International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mkazi mmoja wa Maryland nchini Marekani anadaiwa kusubiri hadi wafanyakazi wahamiaji walipowasili kuanza ukarabati wa nyumba yake kabla ya kuwapigia simu maafisa wa Uhamiaji na Forodha (ICE)...
1 Reactions
1 Replies
343 Views
Jeshi la Iran limekanusha taarifa za kuwepo kwa mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Iran, na kuibua mashaka kuhusu mpango wa amani wenye vipengele 15 unaodaiwa kuwasilishwa na Ikulu ya...
7 Reactions
33 Replies
960 Views
Makamanda wanne wa IRGC wauawa huko Lebanon walijifanya waandishi wa habari kumbe ni magaidi kutoka Iran. Walikuwa huko kuwasaidia magaidi wa Hezboullah.
2 Reactions
20 Replies
350 Views
Niaje waungwana Baada ya wazungu kufanikiwa kuwaweka watu wao pale mashariki ya kati (Palestina + Israel), Plan ya pili ilikuwa ni kuwasaidia watu hao kujitanua kutoka nchi moja kwenda nchi...
44 Reactions
304 Replies
14K Views
Wadau hizo ni tetesi kwa mujibu wa vyanzo kadhaa tuvute subira tuone hatima. Mhusika ni mhafidhina mkubwa aliyeamua kubadili gia angani baada ya kuona fursa Mchakato umesalia mdogo kabla ya...
1 Reactions
5 Replies
273 Views
Wapiganaji wa Hezbollah wameonesha uwezo mkubwa kwenye uwanja wa vita. KiryatShmona imekwenda na maji Hezbollah takes the town of Kiryat Shmona in ISRAEL This is the first time in its history...
3 Reactions
10 Replies
349 Views
Katika Hali iliyotarajiwa ya kulipa kisasi baada ya marekani na Israel kushambulia viwanda vya chuma huko Iran. Muda mfupi uliopita Iran imefanya shambulizi na kulenga eneo la viwanda kusini mwa...
10 Reactions
50 Replies
1K Views
Katika uvamizi uliolengwa na vikosi vya Shayetet 13, vinavyofanya kazi kama sehemu ya kikosi kazi cha Givati Brigade, mamia ya silaha zapatikana ndani ya shule katika kijiji kusini mwa Lebanon...
1 Reactions
13 Replies
392 Views
Iran imethibitisha kifo cha kamanda wa Jeshi la Wanamapinduzi wa Kiislamu (IRGC) kitengo cha wanamaji, Alireza Tangsiri. Katika taarifa iliyotolewa na IRGC na kurushwa na shirika la habari la...
2 Reactions
2 Replies
189 Views
Wanajeshi wa IDF wamefika Mto Litani nchini Lebanon kama sehemu ya kampeni inayoendelea dhidi ya Hezbollah. Katika baadhi ya maeneo, wanajeshi walisonga mbele kilomita nane hadi kumi ndani kabisa...
2 Reactions
16 Replies
236 Views
04 February 2024 Dakar, Senegal RAIS WA SENEGAL AFANYA MAPINDUZI YA 'KIKATIBA' KWA KUFUTA UCHAGUZI MKUU Rais wa nchi tulivu iliyokwepa Mapinduzi ya kijeshi ya Africa Magharibi ya Senegal imeigia...
6 Reactions
55 Replies
4K Views
Public hearings on the proposed Constitution of Zimbabwe Amendment No. 3 Bill have commenced across Zimbabwe, opening a critical phase in what is shaping up to be one of the most far-reaching...
0 Reactions
0 Replies
237 Views
Ndoto ya “Israel Kubwa”: Kutoka Gaza Hadi Nchi Nne za Kiarabu Kwa muda mrefu, baadhi ya watu walidhani kuwa uvamizi wa Israel dhidi ya Gaza ulikuwa ni operesheni ya kijeshi yenye malengo ya muda...
1 Reactions
10 Replies
791 Views
Wadukuzi wa kundi lijulikanalo kwa jina la "Handala Hack Team" wamefungua akaunit binafsi ya barua pepe ya mkurugenzi wa FBI bwana Kash Patel na kuianika barua pepe yake pamoja na picha zake...
6 Reactions
29 Replies
943 Views
Kuna ripoti ya uchunguzi imetolewa (BIBI FILES) wakati vita ikiendelea kati ya Iran na Israel. Ripoti hiyo ni video inayomuonyesha Netanyahu akifanyiwa mahojiano na vyombo vya usalama kuhusu...
8 Reactions
42 Replies
887 Views
  • Redirect
Kwa Mujibu wa Mungu na Vitabu vitakatifu kabla ya Quran, Eneo la Israel linachukua karibu maeneo ya Misri, Saudi Arabia, Jordan, Lebanon, jordan, sehemu kidogo ya Uturuki na Oman, Iraq na sehemu...
0 Reactions
Replies
Views
Papa Leo alitoa ujumbe adimu na wenye nguvu, akisema kwamba Mungu anakataa maombi ya viongozi wanaopigana vita na "mikono iliyojaa damu," huku vita vya Iran vikiingia mwezi wake wa pili. "Hata...
1 Reactions
4 Replies
132 Views
Ni hakika kabisa pande zote mbili katika vita hii ambayo USA akishirikiana na Israel kupigana na Iran,pande zote mbili zimeishiwa Air Defense Systems,kilichobaki hivi Sasa imekua ni piga nikupige...
4 Reactions
21 Replies
773 Views
Wadau hizo ni taarifa rasmi na siyo tetesiIsrael is set to invite the United States to relocate some of its bases in the region to Israel — and to establish new bases in the country — after the...
0 Reactions
0 Replies
224 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…