International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kwa mara nyengine nchi za kiarabu ambazo zina udugu wa damu na kiimani na wapalestina wamekutana mjini Dubai na kutoa maneno yale yale ambayo wameshayasema mara nyingi. Safari hii wamekutana...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau naona kipindi hiki tumejikita sana Israel na Palestine, nimeona nije jambo hili pia ili kujua kinachoendelea kule Ukraine Ripoti kutoka Ikulu ya Marekani zinaonyesha masuala ya nidhamu kali...
4 Reactions
41 Replies
5K Views
Imagine taifa halina hata rasilimali, sehemu kubwa ni jangwa, mashambulizi mara kwa mara lakini bado uchumi wao ni mkubwa kuliko nchi zote za Afrika mashariki. Pato la taifa ni Dola bilioni 500+...
11 Reactions
54 Replies
3K Views
Anthonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) alilazimika kuyakana matamshi yake kuhusu HAMAS baada ya kulaumiwa na Israel kwa kauli yake kuwa HAMAS ni wapigania ardhi yao iliyokaliwa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Marekani imeamua kutoa mlio wa uchungu dhidi ya Iran baada Kambi zake zilipo Mashariki ya kati Iraq na Syria kulipuliwa. Mashambulizi hayo yamefanywa na vikundi vya kimapigano toka Iraq lakini...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Tuombe waungaji mkono wa Israel wakubali kusitisha vita haraka kwani dunia inaelekea kuwa nyeusi kutokana na vita vitakavyoleta majonzi kwa kila mtu. Hali hiyo imedhihirika katika kuchanganyikiwa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Vyama vya siasa Tanzania viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina uliopo nchin kudai watanzania wenzetu wanaoshikiliwa mateka na Hamas waachwe huru
5 Reactions
47 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa!! Tujitahidi kuwa makini sana na hawa watu waliochagua upande kwenye hivi vita vinavyoendelea. Kuna upotoshaji wa wazi wazi na kimakusudi kuhusu vita hivi, mfano mzuri ni...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Serikali ya Israel imewaponza raia sita wa India kukatwa vichwa kwa kuwatumuia kama majasusi (informer) huko Nchini Qatar [emoji1203][emoji1134][emoji1128] Death sentence for 8 Indians who spied...
0 Reactions
11 Replies
846 Views
Kwa mujibu wa televisheni ya Aljazeera ni kuwa upatanishi unaoendelea nchini Qattar uko katika hatua za mwisho kukamilika ili vita visimamishwe kwa haraka muda wowote kuanzia sasa. Ijapokuwa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Taarifa ya Serikali imesema Jengo la Ghorofa 6 lina Ofisi wakati lenye Ghorofa 4 lina Ukumbi wa Vikao vya Bunge na Seneti. Thamani ya majengo yote ni Tsh. Bilioni 250 ambayo yamejengwa kwenye eneo...
0 Reactions
3 Replies
927 Views
Watu ukishawajua bhana, haikusumbui! Asante Mh Rais Samia kwa kuwajua hawa wanafiki wa siasa! Mtavumilia hadi lini enyi wanafiki, wenye wivu, kijicho, wasengenyaji na wapiga majungu dhidi ya...
0 Reactions
0 Replies
392 Views
Adis Ababa: Ethiopia. Katika hali kughadhibika kutokana na mauaji ya kijinga yanayofanywa na Serikali ya kigaidi ya Israel. AU imeamua kutoshirikiana na Israel kuwatimua Wawakilishi hao wa...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Mwanamke wa Nigeria Obinuju Anthonia Ibeanu, amejifungua watoto 9 baada ya miaka 25 ya ndoa. Ripoti zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii zilifichua kuwa mwanamke huyo alikuwa ameolewa kwa zaidi...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Jeshi la Iran limefanya zoezi la utayari wa kimapigano kwa kuhusisha zana mbali mbali za masafa mafupi na Marefu. ======= [emoji1130][emoji1134] Iran is testing the combat readiness of its...
0 Reactions
2 Replies
703 Views
US carriers in the Mediterranean are "sitting targets" They are big fat sitting targets against the modern weaponry, such as anti-ship missiles and hypersonic missiles. So in this respect, they...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
'We are prepared for the war to spread to the northern front, and our Air Force is ready for this scenario' - Gallant As I have already written, if there is a ground escalation and invasion...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanamgambo wa Israel jioni hii wamechezea kipigo cha mbwa mwizi toka kwa Wapiganaji wa Lebanon na kupoteza maisha 17 na majeruhi 55 --- Hezbollah killed 17 Israeli soldiers at the Lebanon border...
5 Reactions
35 Replies
4K Views
Huu uwiano utoshe sasa, kwani ilipaswa wafe wangapi kwa kila Muisraeli aliyeuliwa na HAMAS, maana haya mahesabu kama hayaendani, halafu Israel bado wanaongeza idadi ya mapigo kwa siku. =========...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Back
Top Bottom