International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

1. Osama Bin Laden 2. 2 PAC 3. Daud T Balali 4. Michael Jackson 5. Yevgeny Prigozhin 6. Elvis Presley
8 Reactions
28 Replies
4K Views
Wanamgambo wa Houth baada ya kuteka meli yenye inayomilikiwa na kupeperusha bendera ya Israel bado haikukomea hapo kwani juzi kwa mara nyengine walirusha makombora kuelekea Israel. Kwa bahati...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Jeshi la Yemen lilitangaza: Kulenga meli ya "TRANSWORLD NAVIGATOR", mali ya kampuni inayokiuka marufuku ya kuingia kwa bandari za Israeli, kwa boti iliyojaa vilipuzi mnamo Juni 23...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Nchi za Afrika zimetajwa kuwa zinaweza kujifunza kutoka kwenye mtindo wa maendeleo wa China kama zikitaka kupata maendeleo ya kasi. Akiongea kwenye mahojiano maalum na Shirika Kuu la Utangazaji...
1 Reactions
8 Replies
485 Views
Copy&Paste KANYABAYONGA, DR CONGO — The M23 militia group has seized another town in the war-torn east of DR Congo, as the rebels gain more ground, sources told AFP Sunday. Kinshasa accuses...
0 Reactions
0 Replies
391 Views
Wakuu salaam! Nimeijifunza kidogo Israel, uwezo wake kiteknoloji, uwezo wake kiintelijensia, uwezo wake kiuchumi na structure ya uongozi wake! Kwanza nianzie mwisho.. Huwezi niamini ila...
13 Reactions
64 Replies
2K Views
Wanaukumbi. 🚨BREAKING: Wakati wa mkutano na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa Al-Shifa Complex, Muhammad Abu Salamiya, baada ya kuachiliwa: Mwanzo Israel ilivamia hospitali ya Shifa na kuwauwa...
0 Reactions
17 Replies
902 Views
Kura ya maoni ya CBS News/YouGov iliyotolewa Jumapili ilionyesha kuwa 72% ya wapiga kura waliojiandikisha wanaamini kuwa Biden hana uwezo wa afya ya kiakili ya kuhudumu kama rais - ongezeko kubwa...
1 Reactions
9 Replies
870 Views
Iran imetangaza kuwa itafanya uchaguzi wa rais mnamo Juni 28, kufuatia kifo cha rais Ebrahim Rais na maafisa wengine katika ajali ya helikopta wakati mazishi yakitarajiwa kufanyika Jumanne...
2 Reactions
42 Replies
3K Views
On Thursday, a New York court suspended Giuliani's license to practice law in the state for two years, making him the first attorney to experience professional consequences for perpetuating lies...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Mahakama ya Juu iliamua Jumatatu kwamba Donald Trump anaweza kudai kinga dhidi ya mashtaka ya jinai kwa baadhi ya hatua alizochukua katika siku chache za urais wake katika...
1 Reactions
2 Replies
684 Views
Wabunge wawili wa vyama vya Republican na Democratic nchini Marekani wamefikia makubaliano ya pande mbili ambayo kwa mara ya kwanza yanaweza kutoa haki ya msingi ya faragha ya kidijitali kwa...
0 Reactions
0 Replies
407 Views
Mhadhiri mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Katoliki cha Kenya Profesa Becky Ndeto, amesema sera zilizotekelezwa na China baada ya kuanza kutekeleza sera ya mageuzi na ufunguaji mlango, zimesababisha...
0 Reactions
0 Replies
426 Views
India chaired its first meeting as Chair of the Colombo Process at the Permanent Representative Level Meeting at the International Organisation for Migration (IOM) Headquarters in Geneva...
0 Reactions
0 Replies
354 Views
Mwendo wa maandalizi...... Kwa kifupi sasa hivi swali la kujiuliza ni lini yataanza maana ukanda ule unaelekea kuchafuka. Israel conducted a test launch for a missile with a range of up to 1,800...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Gavana wa Florida, Ron DeSantis amesaini Muswada ambao unapiga marufuku Watoto wenye umri chini ya Miaka 14 kutumia Mitandao ya Kijamii na kuhitaji Watoto wenye umri wa Miaka 14 na 15 kupata...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Raia wa Korea Kaskazini mwenye umri wa miaka 22 alinyongwa hadharani kwa kutazama na kushiriki filamu na muziki za Korea Kusini ripoti mpya inadai, hii inaakisi jitihada kubwa za Pyongyang za...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Rais Bola Tinubu ambaye anakaribia kutimiza mwaka tangu aingie Madarakani, ametakiwa kuweka wazi tamko Mali zake zote anazomiliki ikiwa ni njia ya kuonesha Uwajibikaji kwa Viongozi wa Umma...
0 Reactions
2 Replies
836 Views
Wadau hamjamboni nyote? Mungu ibariki Rwanda.
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Mfahamu Waziri wa michezo Rwanda Aurore Mimosa Munyangaju Aurore Mimosa Munyangaju (born as Aurore Mimosa), is a Rwandan businesswoman and politician who serves as...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom