuchukukiwa na mwanamama Dina..

Pedro Castillo Mwalimu wa zamani wa shule ya Msingi aliyefanikiwa kuwa Rais anashutumiwa kwa ufisadi na uasi.

Hongera Sana kina mama maana sio tuu mna weza Ila sehemu kubwa Ni waadilifu kapo wahini wachache wapo Kama kina Christian Kishner wa Argentina.👇

Screenshot_20221208-142546.png
 
Sawa boss naona mwewe mwekundu kwenye jiji jipya na mpangaji wake kitalu A namba 51 amefurahi kupita maelezo Dina Ercilia Boluarte Zegarra ni msikivu wakili wa watu na mwanasiasa wa Peru huru
Mimi nawakubali Sana kina mama,wale wa jinsia nyingine Ni mafisadi Sana.👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221208-163735.png
    Screenshot_20221208-163735.png
    147.1 KB · Views: 8
Dah nchi zenye democrasia hizi sasa, , , wanamtoa raisi

Kwetu hata samia atutukane taifa zima matusi ya nguoni hatuna la kumfanya
Ajaribu tu kutukana wanaume was kanda ya nyanza tu kama hatoenda pangoni zenj basis atakuwa kabukini
 
Back
Top Bottom