Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,549
- 6,102
Morocco imeingia mkataba na Marekani kununua Helicopter 24 za mashambulizi aina ya Boeing AH64E Apache ambazo wataanza kukabidhiwa mwaka 2024.
Hadi sasa Apache imeuzwa katika nchi 17 Ulimwenguni.
Jeshi la India pia limekabidhiwa 'Helicopter' zake za mwisho 05 za aina hiyo na kukamilisha jumla ya 22 alizoagiza.
Pia India ilikabidhiwa 'Helicopter' zake za mwisho 05 za kijeshi aina ya 'Boeing' #UH47 Chinook mwaka huu na kukamilisha jumla ya 15 alizoagiza.
Imeripotiwa na: www flightglobal.com
Picha kwa hisani ya mtandao.
Naomba kujulishwa kuhusu uwezo wa hizi ndege zina maajabu gani mpaka Marekani kuziuza kwa nadra kiasi hicho?
Uwezo wake katika uwanja wa kivita ukoje?