Japan yatangaza kukabiliwa na ongezeko dogo la watu kuzaliana

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,117
Waziri Mkuu wa Japan anasema nchi yake iko ukingoni kutoweza kufanya kazi kama jamii kwa sababu ya kushuka kwa kiwango cha kuzaliana

Fumio Kishida amesema suala hilo linahitaji ufumbuzi sasa, vinginevyo halitowezekana tena. Japan ina idadi ya watu milioni 125, huku ikikadiriwa kuwa na watoto chini ya 800,000 waliozaliwa mwaka 2022 tofauti na mzaliano wa miaka ya 1970, idadi hiyo ilikuwa zaidi ya milioni mbili.

Japokuwa nchi nyingi zimeripoti kupungua kwa idadi ya uzao mpya, lakini suala hilo ni kubwa sana nchini Japan ambako umri wa kuishi umeongezeka katika miongo ya hivi karibuni, ikimaanisha kuwa kuna ongezeko la idadi ya wazee, na kupungua kwa idadi ya vijana ambao ndio wafanyakazi.

Kwa mujibu wa data za Benki ya Dunia, Japan sasa inashika nafasi ya pili duniani kwa idadi kubwa ya watu wenye umri wa miaka 65 na zaidi takriban 28% ikifuatiwa na jimbo dogo la Monaco.

===============

Japan's prime minister says his country is on the brink of not being able to function as a society because of its falling birth rate.

Fumio Kishida said it was a case of "now or never."

Japan - population 125 million - is estimated to have had fewer than 800,000 births last year. In the 1970s, that figure was more than two million.

Birth rates are slowing in many countries, including Japan's neighbours.

But the issue is particularly acute in Japan as life expectancy has risen in recent decades, meaning there are a growing number of older people, and a declining numbers of workers to support them.

Japan now has the world's second-highest proportion of people aged 65 and over - about 28% - after the tiny state of Monaco, according to World Bank data.
 
Japan ni miongoni mwa nchi ambazo watu wake wana IQ ya juu sana duniani sasa wakikaribisha watu weusi hiyo IQ itashuka vibaya na haya wanayoyafanya leo hawatayafanya tena na yatabaki kuwa historia tu.

Watu wenye akili ya kukimbizana na mwenge kweli uwakaribishe kwenye nchi yako, utakuwa huipendi nchi yako, watu ambao hawajui kwamba kodi wanazolipa ndio bajeti ya serikali ila wao wanafikiri pesa za maendeleo ni hisani inayotolewa na rais.
 
Na kinachowacost hao watu ni jamii yao kutokuchangamana na mataifa mengine
 
Kuwa na familia kubwa unayoweza ihudumia ni vizuri maana watakusaidia huko mbele
 
Ngoja tumalize kiko kwanza
1674556607637.png
 
Japan ni miongoni mwa nchi ambazo watu wake wana IQ ya juu sana duniani sasa wakikaribisha watu weusi hiyo IQ itashuka vibaya na haya wanayoyafanya leo hawatayafanya tena na yatabaki kuwa historia tu.

Watu wenye akili ya kukimbizana na mwenge kweli uwakaribishe kwenye nchi yako, utakuwa huipendi nchi yako, watu ambao hawajui kwamba kodi wanazolipa ndio bajeti ya serikali ila wao wanafikiri pesa za maendeleo ni hisani inayotolewa na rais.
🙄🙄
 
Back
Top Bottom