International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Dunia inakwenda kwa kasi sana... Warembo wa kusadikika 10 waingia kwenye fainali za kinyang'anyiro cha mlimbwende wa akili bandia(Miss AI) ambapo watachuana kugombania kitita cha USD 13,000...
4 Reactions
32 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu sasa Marekani imekuwa ikijinasibu kuwa ni kinara wa usawa duniani, ikijitangaza kwa msingi wa katiba yake na maadili yake, inatenda haki kwa watu wake wote bila kujali rangi, dini...
1 Reactions
1 Replies
331 Views
More and more countries are joining the winning team BRICS and this block is getting stronger by the day whereas western block is crumbling [emoji23] The world is sick and tired of western...
14 Reactions
24 Replies
956 Views
Wadau hamjamboni nyote? Hali ni tete Mashariki ya kati huku hofu ya vita ikitanda Kanada inatayarisha uhamisho mkubwa wa raia wake kutoka Lebanon ikiwa vita kamili vitazuka kati ya Israel na...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
TAIFA la Urusi lilikuwa chanzo cha Vita ya Dunia, Wakati Siasa za kifashisti zinazaliwa na kushamiri hasa Ulaya na Utanuzi wa mipaka kwa kuvamia nchi jirani Molotov-Ribbentrop Pact 1939 Malengo...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Mabkira wanaendelea kuisha kule akhera --- The Israel Defense Forces killed a senior member of Hezbollah’s rocket unit in a drone strike in southern Lebanon Monday morning, as a top Biden...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Israel's Prime Minister Benjamin Netanyahu has said that if Lebanon's Hezbollah opened a second front in the ongoing war between Israel and Hamas, then he would bring devastation in southern...
6 Reactions
55 Replies
4K Views
Korea kusini ilianza kuahidi kutoa silaha na ushirikiano na Ukraine Juzi Rais Putin kaenda Korea Kaskazoni nakuahidi ushirikiano wa Kijeshi baina yao yaani Nchi moja ikishambuliwa nyingine...
9 Reactions
28 Replies
3K Views
aljazeeraenglish #Armenia has officially recognised a Palestinian state, the Armenian Foreign Ministry said in a statement on Friday, defying Israel, which is opposed to such moves.⁠ .⁠ Armenia...
5 Reactions
8 Replies
665 Views
Leo nimekutana na mchango wa mwanachama wa Jamii Forums (Imeloa) akisema kuwa Russia ni Banana Republic, hili jina limenishtua kiasi, of course sielewi maana halisi ya Banana Republic. Ila...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Putin kawashika pabaya Marekani sasa wanahaha kujilinda kwa kila mahala baada kuistukia Kaspersky Software ya Urusi inatumika kufanya ujasusi..Juzi tu walikua Wana ituhumu TikTok ya China kwa...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna kitu kimeanza kumtokea Benjamin Netanyahu ambacho hata washirika wake wameanza kupata mashaka. Msemaji wa masuala ya kiulinzi wa taifa wa Marekani ,John Kirby amesema hata haelewi Netanyahu...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwezi mei,2024 UN iliendesha zoezi la kuitambua Palestine kama Taifa,nchi 144 kati 193 zilipiga kura ya kuitambua na nchi 25 zilijizuia kupiga.Maajabu ni kuwa kura za hao wote sio chochote hadi...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Marekani siku za hivi karibuni imekua kama mbwa koko kwa kulia lia kila mahala huku asiamini kinachoendelea baada kuzoea kutawala Dunia bila upinzani kwa miongo kadhaa, sasa ivi anaendeshwa kama...
12 Reactions
28 Replies
3K Views
Wanaukumbi. BREAKING: 🇱🇧🇨🇾🇮🇱 Kiongozi wa Hezbollah Nasrallah: "Ikiwa Cyprus itafungua viwanja vyake vya ndege kwa ndege za kivita za Israeli, tutashambulia Cyprus pia" Sehemu muhimu zaidi za...
10 Reactions
39 Replies
2K Views
Zambia na Zibambwe wameona nao wasipitwe na amsha amsha zinazoendelea duniani kwa leo, wanataka kuliamsha, mchonganishi ni Putin, hii ni baada ya Urusi kuachia video inayomuonyesha rais wa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
My Take Taasisi za Haki za Nchi za Kiafrika zimeanza kuoza na kuharibikiwa sio Kwa uamzi huu wa kipuuzi na kinyume na maadili na tamaduni za Mwafrika...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Dkt. Michael Usi ameapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Malawi katika hafla iliyofanyika katika Bunge la nchi hiyo mjini Lilongwe. Mchekeshaji huyo aliyebadilika kuwa mwanasiasa anachukua nafasi ya...
0 Reactions
5 Replies
615 Views
Miaka kama kumi hivi iliyopita, Russia ilikuwa member wa G8. viongozi wa Russia tulikuwa tukiwaona kwenye mikutano mikubwa ya maamuzi ya dunia. Ghafla Mambo yamebadilika, Raisi wa Russia...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/watch?v=7UuRfVSxzwE&ab_channel=MEDANEWS
2 Reactions
8 Replies
810 Views
Back
Top Bottom