International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Itakua kuna mtu kamtonya kiongozi wa Hezbollah kwamba kwa sasa Israel wana hasira isiyo na kifani na kujaribu ugomvi nao ni kujitakia kipigo cha mbwa, walisubiriwa watangaze vita, nyuzi...
23 Reactions
141 Replies
10K Views
Nov 05, 2023 06:50 UTC Habari za karibuni kabisa za Palestina zinazungumzia kuendelea mashambulizi ya anga na mizinga ya utawala wa Kizayuni dhidi ya maeneo tofauti ya raia kwenye Ukanda wa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kauli za raisi wa Ukraine na kamanda wake wa majeshi hazitii shaka kuwa vita vya Ukraine karibu vitaisha kwa kushindwa Ukraine. Hayo yamepaikana katika machapisho ya CNN tarehe 3 Novemba baada ya...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Bada ya wakimbizi wa kipalestina kuondelewa kutoka Jordan walipokelewa na Lebanon, nchi ambayo ilikuwa yenye mchanganyiko wa wakristu na waislam. Wakristu walikuwa wengi kuliko waislam. Sasa hawa...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi...
9 Reactions
136 Replies
6K Views
Viongozi wa ECOWAS Wametoa amri ya kupelekwa Jeshi Ili wakawanyoe Waliofanya Mapinduzi huko Niger na kurejesha Serikali ya Kiraia. --- Viongozi wa Jumuiya ya Uchumi wa Afrika Magharibi (ECOWAS)...
4 Reactions
79 Replies
6K Views
Wale wapenzi wachache wa Israel wameona matokeo yasiyopendeza katika jeshi la Israel.Walitaraji baada ya siku mbili kuingia Gaza,kajioneo kadogo tu wangeona vikosi vya IDF vikiwa vimebeba mateka...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Nov 05, 2023 06:46 UTC Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametangaza kuwa, harakati hiyo ina uhakika wa kuushinda utawala wa Kizayuni katika...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wana mgambo wa HAMAS hawamiliki kifaru hata kimoja wapa ndege ya jeshi,harakati zao dhidi ya Israel huzifanya kwa kutumia bunduki, rocket na makombora ya masafa mafupi na yale ya mkononi pamoja na...
7 Reactions
59 Replies
7K Views
Kiongozi huyo ambaye awali alikuwa ni msanii wa maigizo na ucheshi (comedian) amewasihi waandishi wa habari kuacha kumuuliza maswali kuhusu mambo ya rushwa maana kwa sasa yupo bize na mambo ya...
3 Reactions
3 Replies
524 Views
Kitu pekee kinachofanya Makundi ya Palestina yaonekana ya Kigaidi hususani kwenye umoja wa mataifa na nchi za magharibi ni namna yanavyofanya mashambulio. Kundi la Hamas lilipaswa kupiga kambi...
23 Reactions
109 Replies
7K Views
Nov 03, 2023 03:29 UTC Kamanda mmoja wa vitani wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon aliyekutana na ujumbe wa vyombo vya habari vya Iran, ameelezea hali ya hivi karibuni...
8 Reactions
93 Replies
7K Views
Mtawala wa zamani wa Kijeshi, Moussa Dadis Camara, amerejea jela baada ya kundi la watu wenye silaha kuvamia gereza katika Mji Mkuu wa #Conakry, Novemba 4, 2023 asubuhi na kumtorosha Camara na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapiganaji wa Iraq:Kuanzia wiki ijayo tutaanza kuishambulia Israel kwa makombora na Drones Katika kile kinachoonekana ni kuunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina Harakati ya Iraq imetangaza...
6 Reactions
57 Replies
5K Views
Katika kuonyesha kuwapa support Hezbollah Wagner wametangaza kuwapa Hezbollah mifumo ya kutungulia ndege ya kisasa kabisa [emoji599][emoji599]BREAKING: WAGNER OFFERS AIR SUPPORT TO HEZBOLLAH In...
10 Reactions
53 Replies
4K Views
Kitendo cha jeshi la Israel kupiga magari ya wagonjwa na kambi za wakimbizi wanakoishi mafukara kumewashangaza mpaka viongozi wa UN na US. Msafara wa magari ya wagonjwa na waliojeruhiwa vibaya...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Unaleta ujuaji mwingi katika taifa lililokufungulia mikono na kukulisha. Ungebaki basi uko uarabuni kama wewe ni jiwe.
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Kuna watu hudanganyika na hamas kujiita wanamgambo Ila hamas km ilivyo hezbollah ni makundi ya kigaidi yenye mafunzo kamili ya kijeshi na yana bajeti kabisa Hawa wanapewa ufadhili na muungano...
11 Reactions
34 Replies
4K Views
Jeshi la Israel kupitia msemaj wake limesema oparesheni itakuwa imebadilika tofauti na ilivyotegemewa. Haitakuwa vita ya ardhini tena bali itakuwa kitu kingine. Wanasema kila mtu anaongelea...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Wanaukumbi. Zionist forces brutally assault Orthodox Jews in the streets of Jerusalem for opposing genocide in Gaza. Haven’t seen this kind of state violence against Jews since Nazi Germany...
12 Reactions
175 Replies
22K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…