Mamia ya wafuasi wa Upinzani wameanza maandamano ya Siku 3 kupinga hatua ya Rais Macky Sall wa Senagal kupanga njama za kubadili Katiba Ili kumuwezesha Kugombea muhula wa 3.
Wafuasi hao wengi...
Kimbunga hicho kinachoambatana namvua na upepo mkali kimesababisha mafuriko na uharibifu wa makazi na miundombinu na kuna uwezekano wa kongezeka kwa madhara zaidi.
Mashirika ya misaada yanaonya...
MAOFISA WA NATO NA MAREKANI WAUAWA NA URUSI MJINI KIEV NCHINI UKRAINE
Mashambulizi ya ndege za anga za Urusi yaliyofanywa tarehe 09/03/2023 yaliweza kuvunja mahandaki mjini Kiev kwa makombora...
Marufuku hiyo ni kuanzia leo Machi 14, 2023 baada ya Shirika la Kitaifa la Kudhibiti Ubora, Ushindani na Ulinzi wa Walaji (Rica) kusema kuwa nyama ambayo haijawekwa kwenye jokofu ina vimelea...
Idadi ya waliofariki upande wa #Malawi ni 99 na 10 kwa Msumbiji wakati 16 wakiwa hawajulikani walipo Nchini Malawi.
Inaelezwa kutokana na mvua kubwa inayoambatana na upepo mkali zaidi ya nyumba...
Mahakama ya Rufaa ya Kazi Nchini humo imeamuru Wahudumu wa afya kurejea kazini na kusitisha mgomo ulioathiri utoaji na upatikanaji wa huduma katika baadhi ya hospitali kubwa.
Tangu wiki...
Sioni dalili ya kuisha hii Vità Leo au Kesho làkini vitazidi kusambaa.
Na wakati huu Viongozi wa Afrika hasa ukanda wa Jangwa la Sahara kama hawatakuwa na maamuzi ya Hekima Kuna Hatari maisha...
Maelfu ya madaktari wa ngazi ya chini waliojiunga hivi karibuni katika taaluma hii wapo kwenye mgomo kote Uingereza wakidai malipo bora, ambapo wameanza siku tatu za usumbufu mkubwa katika...
Kulingana na Bhutan Live,India na Bhutan zina uhusiano maalum wan chi mbili na Bhutan ina sehemu kubwa zaidi ya bajeti yake inayotengwa kwa ajili ya wizara ya mambo ya nje(MEA) chini ya misaada na...
Waasi ambao inadaiwa wana uhusiano na kikundi cha Oromo Liberation Army wamelaumiwa kwa kuhusika katika tukio hilo la utekaji wa wafanyakazi zaidi ya 10 wa kiwanda cha simenti kinachomilikiwa na...
MAKOMBORA 81 YALIRUSHWA NA JESHI LA URUSI NA KULENGA MAENEO MUHIMU.
Mkuu wa jeshi la Ukraine ameswma kwamba, jeshi la Urusi limerushwa makombora 81 yakiwemo makombora sita ya Kinzhal.
Makombora...
Moja kwa moja.
Mamlaka ya mji wa Berlin nchini ujerumani imepitisha uamuzi huu baada ya mwanamke aliyeondolewa kwenye bwawa la kuogelea bila nguo kuchukua hatua za kisheria.
Mamlaka zinadai kuwa...
According to The Bhutan Live, India and Bhutan share a special bilateral relationship.
Bhutan has the most significant share of the allocated budget for the Ministry of External Affairs (MEA)...
Mamlaka ya elimu nchini Malawi imezifunga shule katika wilaya 10 kutokana na wasiwasi wa usalama baada ya Kimbunga Freddy kusababisha uharibifu katika nchi jirani ya Msumbiji.
Kwa mujibu wa BBC...
Polisi nchini Malawi wamesema takriban watu 15 wamefariki na wengine 16 hawajulikani walipo kutokana na uharibifu uliosababishwa na dhoruba ya kitropiki Freddy.
Pamoja na kukatika kwa mawasiliano...
As the so called spiritual music and other music dominates our social media as influencers, they capitalize on expensive aesthetically emotional techniques.But there are easier, cheaper more...
Jana ulikuwa usiku muhimu kwa ulimwengu wa sanaa ya filamu duniani. Tuzo kubwa na maarufu zaidi duniani katika sanaa ya filamu za Academy au maarufu kama Oscar Awards zilitolewa kwa washindi...
Mexico imevutiwa na muungano wa BRICS na imetoa maombi ya kujiunga.
Naona kifo cha Dola na Ubeberu wa Washington kinafuata
Watu wengi hawaelewi dhamira ya Russia kupigana kwa kurelax huko...
UNITES ARAB EMIRATES YATAMKA KUACHANA NA MANUNUZI YA MFUMO WA ULINZI WA ANGA KUTOKA ISRAEL.
Urudishwaji wa mahusiano mema kati ya Saudia na Iran umeanza kuathiri Israel mara baada ya raisi wa UAE...
Kwanini serekali wanatumia nguvu nyingi kubagua sisi watu ambao tumetoka katika mikoa ya waswali.
Yaani kukitokea mtu yeyote ambaye ametoka katika mkoa wa waswali na akawa mpinzani anapewa uraia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.