Rais Ramaphosa apona kuondolewa madarakani

Rais Ramaphosa apona kuondolewa madarakani

Breaking bad

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,464
Reaction score
3,497
Bunge la Afrika Kusini limepiga kura kumlinda Rais Ramaphosa kuondolewa madarakani.

Chama tawala ANC kimemkingia kifua huku wabunge wanne tu kutoka chama hicho waliounga mkono hatua ya kumwajibisha. Wengine zaidi ya 200 walipinga.

Wabunge kutoka upinzani wengi waliunga mkono Rais awajibishwe baada ya kukutwa na makosa ya wizi kufuatia ripoti ya tume huru iliyowasilishwa Bungeni.

Chanzo: Al Jazeera

my take: ANC kama CCM vile.
 
Raha ya jf Iko dynamic mada sasa ni rangi hahaaa turudi Sasa Sauth Africa
 
Hao wanachama waliomkingia kifua hata huku kwetu magharibi wapo. Mtu anafanya upuuzi alafu ana panga safu ya walamba asali ili wamkingie kifua. Nyambafu kabisa.

NB
Ignorance is eating Africa.."
 
Back
Top Bottom