Kiongozi wa upinzani wa Belarus Sviatlana Tsikhanouskaya, aliyeko uhamishoni, Jumatatu amepewa kifungo cha miaka 15 jela, licha ya kutokuwepo nchini, baada ya kupatikana na hatia ya jaribio la...
Watoa huduma hao wanaofanya kazi na Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) wametekwa wakati wakiwa barabarani Kaskazini Mashariki mwa Miji ya Gao na Kidal.
Mali imekuwa na changamoto ya...
Kwa wanaojua kizungu: angalia bolded lines
Ethiopia’s Prime Minister Abiy Ahmed held a meeting with opposition parties, here’s what was discussed
Ethiopia's prime minister, Abiy Ahmed, has turned...
Hii imetokea leo jijini Kishansa baada ya Macron kusema DRC imekua dhaifu na kushindwa kuimarisha serikali na jeshi lake.
Hivyo waasi wamekuwa wakitumia usdhaifu huo kuihujumu DRC. Hasa maeneoya...
Japo kamji kenyewe ka chumvi na hakana maana yoyote, lakini kwa namna Warusi wamejitoa mhanga ili kukateka, imeibua maswali, maana wanajeshi wa Urusi wanapukutika kwa mamia kila siku ila bado...
Baada ya msanii maarufu kutoka Kongo, Fally Ipupa kupost kwenye mtandao wake wa instagram picha akiwa na Rais wa Ufaransa, Emanuel Macron.
Wananchi wa hasira kali wanaodaiwa ni wanachama wa...
Kiongozi wa Chechnya ambaye ni kipenzi mkubwa wa Putin amepongeza na kusema kuwa shughuli za jeshi binafsi la Wegner zimemfurahisha hivyo anasema ataanzisha jeshi maka hilo pale atakapotoka...
Mohammad Ibrahim Bazzi ambaye amekua akifadhili magaidi ya Hezbollah, amekamatwa pamoja na utajiri wake wote..
========
ALebanese and Belgian citizen considered a key financier of Hezbollah has...
Mbabe wa Dunia Marekani ameionya China kwamba Itakabiliwa na Vikwazo vya kiuchumi ikiwa itaisadia Urusi silaha.
Marekani inaratibu vifurushi vya vikwazo pamoja na washirika wake Ili...
PRESIDENT Donald Trump has been proven right about the origins of Covid-19 coming from a Chinese lab.
Writing for DailyMail – Mr Trump, who is running for president in the United States again...
Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale.wakuu yeyote ambaye ana mwangaza wowote au connection za kwenda nje hata kuzamia kutafuta life naomba anisaidie sababu na ndoto ya kutafuta life katika...
[emoji1078][emoji632]
Wakati ambapo matarajio ya Wakongomani walio wengi yakiwa ni kumsikia Rais wa Ufaransa akiilaumu angalau Rwanda waziwazi kwa uvamizi wake dhidi ya Jamhuri ya kidemokrasia ya...
Z-Library ni digital library ambayo imejipatia umaarufu wake Duniani kwa kuwa na nakala za vitabu zaidi ya 11,733,087 pamoja na Articles 84,837,643.
Z-Library pia ina aina za nakala kama...
Urusi ilitegemea kutumia musimu wa baridi kali yenye theluji ili ijaribu kuiparamia Ukraine, ikapiga miundo mbinu ya umeme kwa kutumia mizinga ya kila aina, ila Ukraine wamekomaa mpaka musimu...
Wanadiplomasia wa Marekani na Urusi wamezungumza kwa ufupi pembezoni mwa mkutano wa mawaziri wa mambo ya kigeni kutoka kundi la nchi 20 zilizopiga hatua kiviwanda G20, mkutano ulioshindwa kutoka...
Vanessa Bryant atalipwa na Maafisa wa Polisi na Zimamoto wa Kaunti ya Los Angeles zaidi ya Bilioni 65 za Kitanzania kwa kusambaza Mtandaoni picha za Ajali Mbaya ya Helkopita iliyoua Mumewe na...
Mkuu wa kampuni ya masuala ya kijeshi nchini Urusi, Wagner Group, amesema wapiganaji wake wameuzunguka mji wa Bakhmut mashariki mwa Ukraine, ambao Urusi imekuwa ikijaribu kuutwaa kwa miezi kadhaa...
Mwaka jana wakati wa uvamizi wa Urusi wafuasi wengi wa Putin na washangiliaji wa uvamizi wake walikuwa wakijinasibu kwamba ushindi wa Urusi katika vita utahitimishwa kwa kipindi cha majira ya...
Nilifikiri Moise Katumbi ni mjanja kumbe bado anatumia siasa zile za kupana sijui vitenge sijui mapipi sijui nini
Kuliko kujikita zaidi katika siasa za akili.
Afrika ukiwa chama pinzani hata uwe...