Kizuizi cha Urusi kwa Ukraine katika bahari nyeusi chashindwa mbele ya NATO

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,661
46,349
Inaripotiwa kizuizi na kitisho kilichotolewa na Urusi kuhusu meli zitakazotoka Ukraine kimeshindwa vibaya baada ya meli tatu kutoka Ugiriki, Israel na Uturuki/Georgia kupita katikati yake zikiwa na shehena kutoka nchini Ukraine huku zikisindikizwa na ndege vita 4 za NATO.

Urusi ilitishia kushambulia meli zozote kutoka Ukraine baada ya kuvunjika mkataba na Ukraine kutoshambulia usafirishaji wa ngano kutoka bandari za Ukraine hasa kuelekea nchi masikini za Africa.
 
Ila Ukraine ni noma! Pamoja na vita yote bado wanalisha dunia? Ingekuwa shitholes hizo excuses usiombe.

Tumeambiwa hapa mafuta hayana budi kupaa sababu ya uhaba wa dola. Vidume wanawalisha daadeki.
 
Si ndio vitisho vya huyo baba yenu wa mchongo kushambulia kila kitu.Sasa watu wameshamuona ni fala tu,mzigo unapita kama kawaida!
Mwajuma nina mke na watoto wawili, mke wangu nina mpenda sana na ana nipenda sana sihitaji mchepuko mbona hauelewi ?!
 
Inaripotiwa kizuizi na kitisho kilichotolewa na Urusi kuhusu meli zitakazotoka Ukraine kimeshindwa vibaya baada ya meli tatu kutoka Ugiriki, Israel na Uturuki/Georgia kupita katikati yake zikiwa na shehena kutoka nchini Ukraine huku zikisindikizwa na ndege vita 4 za NATO.

Urusi ilitishia kushambulia meli zozote kutoka Ukraine baada ya kuvunjika mkataba na Ukraine kutoshambulia usafirishaji wa ngano kutoka bandari za Ukraine hasa kuelekea nchi masikini za Africa.
Weka evidence
 
We fala nn nkatafute nn..???! Usilete news jf zilizokaa kiudaku .....no source,no vivid info..unasemajee ???
Yaani mwanaume mzima unashindwa kuandika neno zima na herufi zake unaishia kukata herufi kama unanengua kiuno ngomani?
Upo salama kweli wewe?
 
Inaripotiwa kizuizi na kitisho kilichotolewa na Urusi kuhusu meli zitakazotoka Ukraine kimeshindwa vibaya baada ya meli tatu kutoka Ugiriki, Israel na Uturuki/Georgia kupita katikati yake zikiwa na shehena kutoka nchini Ukraine huku zikisindikizwa na ndege vita 4 za NATO.

Urusi ilitishia kushambulia meli zozote kutoka Ukraine baada ya kuvunjika mkataba na Ukraine kutoshambulia usafirishaji wa ngano kutoka bandari za Ukraine hasa kuelekea nchi masikini za Africa.

Urusi kakukosea nini? Mcheki Putin Mmalize tofauti zenu, mcheki hapa: 00306942252865
 
Ila Ukraine ni noma! Pamoja na vita yote bado wanalisha dunia? Ingekuwa shitholes hizo excuses usiombe.

Tumeambiwa hapa mafuta hayana budi kupaa sababu ya uhaba wa dola. Vidume wanawalisha daadeki.
Sisi bado tuna safari ndefu kujijenga.
 
Inaripotiwa kizuizi na kitisho kilichotolewa na Urusi kuhusu meli zitakazotoka Ukraine kimeshindwa vibaya baada ya meli tatu kutoka Ugiriki, Israel na Uturuki/Georgia kupita katikati yake zikiwa na shehena kutoka nchini Ukraine huku zikisindikizwa na ndege vita 4 za NATO.

Urusi ilitishia kushambulia meli zozote kutoka Ukraine baada ya kuvunjika mkataba na Ukraine kutoshambulia usafirishaji wa ngano kutoka bandari za Ukraine hasa kuelekea nchi masikini za Africa.
Source please
 
Back
Top Bottom