Nimeona nikumbushie kidogo kutoka katika Historia kuwa Tarehe 16 March 1938, Hitler alivamia eneo la Czechoslovakia la Sudetenland kwa madai kuwa eneo hilo lilikuwa na wajerumani wengi ambao...
Waziri Mkuu wa Japan anasema nchi yake iko ukingoni kutoweza kufanya kazi kama jamii kwa sababu ya kushuka kwa kiwango cha kuzaliana
Fumio Kishida amesema suala hilo linahitaji ufumbuzi sasa...
Kwa taarifa zilizopo mpaka sasa inasemekana linalojiita shirika la afya Duniani(WHO) linatarajiwa kutangaza mwisho wa janga la korona huko Davos, uswizi siku ya January 27
Macron comments on heavy tanks for Ukraine
Paris is cautious of “escalating” the conflict, the French leader has said
French President Emmanuel Macron and German Chancellor Olaf Scholz at a...
Ujerumani itapeleka vifaru vya kivita nchini Ukraine iwapo tu Marekani itafanya hivyo pia, kwa mujiru wa ripoti kadhaa.
Kansela Olaf Scholz yuko kwenye shinikizo kubwa la kimataifa na ndani ya...
Tukio limetokea ndani ya ukumbi wa muziki wakati watu wenye asili ya Asia wakisherekea Sikukuu ya Lunar maeneo ya California.
Polisi wamesema mwili wa mshukiwa Huu Can Tran (72) umekutwa kwenye...
Urusi, Afrika Kusini na China kuanza mazoezi ya kijeshi February 23.
Urusi, Afrika Kusini zatetea mazoezi ya kijeshi na China
Afrika Kusini na Urusi zimetetea uamuzi wa kufanya mazoezi ya pamoja...
*Congratulations to those who were not vaccinated! *
Your persistence is absolutely wise and correct! *
FDA loses case!
Pfizer forced to disclose vaccine side effects data!
9 pages of side...
This is how crazy the Climate Cult has become.It wants every person’s carbon dioxide emissions to be regulated to 3 tons per year.A normal person emmits 10 tons of CO2 per year.This effectively...
Serikali ya drc imesema kwamba imekamata majasusi wa Rwanda jijini Kinshasa. Ambao walifanikiwa kujipenyeza na kuwa ba mawqsiliano na maofisa wa juu wa jeshi la congo.
Majasusi HAO walikuwa...
Kudos Wadau..
Serikali ya Ghana imetangaza kuongeza Mishahara ya Watumishi wa Umma Kwa Asilimia 30% huku ikijaribu kupambana na mfumuko mkubwa bei ,Nchi kufilisika Kwa kuelemewa na kushindwa...
Kwa siku za hivi karibuni Ukraine imekuwa ikiiomba sana Ujerumani wawapatie vifaru vya kivita aina ya Leopard 2 Tanks ambavyo wengi wa wataalam wa kivita wanaamini kwamba vinaweza kuleta...
There is no guarantee that Kiev will be able to defeat Moscow’s forces, Aleksey Arestovich has said
Aleksey Arestovich, a former adviser to President Vladimir Zelensky.
Ukraine has squandered the...
Takriban watu milioni 1.1 waliandamana katika mitaa ya Paris na miji mingine ya Ufaransa huku kukiwa na mgomo wa kitaifa dhidi ya mipango ya kuongeza umri wa kustaafu - lakini Rais Emmanuel Macron...
Mmoja wa watoto wa mtawala mkongwe wa Equatorial Guinea amekamatwa na kuwekwa kizuizi cha nyumbani kwa tuhuma za kuuza Ndege inayomilikiwa na Shirika la Ndege la Taifa kinyume cha sheria.
Kw a...
Kamishna wa sera za kimataifa wa Umoja wa ulaya anasema magharibi wanatakiwa waendelee uisaidia Ukraine kwa sababu Urussi wana sifa ya kupambana mpaka mwisho. Na anatahadharisha wale wanaofikiri...
Habar wana jamii nauliza. Je, covid 19 imeishia wap naona wale wazungu walokua wanaweka lockdown leo wana socialize kawaida je ni kwambo covid ipo au ilikua ni siasa tuuh
Na cha kushangaza zaidi...
Ni Rish Sunak wa Uingereza
Source: Sky news
Hii kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla haiwezekani
----
Waziri Mkuu wa Uingereza, Rishi Sunak amepigwa faini kwa kutofunga mkanda kwenye gari...
Shirika la ujasusi la Marekani (FBI) limenasa nyaraka 6 za ziada na hati zilizoandikwa kwa mkono kufuatia upekuzi wa kina katika makazi ya Rais Joe Biden huko Wilmington, Delaware, Marekani...