Shaden Gardood (37) ameuawa wakati mpigano ya kugombea madaraka yakiendelea kati ya vikosi vya Jeshi la Sudan dhidi ya Rapid Support Forces (RSF) katika Mji wa Omdurman, ikiwa ni siku moja baada...
Warusi walipoteza wanajeshi wengi sana, maelfu yao walikufa wakati wananyakua maeneo ya kamji ka Bakhmut, sasa yameanza kuwatokea puani.
==================================
Ukraine said on Friday...
Jeshi la Marekani linasifika kwa silaha za kisasa iwe za nyuklia, biolojia au kemikali. Bila kusahau mindege yao mikubwa, nyambizi za kisasa, aircraft career nk.
Ila ukweli ni kwamba Marekani...
Kinachofanyika huwa ni kupunguza tu wala si kutokomeza kabisa.
Vikundi vya kigaidi kama Hamas vimekuwa ni Neema kubwa mno kwa Israel, Kwa teknolojia na uwezo wa kijeshi alionao Israel endapo...
Hivi nchi ya kwanza kuizunguka dunia anga za juu utasema sio super power? Nchi ya kwanza kudetonet bomu kubwa kabisa la nyuklia duniani ambalo sauti na kishindo chake hakijawahi kurekodiwa popote...
Ni ngumu sana sisi binadamu pale ukielezwa teknolojia huko mbeleni itakuwa hivi au kitakuwa hivi kwa sababu tujakiona wala kuhamini kipo.
Kuna uzi fulani nilishawahi kueleza kuhusu umeme...
Wizara ya mambo ya nje ya Afrika Kusini inasema balozi wa Marekani "ameomba radhi" kwa kudai kuwa nchi hiyo iliiuzia Urusi silaha.
Siku ya Alhamisi Reuben Brigety alidai meli ya Urusi ilikuwa...
Askofu mmoja wa kanisa la kianglikana nchini Uingereza amekuwa wa kwanza kutangaza hadharani kuwa anashiriki mapenzi ya jinsia moja na sasa yuko kwenye uhusiano.
Kasisi Nicholas Chamberlain...
Balozi wa Marekani Nchini Afrika Kusini, Reuben Brigety ametoa shutuma hizo kwa kudai silaha hizo zilipakiwa kwenye meli ya mizigo ya Urusi iliyotia nanga katika Kambi ya Jeshi la Majini Jijini...
Balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini ameishutumu nchi hiyo kwa kusambaza silaha kwa Urusi licha ya kudai kutoegemea upande wowote katika vita vya Ukraine.
Reuben Brigety alidai kuwa meli ya...
Siku ya juzi matangazo ya kuwataarifu raia waondoke eneo la kivita kupisha kazi maalum yalishika kasi sana katika miji 18 ya ukraine ikiwemo BAKMUT, zaporhinzhia, crimea na kwingineko.
Siku ya...
Nchi ya India imeipiku nchi ya China kwa population.
Population:
1. India [emoji1128] 1,426,409,584
2. China [emoji630] 1,425,731,257
3. USA [emoji631] 339,688,556
4. Indonesia [emoji1129]...
Hili taifa miaka yote tangu kuanzishwa kwake huwa liko katika migogoro ya kisiasa.
Mawaziri wake wakuu rasmi wote 18 waliowahi kuingia madarakani hakuna aliyewahi kumaliza awamu yake ya uongozi...
Uenda ikawa kashfa mbaya kwa Pentagon kushindwa kuyatambua makombola ya Urusi, hii inajiri mara baada ya msemaji pentagon kusema ni kweli mfumo wao wa ulinzi wa Patriot ulilitungua kombola la...
Mji wa Kyiv upo salama, hamna kinachopenya, Mrusi ametuma kila alicho nacho kasoro nyuklia, na vyote hamna hata moja inapenya Kyiv, mwanzoni zilikua zinashushwa 50%, zikaja 80% sasa 100% hamna...
Shambulio la anga la Israel la mapema alfajiri limemuua kamanda mkuu wa kundi la Islamic Jihad (PIJ) na wanamgambo wengine wawili mjini Gaza.
Ndege ya kivita ilishambulia ghorofa ya tano ya jengo...
Kuna wakati China anataka kushirikiana na Urusi kuunda umoja wao na kupiga vita US na washirika wao lakini kuna wakati yeye anahubiri amani na kujitoa mbingu na ardhi kwamba hahusiki kwa vyovyote...
Saudi Arabia imejaribu kuwapatanisha ila wapi, kila upande una ubabe wa balaa....milipuko mjini
Mahasidi wenyewe ni Abdel Fattah al-Burhan anapigana na kamanda Mohamed Hamdan
Wakiachiwa hivi...
Sijui hawa watu wanatuonaje lakini, hivi wanaona sisi wajinga wa mwisho kabisa yaani hatuna hata akili! inasikitisha sana.
Mbaya zaidi kuna wabongo wenzangu ambao hawajui kutumia akili zao nao...
Hawa jamaa bwana! Yani rais anaongea unaona kabisa hapa rais anaongea. Amegusa maeneo yote kuanzia vita, historia mpaka uchumi!
Hotuba imeshiba kabisa!!