Kuishinda Urusi si jambo rahisi, tuendelee kuisaidia Ukraine- Kamishna EU

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,735
6,281
Kamishna wa sera za kimataifa wa Umoja wa ulaya anasema magharibi wanatakiwa waendelee uisaidia Ukraine kwa sababu Urussi wana sifa ya kupambana mpaka mwisho. Na anatahadharisha wale wanaofikiri kuwa Urussi anashindwa hii vita wajue kuwa Urussi ana historia ya kushinda vita na mapigano ya muda mrefu. Amekazi a hilo kwa kukumbushia kuwa Urussi walishamshinda Napoleon na Hitler katika vita ndefu na nzito sana kupiganwa katika historia.
-----------------------------

EU foreign policy commissioner Josep Borrell said on Friday that the West must keep sending weapons to Kiev, warning those who think Russia has lost or is doing poorly that Moscow has a history of winning long wars.

“Russia is a great country, a great nation that is used to fighting to the end, almost losing and then recovering,” Borrell said in a speech in Madrid, bringing up the 1812 invasion by Napoleon Bonaparte’s French empire and the 1941 invasion by Adolf Hitler’s Germany as historical examples of this.

“It would be absurd to think that Russia has lost the war or that its military is incompetent,” Borrell added.

He claimed that so far Moscow “has been losing the war but it still has enormous strength and capacity to continue [fighting].”

Because of this, he said, “now is the time to continue arming Ukraine with the necessary material and military means to wage the kind of war it has to wage.” He described this as “not only a defensive war but one that allows it to take the initiative and break fronts and prevent Russia from launching a new, very powerful and bloody offensive in a few months.” (Hii kauli nimeogopa sana aisee)

Borrell’s invocation of Napoleon and Hitler was unusual, as Moscow has repeatedly compared the current efforts by the collective West with the two invasions, known as the Patriotic War and the Great Patriotic War, respectively.

Napoleon led a multinational army recruited from all across French-dominated Europe and reached Moscow, but failed to compel Russia’s surrender. The war ended with Russian cavalry on the streets of Paris two years later. Hitler’s effort, also aided by numerous continental allies and vassals, fell just short of Moscow. The Axis armies were savaged at Stalingrad and turned back at Kursk, with Russian soldiers taking Berlin in 1945.
 
WANASEMA GREAT COUNTRY KISHA MLA MLENDA WA IGURUSI ANASEMA WA MCHONGO. ELIMU ILIKUFA BAADA YA MSONDE KUINGIA BARAZA
 
Medvedev amesema NATO ijiandae na iwe tayari kwa vita ikitokea maslahi ya Urusi ndani ya Ukraine yanaporwa au Urusi akishindwa vita Ukraine tena sio vita tu bali ni vita ya Nuclear.

Mwaka huu vita ya tatu ya Nuclear inapiganwa ,Mungu aepushie mbali
 
Anapigika kiutamu!!!
mkuu uelewe vita yèyote ya Haqi wanaoipigania watakuwa
Walikuwepo roman empire, napolion,...
Imebaki stori
 
Kuongea kwa akili huko.
"Kuishinda Urusi ni ngumu lkn tuendelee kuichangia silaha ukraine".

Kwa kifupi hapa anamaanisha kua waachane na hii vita kwa sababu hawawezi kuishinda Urusi.
 
Huyo anaongea nini mbona hata historia hafahamu. Urusi hii hii iliyowahi kupigwa na Japan mwanzoni mwa karne ya ishirini na kuchakazwa tena na Finland miaka arubaini baadaye.
 
Acha tukae upande aliokaa Nemes Tarimo Ila daah sio mchezo vyuma vile vinapiga mwilini vinauma alafu vina Moto,
Mbaya zaidi vina pekenyua pekenyua ilivipenye
Shenzi kabisa
JamiiForums7472029.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Medvedev amesema NATO ijiandae na iwe tayari kwa vita ikitokea maslahi ya Urusi ndani ya Ukraine yanaporwa au Urusi akishindwa vita Ukraine tena sio vita tu bali ni vita ya Nuclear.

Mwaka huu vita ya tatu ya Nuclear inapiganwa ,Mungu aepushie mbali
We want to see God creation, vipi haviwezi vikaundwa na kukaa miaka na miaka kama mapambo!.tunataka hizo nuclear zifanye kazi acha Ulaya ibanjuane.
 
Huyo anaongea nini mbona hata historia hafahamu. Urusi hii hii iliyowahi kupigwa na Japan mwanzoni mwa karne ya ishirini na kuchakazwa tena na Finland miaka arubaini baadaye.
Hakuna nchi ambayo haikuwahi kupoteza vita Kwani usa kilichomfanya atumie nuclear dhidi ya japan nikitu gani au usa na vietnam nini kilitokea?
 
Back
Top Bottom