International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mashirika kadhaa ya misaada na wanasiasa wamezibeza juhudi za Marekani na ufalme wa Jordan za kudondosha vyakula kwenye jimbo la Gaza kama ni mchezo usiopendeza kipindi hiki watu wanakufa njaa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Viongozi wawili wakubwa wa Hamas wamezipuuza jjuhudi za Marekani kuhusu Gaza kama ni diplomasia ya askirimu. Basem Naim akiwa nchini Uturuki ameyapuuza matamshi ya raisi Biden aliyotoa juzi...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Mkuu wa utawala wa kijeshi nchini Chad Mahamat Idriss Deby Itno amesema leo kuwa atawania uchaguzi wa rais wa Mei 6, siku tatu tu baada ya mpinzani wake mkuu kuuawa katika mazingira ya...
0 Reactions
1 Replies
895 Views
Ukiskia duniani kuna maajabu ndio haya. Marekani anapiga kura ya turufu UNO dhidi ya Ukrain au Palestina akipiga China au Russia America anakasirika Anasambaza silaha akisambza mwengine kosa...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Wanaukumbi. The Russian foreign minister says it is unacceptable that Israel is using Hamas’s October 7 offensive as justification for a collective punishment of Palestinians in Gaza and has...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Hawa jamaa wameshindika. Alafu mtu mwenye akili timamu unasema wanaiba madini Africa. Nani hapa ulimwenguni mwenye uwezo wa kutengeneza hayo madude Mchina, Russia wanatamani lakini wapi...
28 Reactions
120 Replies
7K Views
Mahakama ya kijeshi Kaskazini mwa Somalia imewahukumu kifo raia sita wa Morocco ikielezwa kuwa wana uhusiano na kundi la kigaidi. Majina ya wahusika ni Mohamed Hassan, Ahmed Najwi, Khalid Latha...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Njia mashuhuri ya meli za kibiashara ya Suez Canal kutokea red sea ni kama kwamba imefungwa kutokana na mashambulio ya Houth. Meli peke zinazopita bila wasi wasi ni zile zinazotoka ama kuelekea...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Grace alikuwa Mke wa Rubani wa Jeshi la Zimbabwe na akapata kazi Ikulu. Akiwa Ikulu akaanzisha Mahusiano na Mugabe, Mwisho Mugabe akampa mimba 2. Ikabidi ndoa ya Grace na Mwanajeshi Ivunjike...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
[emoji599]BREAKING: STATEMENT ISSUED BY PALESTINIAN FACTIONS IN MOSCOW. [emoji1193] Statement issued by the meeting of Palestinian factions in Moscow: — “In the name of Allah, the Most...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Bunge la Ghana leo imepitisha mswaada wa kupambna na watu wanaojishughulisha na Mambo ya ushoga Kwamba ikiwa utatambulika Kama shoga Basi Ni jela miaka mitatu ,na Kama una promote Mambo ya ushoga...
10 Reactions
36 Replies
2K Views
Pamoja na kuwa Paul Kagame kutokuwa na rafiki wa kudumu muda wote lkn Nyamvumba anawekwa kundi moja na Kabarebe kama marafiki wa muda mrefu na Kagame. Nyamvumba anatajwa kama rafiki wa Kagame toka...
6 Reactions
65 Replies
7K Views
Naangalia Clips za Huko Kivu, utagundua tofauti kubwa kati ya vita vya wazungu kwa wazungu nq vita vya Watu masikini (Waafrika) wa kipato. Utagundua. 1: Wazungu hawaonyeshi raia wao wakilia njaa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama mwandishi wa habari huru nilikua nachunguza viini vya migogoro katika maeneo ya ukanda huu wa maziwa makuu. Nilibahatika kufanya mahojiano ya kina na washirika wa iliyokua serikali ya Rwanda...
20 Reactions
295 Replies
26K Views
Akizungumza na kipindi cha BBC cha jumapili generali Mark Milley amejisifu jinsi alivyotabiri mwendo wa vita hapo awali kuhusu kushindwa kwa Ukraine na kwamba imekwenda vile vile. Amesema kwa...
9 Reactions
35 Replies
4K Views
Tukiwa tunaona nakushuhudia nguvu kubwa Israeli kubomoa ukanda wa gaza wote kama inavyojinasibu kuwa ni operation lakini kwa wachambuzi wa kivita wanasema Israel inatafuta mateka wakiyahudi 253+...
3 Reactions
71 Replies
3K Views
Haya wadau, White House warns it is running out of money to help Ukraine fight its war with Russia The White House has warned that the US is running out of time and money to help Ukraine fight its...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Jeshi la Rwanda lililoivamia nchi ya Congo DRC kwa kujiita M23, imepokea KIPIGO kitakatifu toka kwa Jeshi la Congo na makundi ya Wazalendo. Baada ya jeshi la Congo kufanya mashambulizi makali ya...
53 Reactions
150 Replies
14K Views
Magari mawili ya kijeshi ya Tanzania yamepigwa na makombora yaliyorushwa na waasi wa M23 katika mji wa Sake nchini Kongo, walioshuhudia wameiambia BBC. Chanzo cha jeshi la Kongo na shahidi wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Taliban imepiga marufuku wasichana kupiga simu redion ✍🏻Kwamba wana hamsha ari za wanaume na kuwafanya wawaze ngono ✍🏻Inawaondoa wanaume kwenye mood wawapo kazini ✍🏻Kwamba dini ya Kiislamu...
9 Reactions
43 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…