Thailand officially applies to join BRICS

State Propaganda

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2024
Posts
617
Reaction score
1,441
More and more countries are joining the winning team BRICS and this block is getting stronger by the day whereas western block is crumbling [emoji23]

The world is sick and tired of western hegemony and is moving towards a fair, peaceful and stable multipolar world.

[emoji122]Kudos Thailand [emoji1242]
IMG_20240621_072455.jpg
 
Hizo nchi za Tailand na Vietnam hazina mvuto wowote kiuchumi, nchi zenye uchumi bora duniani ni ulaya peke yake na Marekani tayari ameshaziunganisha, Vietnam juz juzi waliomba msaada kutoka USA mpaka Biden alienda wakampigia na salute kumnyenyekea wana hali mbaya sana
 
More and more countries are joining the winning team BRICS and this block is getting stronger by the day whereas western block is crumbling [emoji23]

The world is sick and tired of western hegemony and is moving towards a fair, peaceful and stable multipolar world.

[emoji122]Kudos Thailand [emoji1242]View attachment 3021920
Swali la kujiuliza ni nani mfadhili mkubwa wa BRICS? China anaitegemea Marekani na nchi ambazo ni founder member akiwamo South Africa wote hali zao mbaya ata umeme South Africa hawana ni wa mgao
 
Soma 'emerging economies'.. center of gravity is moving towards eàst,Leo ulaya wanakopa china(bicycle country)
 
Kuna mengi huyajui kuhusu BRICS mzee.
Lete hapa hatutaki mdomo, hizo hizo nchi za Brics zinaipigia magoti US kwa msaada ikiwemo south africa, china, Vietnum na Russia kila siku wanalalamika kuhusu vikwazo
 
Kwani unazuiliwa kujiunga na BRICS huku ukiwa una urafiki na nchi zingine kama Ulaya? Au lini Thailand ilikuwa imejiunga na Jumuiya ya Ulaya? Kwa taarifa yako ata USA wanaweza kujiunga na BRICS.
au huyajui malengo ya kuanzishwa kwa BRICS
 
Lete hapa hatutaki mdomo, hizo hizo nchi za Brics zinaipigia magoti US kwa msaada ikiwemo south africa, china, Vietnum na Russia kila siku wanalalamika kuhusu vikwazo
Ni lini urusi na China wameomba msaada kwa marekani?? Bila kunijibu chochote, naomba uje na kithibitisho ya wao kuomba msaada kwa mmarekani!👈
 
More and more countries are joining the winning team BRICS and this block is getting stronger by the day whereas western block is crumbling [emoji23]

The world is sick and tired of western hegemony and is moving towards a fair, peaceful and stable multipolar world.

[emoji122]Kudos Thailand [emoji1242]View attachment 3021920
Asia yote na Africa itahamia BRICS
 
Ni lini urusi na China wameomba msaada kwa marekani?? Bila kunijibu chochote, naomba uje na kithibitisho ya wao kuomba msaada kwa mmarekani!👈
China sio kwamba wanaomba msaada sasa china toka hapo mapema uchumi wake uliwezeshwa ni US kwa kupewa wataalam na hata makapuni ya kichina walipewa nyenzo ni US na wenyewe china wanalijua hilo, pasword za uchumi wa china zipo mikononi mwa US, silaha pia china technologia imetoka US ndio maana hadi leo china likija suala la akiri kushirikiana na Putin anakataa mbingu na ardhi

hata wewe huna vidhibiti, umekuwa mvivu ata kuangalia TV kuangalia habari za ulimwengu, putin amekiri mara kadhaa vikwazo vya magharibi vinamuumiza na jamaa ndio kwanza wanaeka vikao kuongeza vikwazo ni hatua kwa hatua
 
Swali la kujiuliza ni nani mfadhili mkubwa wa BRICS? China anaitegemea Marekani na nchi ambazo ni founder member akiwamo South Africa wote hali zao mbaya ata umeme South Africa hawana ni wa mgao
file-20191107-10915-10f63dk.jpg
 
China sio kwamba wanaomba msaada sasa china toka hapo mapema uchumi wake uliwezeshwa ni US kwa kupewa wataalam na hata makapuni ya kichina walipewa nyenzo ni US na wenyewe china wanalijua hilo, pasword za uchumi wa china zipo mikononi mwa US, silaha pia china technologia imetoka US ndio maana hadi leo china likija suala la akiri kushirikiana na Putin anakataa mbingu na ardhi

hata wewe huna vidhibiti, umekuwa mvivu ata kuangalia TV kuangalia habari za ulimwengu, putin amekiri mara kadhaa vikwazo vya magharibi vinamuumiza na jamaa ndio kwanza wanaeka vikao kuongeza vikwazo ni hatua kwa hatua
Bado hujathibitisha, haya umeyatoa kwako tu, nani akuamini!
 
wewe ndio upo dunia ipi, china mpaka leo anatakiwa akiri tu kama anaisaidia russia silaha kwa vita ya ukraine bado anauma meno, uchumi wa china upo mikononi mwa US

Hilo unaliongea wewe tu, bado hujathibitisha ukweli, kama huna facts naomba usiniquote!
 
Back
Top Bottom