USA hashindwi kumaliza vita na Iran kwa siku tano tu. Kama ameua so call Ayatollah kwa sekunde arobaini kuwapigq iran just a 5 days.
But kwa nini ana delay, lengo ana mprovoke iran ili aendelee...
Hii vita inahuzunisha na kuchekesha kwa wakati mmoja. Hii Leo Israel imetangaza kushambulia helicopter na ndege vita za Iran kumbe imeingia chaka na kushambulia michoro (paintings) iliyowekwa na...
Moja kwa moja .
Babu Trump ameyatimba inaonekana hii vita aliingia kichwa kichwa bila kupiga hesabu kisawasawa ya all possible scenarios , njia za kuOvercome , pamoja na mbinu za kushinda na...
Takriban watu 24 wamepoteza maisha kufuatia ajali ya basi la abiria iliyotokea siku ya Jumatano, Machi 25, 2026, katika eneo la Daulatdia, wilaya ya Rajbari nchini Bangladesh. Ajali hiyo ilitokea...
Veterani wa vita aliyekimbizwa na mamlaka, Blessed Runesu Geza, anayejulikana pia kama “Cde Bombshell”, amewaomba Wazimbabwe waamke dhidi ya kile anachodai kuwa ni kunyakuliwa kwa dola na wizi wa...
Niaje waungwana
Wakuu leo limetolewa onyo kwa ndugu zetu, na rafiki zetu waliopo mashariki ya kati. Onyo hili linapotolewa haswa na nchi ambayo haina uzoefu wa uongo uongo kama Israel na Marekani...
Niaje waungwana
Raisi wa Marekani ndugu Donald Trump ameitishia NATO na EUROPE kwamba hivi punde wajiandae kukikabidhi kisiwa hicho katika mikono yake, kabla hawajakumbana na vifo vya kujitakia...
Maandishi ya pendekezo hilo ambayo yana kifungu kimoja tu, yanaifafanua Qatar kuwa "taifa adui," na inaeleza kuwa vifungu vyote vya sheria za Israel kuhusu mataifa adui, aina zote za sheria...
Waandishi wa habari katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanakabiliwa na vitisho vinavyoongezeka kadri mapigano yanavyozidi kushamiri mashariki mwa nchi, kwa mujibu wa shirika la Reporters...
Tovuti ya Travel And Tour World ya Marekani hivi karibuni ilitoa makala, ikisema China imekuwa moja ya nchi zinazowavutia zaidi watalii wa kimataifa duniani.
Takwimu zinaonesha kuwa mwaka 2025...
Kwa bahati mbaya sana Nchi za Magharibi kupitia mfumo wao wa Democracy, umejikuta katika miongo ya karibuni Serikali zao zikiangukia mikononi mwa Wasoshalisti/Wakomunisti. Huko Spain,UK, US...
Kwa zaidi ya muongo mmoja, Mahmoud Ahmadinejad amejulikana zaidi kama mpinzani wa serikali kuliko mfuasi wake.
Katika siku ya kwanza ya vita ya Iran, taarifa ya kuuawa kwa Kiongozi Mkuu Ali...
Jeshi la Anga la Israeli lilifanya shambulio sahihi huko Bandar Abbas ambapo Alireza Tangsiri, ambaye alikuwa kamanda wa Jeshi la Wanamaji la IRGC kwa miaka minane iliyopita aliondolewa.
Tangsiri...
Mkuu wa jeshi la polisi Afrika Kusini ametakiwa kufika mahakamani kuhusiana na kandarasi ya huduma za afya ambayo ipo chini ya uchunguzi wa jinai.
Jenerali Fannie Masemola “amekabidhiwa notisi ya...
Israel imewaondoa kwa muda Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araqchi na Spika wa Bunge Mohammad Baqer Qalibaf kwenye orodha yake ya wanaolengwa kuuliwa baada ya kuombwa na Pakistan isiwalenge...
Zimbabwean opposition leader Job Sikhala has rejected proposed constitutional amendments aimed at extending the term of office for President Emmerson Mnangagwa to 2030, warning that the move...
Kwa wale ma low IQ ambao bado hawaelewi why niko nyuma ya Rais wangu POTUS on this Iran war mtanielewa in due time…….
Kwenye hii vita ya Iran kila mtu anaangalia manufaa ya nchi yake.
1...
Familia ya kiongozi wa uhuru wa Congo, Patrice Lumumba, imesema kuwa bado ina matumaini ya kupata haki, wakati mahakama ya Ubelgiji ikizingatia uwezekano wa kumfikisha mahakamani mshukiwa pekee...
Katika uamuzi wa kihistoria, mahakama jijini Los Angeles, Marekani, imeziamuru kampuni za YouTube na Meta kumlipa fidia ya dola milioni 3 (takriban Tsh. Bilioni 7.7) binti mmoja aliyedai kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.