International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Serikali ya Ethiopia hivi karibuni imefanya hafla ya kushukuru watu, makundi na serikali zilizochangia mchakato wa amani nchini humo. Tangu serikali ya Ethiopia na Jeshi la Ukombozi wa Watu wa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Boti hiyo iliyokuwa imebeba wahamiaji wakielekea Barani Ulaya imezama katika Pwani ya Libya ilikuwa na abiria 60. Watu watano wamesalimika akiwemo mtoto raia wa Syria, huku Wanausalama wakiwa na...
0 Reactions
6 Replies
671 Views
China ndio ilikua tegemeo la Urusi na kwa hali inavyokwenda hali inabadilika... Pia balozi mpya ameteuliwa kuwakilisha Ukraine China Zelensky appoints ex-minister for strategic industries as...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Watu hao wakiwemo Wanaume 17 na Wanawake 7 walikamatwa na Polisi Februari 23, 2023 wakiwa katika Semina iliyoandaliwa na MUCO Burundi, Taasisi Isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na Masuala ya...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Rais wa Rwanda, Paul Kagame atawasili Nchi leo na atapokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Stergomena Tax katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) hivi karibuni lilitoa ripoti, likipunguza makadirio ya ukuaji wa uchumi wa nchi kubwa kiuchumi duniani, isipokuwa China, ambayo uchumi wake unakadiriwa kukua...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Body double ni mtu anayechukua nafasi ya mtu mwingine mara nyingi katika sanaa ya filamu. Katika filamu ambazo waigizaji wake maarufu wanaonekana wakifanya stunts za hatari mara nyingine huwa ni...
9 Reactions
51 Replies
4K Views
Mgogoro Wa Darfur "Sudan" Una Mkono Wa Magharibi? Sudan inakabiliwa na janga kubwa la kibinadamu kwa mapana na marefu ya nchi yake. Nadharia ya fitina, kwa vyovyote vile, ndiyo inayoichimba nchi...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Nchi ya Uturuki, Tunisia na Iraq zimefuta kabisa ndoa za wake wengi huku Saudi Arabia ikiwa imeweka masharti makali kiasi kwamba hakuna watu wanaooa wake wengi. Iran yenye watu milioni 88.5 ina...
7 Reactions
79 Replies
5K Views
Mataifa karibu yote duniani yenye raia zao Sudan wanashindana kuwakimbiza nchini humo. Imekuwa kama ni siasa kuwahi kuwaondoa raia hao kwa mbinu tofauti. Nchi inayochelewa kufanya hivyo kama...
7 Reactions
113 Replies
7K Views
Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema wanajeshi wa Urusi wamefanikiwa kuzidhibiti wialya tatu zaidi kwa upande wa magharibi mwa mji mji wa Bakhmu Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema wanajeshi wa Urusi...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Siku tatu tangu maafisa wa Ubalozi wa Marekani kuhamishwa kwa helikopta za jeshi na kupokelewa nchini Saudi Arabia kwa vishada vya maua,wale raia wapatao 16000 wengi wao wakiwa raia pacha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilikumbwa na mabishano makali kati ya Urusi inayoshikilia urais wa zamu wa Baraza hilo na mataifa ya Magharibi yanayoilaani kwa uvamizi wake dhidi...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
π»π‘Žπ‘π‘Žπ‘Ÿπ‘–π‘›π‘– π‘§π‘Ž π‘€π‘’π‘‘π‘Ž β„Žπ‘’π‘’ π‘€π‘Žπ‘›π‘Ž 𝐽𝐹 π‘€π‘’π‘›π‘§π‘Žπ‘›π‘”π‘’. 𝐻𝑖𝑖 π‘€π‘Žπ‘Žπ‘‘π‘Ž π‘›π‘–π‘›π‘”π‘’π‘“π‘’π‘Ÿπ‘Žβ„Žπ‘– π‘§π‘Žπ‘–π‘‘π‘– π‘–π‘€π‘Žπ‘π‘œ π‘–π‘›π‘”π‘’π‘β„Žπ‘Žπ‘›π‘”π‘–π‘€π‘Ž π‘›π‘Ž π‘€π‘Žπ‘‘π‘’ 𝑀𝑒𝑛𝑦𝑒 π‘’π‘’π‘™π‘’π‘€π‘Ž π‘˜π‘’β„Žπ‘’π‘ π‘’ π‘šπ‘Žπ‘ π‘’π‘Žπ‘™π‘Ž π‘¦π‘Ž π‘‘π‘–π‘π‘™π‘œπ‘šπ‘Žπ‘ π‘–π‘Ž π‘§π‘Ž π‘˜π‘–π‘šπ‘Žπ‘‘π‘Žπ‘–π‘“π‘Ž, π‘›π‘Ž π‘ π‘–π‘¦π‘œ π‘€π‘Žπ‘π‘–π‘”π‘Ž π‘ π‘‘π‘œπ‘Ÿπ‘– π‘§π‘Ž 𝑣𝑖𝑗𝑖𝑀𝑒𝑛𝑖 π‘Žπ‘šπ‘π‘Žπ‘œ 𝑛𝑖...
20 Reactions
177 Replies
9K Views
Rais huyo wa Marekani mwenye miaka 80 ametangaza nia yake leo Aprili 25, 2023 licha ya utafiti ulifanywa na Kituo cha Runinga cha NBC kuonesha 70% ya Wananchi hawataki Biden agombee tena Urais...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Shirika la Afya duniani linasema kuna hatari kubwa ya magonjwa ya mlipuko kutoka Sudan na kusambaa kwingine. Wanamgambo wa RSF wametwaa maabara ya kitaifa yenye sample mbalimbali za magonjwa...
0 Reactions
1 Replies
417 Views
Siku zote nmekuwa nikisema sisi waafrika ni wanyama sana. Wakati tunapambana na mashoga n.k tunasahau huu unyama ambao tunafanyiana wenyewe kwa wenyewe. Yaani tunatumia nguvu kubwa kwa mambo...
19 Reactions
211 Replies
12K Views
Majenerali hasimu nchini Sudan wamekubali kusitisha mapigano kwa siku tatu, waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken alisema Jumatatu, baada ya siku 10 za mapigano katika maeneo ya mijini...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kongo tunahitaji kiongozi mwenye akili kubwa saana. Uongozi wa kibabe bila akili ni matumizi mabaya ya muda Leo hii kagame anatusumbuwa kwasababu anatumia akili kubwa kutengeneza vikosi vya waasi...
0 Reactions
0 Replies
409 Views
Raia wa Uchina anayefanya kazi katika mradi wa umeme wa maji amekanusha madai yaliyotolewa na wafanyikazi wenzake wakidai alikufuru kwa kutoa maneno ya kashfa kwa Mungu na Mtume Mohammed hali...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…