Hivi karibuni Chombo cha Chang'e No. 6 cha China kilifanikiwa kumaliza kazi yake ya kuchunguza Mwezi na kurejea duniani, na kuleta sampuli ya kwanza duniani ya udongo na mawe kutoka kwenye upande...
Morocco imeingia mkataba na Marekani kununua Helicopter 24 za mashambulizi aina ya Boeing AH64E Apache ambazo wataanza kukabidhiwa mwaka 2024.
Hadi sasa Apache imeuzwa katika nchi 17 Ulimwenguni...
Meli ya kivita kubwa ya Marekani pamoja na kikundi chake inarudi nyumbani baada ya miezi 8 ya kupambana na HOuth ndani ya bahari ya Red Sea.Nafasi yake itachukuliwa na meli nyengine ya USS...
Russia imeionya Israel iache kiherehere Cha kupeleka Patriot Air Defence kwa wanamgambo wa Ukraine la sivyo itakumbana na kipigo cha mbwa mwizi. Ikumbukwe patriot zinapigwa kizembe na Hamas...
Baada ya vita vikubwa vya Gaza kuanza mayahudi wa ultra orthodox waliendelea kufaidi hifadhi yao ya kutoshiriki vita vyovyote inavyopigana Israel na maadui zake.
Muda mfupi baadae serikali ya...
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Jeshi la Urusi limepiga na kuiteketeza train kwa kombora la Iskender ikiwa na zana za Kivita za NATO zikiwa safarini kwa ajili ya kusaidia wanamgambo wa Ukraine
⚡️🇷🇺Russian forces...
All eyes will be on President William Ruto following his solemn promise to cut on budgetary expenses across all branches of the government to recoup Ksh.341 billion that was to be raised through...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambayo ukubwa wake ni takriban sawa na Ulaya Magharibi, ni nchi kubwa katika eneo la Jangwa la Sahara.
DR Congo imejaliwa kuwa na maliasili za kipekee...
FAHAMU UNDANI WA VITA KATI YA ISRAEL NA PALESTINA KIBIBLIA. ISRAEL ALIPEWA YAKOBO NA SI YAKUB. MPENDWA ENDELEA KUIOMBEA ISRAEL
Na Douglas Majwala
Katika makala hii ya mafundisho ninawaletea...
Tarehe 29 ya mwezi wa sita M23 wameichukua Kanyabayonga Kaskazini mashariki mwa Congo na wanaelekea Butembo. Sasa naona wanacheza karibu na nyumbani ili likitokea la kutokea wakimbilie nyumbani...
Ninajua Wapalestina sio wakazi halisi wa ile ardhi hilo linafahamika ila shida ni hawa wazungu wa Ulaya ya Mashariki na Kaskazini kujifanya wao ndo Waisraeli na kuwauza wenzao ilhali wamewakuta...
Angalau watu 116 wameuawa katika msongamano kwenye mkusanyiko wa kidini kaskazini mwa India, afisa wa polisi Inspekta Jenerali Shalabh Mathur amesema. Tukio hilo lilitokea kwenye satsang (tukio la...
Wanamgambo wa Houth baada ya kuteka meli yenye inayomilikiwa na kupeperusha bendera ya Israel bado haikukomea hapo kwani juzi kwa mara nyengine walirusha makombora kuelekea Israel.
Kwa bahati...
Wanaukumbi.
Jeshi la Yemen lilitangaza:
Kulenga meli ya "TRANSWORLD NAVIGATOR", mali ya kampuni inayokiuka marufuku ya kuingia kwa bandari za Israeli, kwa boti iliyojaa vilipuzi mnamo Juni 23...
Nchi za Afrika zimetajwa kuwa zinaweza kujifunza kutoka kwenye mtindo wa maendeleo wa China kama zikitaka kupata maendeleo ya kasi.
Akiongea kwenye mahojiano maalum na Shirika Kuu la Utangazaji...
Copy&Paste
KANYABAYONGA, DR CONGO —
The M23 militia group has seized another town in the war-torn east of DR Congo, as the rebels gain more ground, sources told AFP Sunday.
Kinshasa accuses...
Wakuu salaam!
Nimeijifunza kidogo Israel, uwezo wake kiteknoloji, uwezo wake kiintelijensia, uwezo wake kiuchumi na structure ya uongozi wake!
Kwanza nianzie mwisho.. Huwezi niamini ila...
Wanaukumbi.
🚨BREAKING: Wakati wa mkutano na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa Al-Shifa Complex, Muhammad Abu Salamiya, baada ya kuachiliwa: Mwanzo Israel ilivamia hospitali ya Shifa na kuwauwa...
Kura ya maoni ya CBS News/YouGov iliyotolewa Jumapili ilionyesha kuwa 72% ya wapiga kura waliojiandikisha wanaamini kuwa Biden hana uwezo wa afya ya kiakili ya kuhudumu kama rais - ongezeko kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.