International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Umasikini waendelea kuongezeka nchini Marekani Sep 13, 2023 11:13 UTC THUPA-PAWA KUNA OMBAOMBA[emoji23][emoji23] Mfumuko mkubwa wa bei nchini Amerika umesababisha kupungua kwa wastani wa mapato...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ameshutumiwa kwa upendeleo baada ya kumteua mwanawe katika baraza jipya la mawaziri kufuatia kuchaguliwa tena kwa uchaguzi wenye utata mwezi uliopita. Bw...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Ndege kubwa ya C919 hivi karibuni iliruka kutoka Shanghai hadi Beijing ikiwa na abiria, ikiashiria kuwa ndege hiyo kubwa ya abiria iliyotengenezwa China kwa kujitegemea imeingia katika katika soko...
22 Reactions
79 Replies
7K Views
An Israeli merchant ship that embarked from the Port of Ashdod Monday became the first vessel to openly defy Russia’s blockade of the Black Sea since they pulled out of a deal with Ukraine...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Nchi ya dunia ya tatu ni nini? Nchi ya dunia ya tatu ni nchi yoyote ile isiyo na usalama wa uhakika( wa kutosha ) kwa raia wake na watu wote wanao ishi ndani yake. Vitu hivi huwezi kuvipata...
16 Reactions
100 Replies
6K Views
Hapa jana kwenye chakula cha jioni: Neno "rafiki" lilitumiwa mara 12 kwenye chakula cha jioni kwa heshima Ya Kim Jong-un. Pia kulikuwa na vifungo vya urafiki, hali ya urafiki na hata urafiki wa...
10 Reactions
48 Replies
4K Views
Urusi imethibitisha taarifa ya kushambuliwa Kwa ngome yake ya kijeshi iliyopo Sevastopol Crimea. Taarifa zinadai Ukraine imetumia makombora ya cruise ambayo yalifanikiwa kupenya ulinzi wa anga...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Umoja wa Afrika umekuwa mwanachama rasmi wa kundi la G20, baada ya kilio chake cha muda mrefu cha kutaka kuwa na sauti kwenye majukwaa ya kisiasa na uchumi ya kimataifa. Tangu kundi hilo...
1 Reactions
3 Replies
681 Views
Uhusiano wa pande mbili kati ya China na Marekani ni moja ya mahusiano muhimu sana duniani, na mwelekeo wa uhusiano huu unafuatiliwa sana na jamii ya kimataifa. Lakini pamoja na hayo, Marekani...
1 Reactions
1 Replies
628 Views
Ulimwengu unakubali kuwa Afrika ni bara lenye utajiri mkubwa wa asili ambao bado haujatumika ipasavyo, nchi ya China imekuwa karibu mno na bara hili na kujenga uhusiano mwema hasa katika uwekezaji...
0 Reactions
0 Replies
469 Views
Reli Hiyo ni maalumu kubeba mizigo hasa madini kuitoa mkoa wa Katanga DR Congo na mkoa wa Copper Belt Zambia na kuipeleka bandari ya Lobito Angola. ===== African Union now a permanent G20 member...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Malalamiko yameibuka jinsi wanajeshi wa Urusi wanaachwa wajifie kwenye nchi ya watu kila wakijeruhiwa, maana wenzao wanakimbia mapambano ilhali Urusi haijali. Kuna matatizo mengi sana ikiwemo...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Yes, kama kichwa cha uzi kinavyosema kuwa "Gorbachev hakuwa pandikizi la marekani kama watu wanavyo sema bali alikuwa mwanamageuzi(reformist) alie fail". Mimi binafsi naweza kuwepo katika kundi...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Mtoto wa Rais Faustin-Archange Touadera wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Evariste Touadera amezusha gumzo kubwa baada ya video inayomuonesha akiwazaba makofi wazungu kusambaa kwa kasi kwenye mitandao...
6 Reactions
31 Replies
4K Views
Rais wa Brazi Lula da Silva ameshindwa kumhakikishia Rais mwenzake wa Urusi Putin ikiwa hatakamatwa akihudhuria mkutano wa G20 utakaofanyika mwakani nchini mwake Brazil. Akiwa katika mkutano wa...
15 Reactions
44 Replies
3K Views
Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limetahadharisha kuwa kupunguzwa kwa ufadhili wa misaada ya kibinadamu na serikali mbalimbali duniani, kutakuwa na athari chungunzima. Shirika hilo...
1 Reactions
3 Replies
704 Views
Nadhani umesikia kuwa China inaidai Marekani pesa nyingi sana. Deni lao lipo hivi. China ni muuzaji namba moja wa bidhaa duniani. Na vitu hivyo anaviuza kwa dola. Mfanyabiashara wa China akiuza...
20 Reactions
28 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi linamshikilia Esther Lungu ambaye ni mke wa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu akituhumiwa makosa matatu likiwemo la wizi wa gari ambalo amekanusha kuhusika. Esther ambaye yuko...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina amejiuzulu baada tu ya kuthibitishwa rasmi kuwa mgombea katika uchaguzi wa Rais wa taifa hilo uliopangwa kufanyika Novemba 9, taarifa hii ni kwa mujibu wa...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…