International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ghafla bin Vuuu... watu wanashuhudia Helikopter ya Jeshi la Urusi aina ya Mi-8 inaingia kwenye kituo cha anga cha Poltava nchini Ukraine. Hilo halikua shambulizi bali ni tukio la Mwanajeshi huyo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni ukweli ulio wazi kwamba viongozi wengi wa ngazi za juu Huwa wanafanya kila liwezekanalo ikiwezekana hata kuua Ili kulinda nafasi na ushawishi wao katika viti walivyokalia Suala la kuua au...
17 Reactions
108 Replies
9K Views
Hapa sasa vita vitakua vinakwenda kwenye kiwango kipya, angani... ========= President Volodymyr Zelenskyy, who is currently on a visit in the Netherlands, has announced that 42 F-16 fighter...
8 Reactions
50 Replies
4K Views
The growth of BRICS by inviting new members is a welcome development,but the block needs to be carefully because the West may use members to sabotage it. 24 Aug, 2023 The 15th BRICS Summit in...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hili lizee ni fulu komedi..... YEVGENY PRIGOZHIN IN AFRICA. SCREENSHOT FROM THE VIDEO Yevgeny Prigozhin, the founder of the Russian Wagner Private Military Company (PMC), has recorded a video...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Mkutano wa 15 wa viongozi wa nchi za BRICS unafanyika nchini Afrika Kusini, ambapo viongozi wanaohudhuria mkutano huo wanajadili kwa kina mada mbalimbali ikiwemo kuimarisha ushirikiano na kupanua...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Raisi wa Urusi Vladimir Putin jioni ya jana ametoa salamu za pole kwa familia ya Yevgevy Prigozhin ambae alifariki katika ajali ya ndege ndogo binafsi akiwa na abiria wengine 9. Raisi Putin...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Aliyekuwa Rais wa 45, Donald Trump amekutwa na kesi ya kujibu pamoja na Watu wengine 18 wakiwemo Wakili wake wa zamani, Mkuu wa Zamani wa Wafanyakazi wa Ikulu, Wakili wa zamani wa Ikulu, na Afisa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Utaratibu huo ambao si wa kawaida umefanyika kutokana na baadhi ya Kata zilizopangiwa kukamilisha zoezi hilo kwa siku moja, kuchelewa kupata Karatasi za Kupigia Kura na baadhi ya Vituo Kuchelewa...
1 Reactions
2 Replies
813 Views
My take! Hawa viongozi wetu wa Waafrika huwa tunawaponda hawana lolote, lakini naona Urusi amekubali mpango wao wa amani. Je, huo mpango wao upoje? Au viongozi wetu huwa wanatufanyia makusudi...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wapiganaji wa Wagner waelekea Moscow kuuondoa utawala wa kijeshi unaoongozwa na SERGEI SHOIGRU. Kiongozi wa Wagner anadai kwamba majeshi ya urusi yamekuwa yakishambulia kambi zao nchini UKRAINE...
36 Reactions
1K Replies
118K Views
Report ni kwamba Prigozhin amefariki baada ya jet aliyokuwa akisafiria kuripotiwa kudungulia na maafisa wa Russia. Nilijua tu Putin hawezi kumuacha salama Prigozhin kutokana na ile military...
13 Reactions
104 Replies
11K Views
Kwanza ninaona ni jambo zuri kwa hegomony ya USA kwenye uchumi wa dunia kuwa challenged. Kama ambavyo dola ya Marekani ilivyoiangusha paundi ya Uingereza kama sarafu ya dunia, ndivyo inapaswa nayo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
A new United Nations report on extrajudicial killings in Afghanistan under the Taliban makes for very grim reading. The report confirms fears about the Taliban’s treatment of the former...
1 Reactions
2 Replies
546 Views
Baada ya Urusi kuona imeshindikana kwa namna yoyote kuipiga Ukraine, ikaamua kuzuia usafirishaji wa ngano, haya sasa Ukraine na Croatia waingia makubaliano na mlango mpya...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Inaripotiwa kizuizi na kitisho kilichotolewa na Urusi kuhusu meli zitakazotoka Ukraine kimeshindwa vibaya baada ya meli tatu kutoka Ugiriki, Israel na Uturuki/Georgia kupita katikati yake zikiwa...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Shambulio la kundi la watu dhidi ya makazi ya Kikristo nchini Pakistan linaonyesha hitaji la mamlaka kuchukua hatua za haraka ili kulinda dini ndogo dhidi ya vurugu, Human Rights Watch ilisema...
0 Reactions
3 Replies
885 Views
Kundi hilo linafanya kazi kuifanya Afrika kuwa "huru zaidi," Evgeny Prigozhin alisema katika video ambayo inaonekana ilirekodiwa katika bara hilo. Kampuni ya binafsi ya kijeshi ya Wagner...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Beirut– Prison conditions in Lebanon have dangerously deteriorated amid the country’s economic crisis, Human Rights Watch said today. Overcrowding has become the norm, health care is subpar, and...
0 Reactions
0 Replies
624 Views
Jamaa aliona isiwe tabu, kaondoka na ndege kama ambaye anakwenda kushambulia, ila katua Ukraine na kujisalimisha. Ndio kilichobaki sasa, maana wanajeshi wa Urusi mpaka sasa hawaelewi nini sababu...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…