Julian Assange akipanda ndege maalum kuelekea Saipan
Mwanzishi wa WikiLeaks Julian Assange ameachiwa huru usiku huu kutoka gereza la Belmarsh nchini Uingereza ambako amekaa kwa miaka 12. Bwana...
Mashirika mengi makubwa ya kusafirisha mizigo zimeacha kutumia njia ya bahari ya mkato kupitia bahari nyekundu na Suez kutokana na mashambulizi ya wanamgambo wa Houth walioahidi kuzipiga meli...
Urusi Baada Ya Mifumo yake Ya ulinzi wa Anga Chapa S-300&400 Kushindwa kufua dafu mbele ya makombora ya ballistic ya Kimarekani Chapa ATACMS,yanatumika na vikosi vya Ukraine, imeamua kupeleka...
TEMPO.CO, Jakarta - China on Saturday approved the release of 80 online video games after a freeze on such approvals for most of the year.
However, the approved titles, listed on the website of...
Wameamua kurudia mavazi yao ya asili sio haya mambo ya kufanya wanawake wanatembea mjini kama mazombi au mizimwi wameghubika madude meusi kote......
Dunia inaendelea kupata elimu...
Moderator tafadhali mada hii ni ya kufikirika hivyo niombe usiunganishe kwingineko
Wadau hamjamboni nyote?
Mada hii ni fikirishi na tunajadili kauli tarajiwa siku chache tu ikitokea Jeshi...
Hakuna anayesazwa, wote lazima wakatafune mabikira kuleeee.
IDF and Shin Bet intelligence led to the elimination of Hamas terrorist Ahmed Hassan Salame Alsauarka in a targeted airstrike, with no...
Alhamisi ijayo June,27 dunia itashuhudia miamba ya siasa za Marekani ikifanya mdahalo wa kwanza wa wazi kuelekea Uchaguzi mkuu mwezi November mwaka huu 2024.
Wakati Rais Joe Biden, mwenye umri wa...
Vyombo vya habari vya Marekani vimetoa ripoti kwamba, kampuni za kutengeneza dawa nchini humo zinashawishi Bunge la nchi hiyo kuiwekea China vikwazo, kwa sababu China imefanikiwa kubuni teknolojia...
Hongera sana Kapteni wa timu ya Red Arrows Bi Susan kwa kupandishwa cheo kuwa Sajenti
🚨 The Zambia Airforce Commander has promoted Red Arrows Women captain Susan Banda to the rank of Sergeant. 🎉...
MAHAKAMA ya Mji wa New York nchini Marekani, imemhukumu Rais wa zamani wa Honduras, Juan Orlando Hernandez (55) kifungo cha miaka 45 jela na faini ya dola milioni nane kwa makosa ya ulanguzi wa...
Nigeria imetangaza kusitisha matumizi ya plastiki leo Juni 27, 2024 katika ofisi za serikali kama hatua ya awali kabla ya kusitiza matumizi ya kitaifa kuanza Januari 2025
Kulingana na tafiti...
Mkuu wa Pentagon Lloyd Austin anaamini kwamba ikiwa Ukraine itapoteza vita kamili na Urusi, nchi hiyo ya pili italazimika kupigana na Muungano mzima wa Atlantiki ya Kaskazini maarufu kama (NATO)...
Ushirikiano kati ya China na Afrika katika elimu na mafunzo ya ufundi stadi ni muhimu sana na kwa sasa unaonekana kudumisha kasi nzuri, vilevile umeendelea kustawi kwa pande zote. Kupitia...
Wawili hao wamesain makubaliano kwamba endapo mmojawapo atashambuliwa, basi ni kama wote wameshambuliwa.
Tunaelekea kwenye mgawanyiko ambapo endapo vita itapigwa, basi mwishowe kila mmoja lazima...
Kadiri siku zinavyozidi kusonga mbele ndivyo inavyoonekana kwamba matumizi ya teknolojia ya Akili Bandia (AI) yanashika kasi sana duniani. Maendeleo haya ya haraka yameanza kubadilisha sekta nzima...
Sauti ya umma imekita kambi huko Nairobi, Kenya! Hali imekuwa tete sana! Waandamanaji wamechoma moto ofisi ya gavana wa Nairobi na kuvamia bunge, bendera zote zimetelemshwa na mgahawa wa bunge...
Siku ninavyoenda naona kama wanazidi kupata nguvu.
Nimeona wamepost video ya drone iliyokusanya maeneo yote umya kimkakati ya Israel ikiwemo vyanzo vya maji.
Satellite immage ikionyesha mameli...
There are two Megabanks that offer loans to all the countries around the planet, the World Bank and the IMF. The first one is jointly owned by the world’s top banking families, with the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.