Watatu wafariki katika Maandamano Nigeria

Watatu wafariki katika Maandamano Nigeria

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,963
Mtandao wa Reuters umeripoti Watu watatu kufariki katika maandamano yaliyofanyika Agosti 1, 2024 kwa ajili ya kupinga Utawala Mbovu wa Rais Bola Tinubu.

Waandamanaji nchini huko wamelazimika kuandamana nchini humo baada ya kutoridhishwa kwa mageuzi ya mifumo ya uchumi iliyosababisha mfumuko wa bei ya vyakula na mafuta lakini, upatikanaji bure wa elimu na kupinga matumizi mabaya ya fedha za umma yanayofanywa na viongozi wa serikali

Maandamano hayo yanayoongozwa na Vijana yameripotiwa yataendelea kwa Siku 10 wakiiga mfano wa Maandamano yaliyofanikiwa nchini Kenya Juni 2024​

===========For English Audience===============​

At least 3 killed in Nigeria at protests over high cost of living​

At least three protesters were killed in Nigeria's Kaduna state on Thursday, Reuters reporters and eyewitnesses said, as demonstrators rallied across the West African nation against rising cost of living and governance issues.

Kaduna state police spokesperson Mansur Hassan said the police fired tear gas at protesters and not live ammunition. Also police fired tear gas in the capital city Abuja to disperse crowds of protesters, according to eyewitness accounts.

Protesters demonstrated in Abuja, the commercial capital Lagos and several other cities to show discontent with economic reforms that have led to rampant inflation and inflicted increasing hardship on ordinary Nigerians. President Bola Tinubu has vowed to pursue the changes that he says are needed to keep the country afloat.
Authorities deployed armed security personnel in an effort to preempt potential violence.

In Lagos, armed police watched as protesters marched toward the government house and then proceeded to two locations that were authorised for the protest. Some shopping malls in the city were shut and guarded by a heavy police presence.

Inspired by protests in Kenya in June that led to the government there scrapping some planned tax increases, Nigerians are mobilizing online to demand the reinstatement of subsidies for petrol and electricity, free primary and secondary education and measures to combat insecurity, among other demands.

SOURCE: REUTERS
 
Bila kuwa tayari kulipa gharama ngoja
wakomavu wa kukunja ngumi na kuzungusha wapate katiba wanaisubiria mezani kwa hisani ya CCM.

Cc: imhotep
 
Back
Top Bottom