Mfahamu Hassanal Bolkiah, Mkuu wa nchi ya Brunei

Mfahamu Hassanal Bolkiah, Mkuu wa nchi ya Brunei

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
21,990
Reaction score
57,775
images (18).jpeg

Huyu ni Hassanal Bolkiah Kiongozi Mkuu wa Brunei (Sultan) Tangu Mwaka 1967. Ni Mmoja wa Matajiri Wakubwa Duniani. Shamba la Mifugo Analolimiliki Huko Australia ni Kubwa Sana Zaidi ya Ukubwa wa Nchi Yake Yote ya Brunei. Shamba Lake Kilomita za Mraba 5959, Nchi ya Brunei Kilomita za Mraba 5765.

Licha ya Kwamba Hassanal Bolkiah (77) Ndiye Mkuu wa Nchi ya Brunei, Lakini Pia Mpaka Mwaka 2022 Yeye Huyo Huyo Alikuwa Ndiye Waziri Mkuu, Waziri wa Ulinzi, Waziri wa Fedha, Waziri wa Elimu, Mkuu wa Jeshi, Mkuu wa Polisi na Ndiye Alikuwa Mkuu wa Uislamu Nchini Humo. Burnei Kuna Idadi ya Watu 450,000.
 
Brunei maisha yao si safi?, kama safi aendelee kutawala tu
 
😂 😂 😂
Mwamba ana vyeo vyote aisee sijui anaweza vipi kuendesha mambo yote
 
Watu 450,000 hawafikii hata idadi ya Wamakonde nchini.

Chukulia mfano Rais Samia angetaka kuunda Baraza la mawazir lenye Wamakonde tupu ingekuaje?
 
View attachment 3055114

Huyu ni Hassanal Bolkiah Kiongozi Mkuu wa Brunei (Sultan) Tangu Mwaka 1967. Ni Mmoja wa Matajiri Wakubwa Duniani. Shamba la Mifugo Analolimiliki Huko Australia ni Kubwa Sana Zaidi ya Ukubwa wa Nchi Yake Yote ya Brunei. Shamba Lake Kilomita za Mraba 5959, Nchi ya Brunei Kilomita za Mraba 5765.

Licha ya Kwamba Hassanal Bolkiah (77) Ndiye Mkuu wa Nchi ya Brunei, Lakini Pia Mpaka Mwaka 2022 Yeye Huyo Huyo Alikuwa Ndiye Waziri Mkuu, Waziri wa Ulinzi, Waziri wa Fedha, Waziri wa Elimu, Mkuu wa Jeshi, Mkuu wa Polisi na Ndiye Alikuwa Mkuu wa Uislamu Nchini Humo. Burnei Kuna Idadi ya Watu 450,000.
😁😁kuna wakati JPM alitamani kushika vyeo vyote kama huyu tu
 
Na nchi inaenda powa tu? Adumu tu Milele sasa, shida iko wapi hapo..
 
Jumla ya idadi vipisi vya bange walizovuta Team nzima ya " THE GHAYO'S GANG" ukijumlisha mkuu wao Maghayo The Mongolian Savage pamoja na The Stress Challengerr ianzidi watu wa ukoo wao wote.

Na mashuzi wanayotoa yanazidi gesi kiwango Cha gesi kinachotumika bara la ulaya zima la Ulaya kwa mwaka.
Tulia wewe. Sasa hivi mpango mzima ni Shia Islam.

Allah ampe qauli thabeet kipenzi chetu Imam Hussein.
 
Back
Top Bottom