International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Sierra Leone Alhamisi imepitisha sheria inayolazimisha mashirika ya umma na kibinafsi kutenga asilimia 30 ya kazi zao kwa ajili ya wanawake, katika juhudi za kukabiliana na ukosefu wa usawa wa...
0 Reactions
1 Replies
763 Views
Januari 19, huko Wenzhou, mkoa wa Zhejiang, China, katika makazi ya Luyuan, Wilaya ya Lucheng, wakazi waliwafundisha wanafunzi wa kigeni kuandika neno "Fu" (linamaanisha "baraka" katika lugha ya...
3 Reactions
0 Replies
461 Views
Salamu off kidogo. Iraq, Libya, Syria, Vietnam, Afghanistan, Cuba n.k Hayo mataifa yote yalikipata cha mtema kuni pale yalipojaribu kutofuata matakwa ya Marekani. Yalichakazwa vibaya TENA NDANI...
2 Reactions
51 Replies
3K Views
Mlanguzi wa dawa za kulevya Joaquin "El Chapo" Guzman ameomba msaada kwa Rais wa Mexico kutokana na madai ya mateso ya kisaikolojia anayopata katika gereza la Marekani. "Katika miaka sita ambayo...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Word has been received that Klaus Schwab, head of the World Economic Forum (WEF), has banned pilots who are vaccinated for covid from flying globalist attendees to and from Davos, Switzerland for...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
American national has been reportedly killed in action while fighting for the government of Ukraine. He has been identified by the US media as Timothy Griffin, from New York State. Griffin’s...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Nchi ya Indonesia inanuka moshi kila mahali, suala la uvutaji wa sigara nchini limefanywa ni ruksa kila mahali. Vichanga migongoni wanavuta hadharani. Watoto majumbani wanavuta hadharani...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Magaidi 33 wa kiislamu ambao humpigania "mungu" wa waislamu wameuawa. Pakistani security forces have retaken a police station that was captured, killing all 33 hostage-takers, the defence...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Naomba kufahamu undani wa hii taarifa aliyoipost kijana wa millad ayo kwenye mtandao wa Facebook.
3 Reactions
70 Replies
5K Views
Mnamo tarehe 14 Januari , jeshi la Ukraine liliripoti kwamba Urusi ilipiga jengo refu katika Dnipro kwa kutumia kombora la aina ya X-22 lililofyatuliwa kutoka kwenye kifyatuzi cha bomu Tu-22m3 juu...
5 Reactions
35 Replies
4K Views
Magaidi kwenye jimbo la Niger (ambalo asilimia 98% ni waumini wa dini isiyopenda kutajwa humu), wamemchomea ndani kasisi wa katoliki huku kasisi mwingine akapigwa risasi alipojaribu...
3 Reactions
50 Replies
3K Views
Sijui kama felix anakomboa Kongo au anazidi kuipoteza Congo. Wakongomani tulimtukana Katumbi kwa kusema sio mkongomani sijui maneno mengi alivyosema kuna ya kuachana na vita hivi tujenge kwanza...
0 Reactions
1 Replies
952 Views
Kwenye kitongoji kilichoko kusini mwa mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, kuna jengo moja la kisasa linalong'aa chini ya anga ya bluu na mawingu meupe. Jengo hili ni awamu ya kwanza ya mradi wa...
0 Reactions
2 Replies
532 Views
M-Tanzania Mkaazi wa Mjini Tanga auliwa kwa Kupigwa Risasi na Polisi wa Afrika ya kusini.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Central Banks to begin using digital currencies soon and it won’t matter whether people are ready for it.This is a huge development for humanity. Wednesday, January 18, 2023 A report published...
0 Reactions
2 Replies
716 Views
18 JANUARY 2023 The CEO of Pfizer, Mr.Albert Bourlaw wasintercepted by New Media in Davos, Switzerland. It quickly became clear Mr. Bourla was not prepared for the questions asked by the...
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Mwanahabari huyo mashuhuri na Mmiliki wa Radio M, ambayo hurusha mijadala mbalimbali kuhusu Siasa za Algeria, aliwekwa rumande Desemba 29, 2022 kwa kushutumiwa kupokea pesa kinyume cha Sheria...
0 Reactions
1 Replies
586 Views
Urusi imewashutumu maafisa wa ujasusi wa Ukraine kwa kuhusika na mauaji ya Darya Dugina, binti wa mmoja wa wafuasi wakuu wa Rais Vladimir Putin. FSB, kitengo cha usalama wa ndani cha Urusi...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Makamu wa Rais wa Gambia, Badara Joof, amefariki dunia. Alifariki baada ya kuugua kwa muda mfupi, kulingana na tweet ya Rais wa Gambia, Adama Barrow. “Ndugu zangu wa #Gambia, ni kwa moyo mzito...
0 Reactions
2 Replies
948 Views
Leo tena naona kama kawaida makombora ya Urusi yanaendelea kurindima katika miji ya Ukraine. Je hii mifumo ya Patriot ya Marekani haipo? Au mibovu? My take: 1. Nashauri mama Samia ampigie...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom