Uchaguzi Sierra Leone: Pande zote 2 zadai zimeshinda uchaguzi Mkuu

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,616
Wakati bado zoezi la kuhesabu kura linaendelea kwa siku ya 2 baada ya uchaguzi mkuu, pande zote mbili tayari zimetangaza kushinda huku ikiwa bado haijulikani ni nani anaongoza katika kinyang'anyiro cha urais kati ya Rais Julius Maada Bio na mpinzani wake Samura Kamara

Waangalizi wa uchaguzi wamewasihi Raia wabaki watulivu na kusubiri matokeo rasmi huku Ujumbe wa Umoja wa Ulaya ukitoa wito kwa tume ya uchaguzi kutoa uwazi kamili wakati wa kuhesabu kura ili kupunguza mvutano

Mshindi wa Urais lazima apate 55% ya kura halali zilizopigwa, vinginevyo kutakuwa na duru ya pili kati ya wagombea wawili waliopata kura nyingi wiki mbili baada ya kutangazwa kwa matokeo

Kuna mengi yanayohatarishwa kwani nchi hiyo ya Afrika Magharibi inakabiliwa na maswala mengi ikiwa ni pamoja na mgogoro wa gharama za maisha uliokithiri, umaskini, na ukosefu mkubwa wa ajira

.............................

Both sides claim victory in Sierra Leone

The tallying of results is continuing in Sierra Leone two days after the general election.It's not clear who is leading in the presidential race between President Julius Maada Bio and his main contender Samura Kamara, but both sides have already said that they won the poll.Election observers have urged them to remain calm and wait for the official results.

But there are worries that no results have been announced.The European Union mission urged the electoral commission to provide "full transparency during the tabulation of results" to ease tensions.

The Carter Center also expressed concern over "reports indicating a lack of transparency during parts of the tabulation process", the AFP news agency quotes it as saying.The winner of the election must secure 55% of the valid votes cast, otherwise there will be a run-off between the top two candidates two weeks after the announcement of the results.

A lot is at stake as the West African country faces many issues including a worsening cost-of-living crisis, poverty and massive unemployment.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom