Waweka Saini Makubaliano ya kuzalisha 570 MW za Kiwanda cha Umeme wa Maji Safi katika Taifa la Himalaya
Juni 2024
Mwenyekiti wa Kundi la Adani, Gautam Adani, amekutana na Waziri Mkuu wa Bhutan...
Urusi imetangaza dau mamilioni ya Dola kwa Marubani wa Ukraine na Western watakao rusha ndege za F 16 za msaada kwa Ukraine wazitoroshe kwenda Urusi
Russia promised Western and Ukrainian...
Wakati nchi za magharibi zikijikita kufundisha watoto mambo ya mapenzi ya njinsia moja,nchi ya Russian inajikita kufundisha watoto wao namna ya kujenga na kutunza familia...
Lamor Whitehead, mchungaji maarufu wa Brooklyn nchini Marekani anayejulikana kama "Bling Bishop," amehukumiwa kifungo cha miaka tisa jela baada ya kupatikana na hatia ya kutumia akiba ya kustaafu...
Maajabu ya dunia yako mengi na kila siku huwa yanaongezeka.Ipo haja hiki walichofanya Hamas nacho kikaingizwa kwenye maajabu hayo.
Mmoja ya mateka 4 waliookolewa wiki iliyopita maeneo ya Nusreita...
Kuna watu wanataka/wanatamani vita kati ya Hamas/Hezbollah na Israel ipiganwe kiutu.
Sasa najiuliza vita gani ndani yake ina utu? Vita ni vita na bahati mbaya vita nyingi waathirika wakubwa huwa...
Jamaa bila aibu ameanza kulialia kwenye media kama mwenzake Zelensky akiilalamikia marekani kuchelewesha kutuma silaha za kivita israeli.
Hakika mazayuni ni mazayuni.
========
Israeli Prime...
Iceland ni Nchi ambayo ni Kisiwa kinachopatikana kaskazini mwa Dunia katikati ya Bahari mbili za Antarctic na Arctic. Mji wake Mkuu ni Reykjavik.
Nchi hii ina idadi ya watu wanaofikia 332,529...
Wizara ya Afya ya nchini Misri imeeleza kuwa Mahujjaj 35 wa nchi hiyo wamefariki dunia wakati wa siku ya kwanza ya Hijja iliyomalizika nchini Saudi Arabia kutokana na uchovu na umri mkubwa...
Mahakama ya Uingereza imemhukumu mwanaume wa Kizimbabwe Guy Mukendi (39) kifungo cha miaka 4 na miezi 3 jela kwa kosa la 'kuhadaa' baada ya kutoa kondomu bila ridhaa ya mwenzake wakati wakifanya...
Inasemekana mpaka leo hii Nchi ya Ufaransa huvuna kila mwaka mpaka dola billioni 500 kutoka bara la Afrika kwa kutumia mbinu chafu za unyonyaji, Ugaidi(utekaji), Wizi wa waziwazi na Uharamia wa...
Kuna Siri kubwa Sana Kati ya taifa la Israel na Ukristo. Ukweli ni kwamba wa Israel hawaupendi Ukristo na wanamkana Yesu Kristo. Wamekengeuka.
Ni ukweli usiopingika kwamba Ushoga Israel...
Muungano wa vyama vya habari na mashirika ya haki za kidijitali nchini India tarehe 28 Mei walipitisha azimio likiitaka serikali kuu kufuta sheria mpya ambazo "zinakusudia kudhibiti" uhuru wa...
Source: Aljazeera
Nb: Jana wamekufa wanajeshi 8 wa israel dhidi ya makomandoo wa Hamas, ingawa idadi hiyo haina ukweli wowote, wanaficha.
Kwa yale waliyoyafanya dhidi ya Taifa linalopigania...
Tangu mwaka 2021ambapo kikundi cha wanamgambo wenye itikadi kali ya kiislamu cha Taliban kiliposhika hatamu nchini Afghanistan, na kuondoka kwa aibu majeshi ya Marekani yaliyokaa nchini humo kwa...
Rais Cyril Ramaphosa
Rais Cyril Ramaphosa anarajiwa kuapishwa kama Rais wa Afrika Kusini kwa awamu yake ya pili. Kama mwanachama wa SADC mwenzetu twendeni tukashuhudie na kumpongeza.
NB...
Rais BIden wa Marekani amethibitisha kuwa Majeshi ya Marekani na Uingereza yamefanya mashambulizi dhidi ya kikundi cha Houthi nchini Yemen
Rais Biden amesema mashambulizi hayo ni kulipa kisasi...
Kinara wa upinzani wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema wakati umefika wa kuiangusha serikali ya utawala huo inayoongozwa na Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu.
Yair Lapid...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.