Vita ya Dunia vitakapokuwa rasmi, kama Mtanzania unajiandaa vipi?

Pearce

JF-Expert Member
Dec 15, 2018
577
1,381
Sioni dalili ya kuisha hii Vità Leo au Kesho làkini vitazidi kusambaa.

Na wakati huu Viongozi wa Afrika hasa ukanda wa Jangwa la Sahara kama hawatakuwa na maamuzi ya Hekima Kuna Hatari maisha yakawa kama kitu ambacho Congo inakipitia.

Pia eneo la Uchumi au mfumo wa Uchumi utapata shida na pia tutakuwa na Wazungu wengi watakaohamia Afrika na hata kuchukua Uraia na wengi wataenda ishi America ya Kusini.

Lakini nachoona matokeo hasa Russia kuendelea sana kutumia mbinu zake za WW2 artillery na Missile na huku akitumia Pia Human Wave haitampa matokeo au malengo anayotarajia sababu Russia sio Tena USSR kuweza kupata Manpower kubwa kuweza Sacrifice watu milioni 27 kwa muda wa miaka 4.

Kwahyo ataangalia sana kupata washirika Asia na Afrika Mimi nadhani tumuombe Mungu awape Hekima Viongozi wa bara la Afrika kuepuka Uharibifu utakaofuata baada ya hapo.

Lakini hii itaipa nafasi China kuwa taifa kubwa linalofuatia yaani Superpower na ataichukua Taiwan kwa makaratasi tu bila kutumia nguvu
 
Wakati wengine wanakimbilia bunduki mi nitakuwa nakimbilia ilipo misosi kuhakikisha kipindi chote cha vita sifi njaa
Sijui unachokisema Mkuu kama unafikiria kwa usahihi.

Maana Vita vinapokuwa vikali kitu kinachokufanya upate Msosi kwa haraka ni kujiunga na jeshi.

Otherwise utaishia kula wadudu matunda pori Paka na Mbwa Tena hasa miji inapokuwa imezungukwa na maadui hakuna kuingia au kutoka.
 
Sijui unachokisema Mkuu kama unafikiria kwa usahihi

Maana Vita vinapokuwa vikali kitu kinachokufanya upate Msosi kwa haraka ni kujiunga na jeshi

Otherwise utaishia kula wadudu matunda pori Paka na Mbwa Tena hasa miji inapokuwa imezungukwa na maadui hakuna kuingia au kutoka
Nami sitakuwa mjinga kusubiri mpaka vita viwe vikali
 
Ikitokea sasa,kwa afya na umri wangu ,Nita survive tu...wa kuwaona huruma ni watoto na wakina mama.
 
Wakati wengine wanakimbilia bunduki mi nitakuwa nakimbilia ilipo misosi kuhakikisha kipindi chote cha vita sifi njaa
Hahahah na haya ndio malengo ya special WW3 Operation 🤣🤣🤣 lazma yatimie kwa gharama yeyote ile.
 
Sijui unachokisema Mkuu kama unafikiria kwa usahihi.

Maana Vita vinapokuwa vikali kitu kinachokufanya upate Msosi kwa haraka ni kujiunga na jeshi.

Otherwise utaishia kula wadudu matunda pori Paka na Mbwa Tena hasa miji inapokuwa imezungukwa na maadui hakuna kuingia au kutoka.
Haujamuelewa vema. Soma tena alichokiandika hapo juu.
 
Back
Top Bottom