Niwaombeni wanamaombi tuingie kambini kuiombea Dunia dhidi ya hasira za Rais Vladimir Putin wa Russia
Putin amejiapiza kuwashughulikia wote waliohusika Kwenye shambulio la Moscow kuanzia...
Kutokana na Uharaka wakujibu Zelensky anahusika moja kwa moja,pia mipango iliyoanzishwa na marekani mapema mwezi huu kuwa kunaweza kutokea shambulizi la kigaidi basi hizo zilikuwa ni propaganda...
Limetetemeka kweli kweli na kufunguka yote, sijawahi kuelewa mawazo ya hawa watu na haya maugaidi ya kwenye dini yao....................
This is the moment the gunmen suspected of carrying out...
Wadau hamjamboni nyote?
Leo ni siku muhimu kwa Wayahudi duniani kote wakikumbuka tukio kubwa la kihistoria kama lilivyoelezwa kwenye kitabu cha Esther
Wanakumbuka kisa cha yule gaidi na mshauri...
Just nauliza tuu maana lilitetemesha utawala wa Putin a couple of months ago au ndiyo walimaliza mmoja mmoja kwa kifo kama vile ndege iliyo dunguliwa?
Za jioni?
Wanaukumbi.
Tazama tu jinsi Wazayuni wanavyolia na kupayuka juu ya azimio la baraza la usalama la Umoja wa Mataifa
Netanyahu amekasirika. Alighairi ujumbe kwa DC kwa sababu Marekani ilijiepusha...
Duniani kila jina lina maana. Hakuna jina lisilokuwa maana. Hata wewe jina lako lina maana yake, baya au Zuri
Kwa mfano, Adam maana yake ni udongo mwekundu
Hawa maana yake ni mama wa wanadamu...
Tokea mwaka jana mwishoni vikwazo vya silaha vilipoisha kwa Iran,Iran imeonesha drone mpya iitwayo Gaza Doha yenye uwezo wa kutembea maili 1200 sawa na kilometa 2000 na yenye uwezo wa kubeba...
Kwanini BBC Swahili inahimiza Islamic State wamehusika shambulio la Urusi wakati serikali ya Urusi inasema Ukraine ndio wahusika? Warusi wanahimiza Ukraine ndio wahusiks lkn BBC swahili hawataki...
Waliacha huo uwongo uenee kwa masaa 24 kisha wakaufuta kimya kimya.
Licha ya yote, kipigo kiko pale pale.
==================
After more than 24 hours of letting the story run freely, Qatari...
Al Jazeera has removed all stories about a woman who claimed she was raped by IDF soldiers - after a columnist claimed a Hamas investigation allegedly revealed the woman who claimed IDF raped her...
Aise Urusi wana shida, huku wanapigwa na magaidi wa Kiislamu, kule wanapigwa na Ukraine.....
Kunao mnasema hao magaidi walitumwa na Ukraine, haya sasa Ukraine watakua waneongeza pigo lingine...
Huwa mnaambiwa mjitoe mhanga ili muwahi mabikira 72, ila makamanda wanaogopa kufa wanakamatwa hai....
The IDF announced on Thursday that in its four-day operation in Shifa Hospital in northern...
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed, alikihutubia kwenye runinga ya kitaifa tarehe 23 Machi, 2024 kuwa nchi hiyo inatarajia kupitisha sheria kuruhusu wageni kumiliki ardhi na nyumba nchini humo...
Ukraine inasema mji wa kusini wa Mykolaiv umekumbwa na mashambulizi ‘’mkubwa’’ ya Urusi kufanya mashambulizi usiku kucha.
Mmoja wa watu tajiri zaidi wa Ukraine, Oleksiy Vadatursky, na mkewe Raisa...
Matumaini ya kupatikana nafuu kwa wapalestina karibia milioni 2 na nusu wanaoangamia kwa vita na njaa yameanza kupatikana.
Katika mazungumzo ya kusitisha vita baina ya Israel na Hamas kila upande...
Mamia ya wanafunzi wa kike wametekwa nyara katika jimbo la Kaskazini-magharibi la Zamfara, BBC imeelezwa.
Mwalimu amesema takribani wanafunzi 300 wamechukuliwa wakati wa shambulilio la siku ya...
Nini kinaendelea Urusi?
Leo Msemaji wa Kremlin bwana Peskov amekiri mbele ya vyombo vya habari kwamba sasa Urusi iko vitani rasmi. Amesema kilichoanza kama oparesheni maalumu ya kijeshi( maarufu...
Bandari ya Eliat kusini mwa Israel inakusudia kuwapunguza wafanyakazi wake zaidi ya nusu baada ya mamlaka ya bandari hiyo kupata ukata mkubwa uliotokana na kukosekana kwa meli zinazotumia bandari...
The White House has instructed the M 23 rebels to use only light weapons when engaging in the figthing,and also to get out of DRC.
This is very humane for The White House to say such a thing...