My take
Hawa jamaa kweli wamedhamilia.
Japo kuwa watu wengi wanasema ni uongo, na hiyo ni kutokana uchanga wa wao wa maswala ya kiintelenjia, na kufuatilia mambo. kwa mfano kuna kipindi niwewahi...
Moderator Uzi huu ni utani Kwa wapenda vita usiunganishwe kwingineko!
Sawa twende pamoja wapenda vita tutaniane!
Hivi Ilanii mbona katudanganya atapiga ziraelii hadi leo kimya!
Yaani ziraili...
Hawa watakuwa ni Mayahudi. Ni hatari aisee... Kila mtu inasemekana ana mafunzo ya Kijeshi. Ndo maana hawa jamaa wana uzalendo wa hali ya juu sana.
Ile Genocide ya Hitler iliwasaidia sana...
Mtoto wa kike (8) ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi ya Ford huko Detroit Michigan, Marekani amedaiwa kumuua mwalimu wake kwa kumpiga risasi.
Mwalimu huyo wa mazoezi ya viungo Jim Turner...
Makundi hasimu mawili yakichagizwa na ukabila yanapambana mitaani lile linalomuunga mkono Shekhe Hazina na lile linalompinga yanapambana katikati ya jiji lenye watu wengi sana kieneo la Dhaka...
Wadau hamjamboni nyote?
RAIS wa mamlaka ya Palestina Dkt Mohamed Abbas ametoa kauli ya kishujaa kuwa atatembelea gaza hata kama atapoteza maisha yake
Akiongea kwa ujasiri mkubwa huku...
Nchini Marekani Mfungwa Ambaye Alihukumiwa Kifo Na Kukaa Jela Karibu Miaka 50 Amekutwa Hana Hatia.
Glynn Simmons, Mfungwa Aliyehukumiwa Kifo, Amekutwa Hana Hatia Baada Ya Karibu Miaka 50 Jela, Na...
Hapo jana waziri wa mambo ya nje wa China alifanya mazungumzo na waziri mwenzake wa mpito wa Iran ndugu Ali Bagheri Kani na kuweka wazi misimamo ya nchi yake katika mzozo unaofukuta hapo mashariki...
Wanajeshi wa Ukraine wamefanya uvamizi wa ghafla kwenye jimbo la Kursk nchini Urusi lililoko kwenye mpaka na jimbo la Summy la nchini Ukraine. Taarifa zinasema mpaka sasa wanajeshi wa Ukraine...
Kinachoendelea kwa sasa Iran, viongozi wa juu wanapaza sauti wasikike kwamba Israel isishambuliwe, Juhudi hizi zinawasaidia kukwepa kilichowakuta Rais aliepita na Kiongozi wa Hamas akiwa Iran...
Vita inapotokea ratio ya wastani huwa ni raia 90 watafariki kwa kila mwanajeshi 10 wataouwawa vitani.
Israel imeshangaza ulimwengu wa vita kwa kuweza kuwa na ratio ndogo sana
Kufikia mwezi...
Wanakumbi.
⚠️🚨Ndege kubwa zaidi ya kijeshi ya Urusi ya kubeba mizigo aina ya An-124 imewasili Tehran
Ndege hii hapo awali ilipeleka ndege za kivita aina ya Yak-130 nchini Iran miezi michache...
Ujenzi wa kiwanda cha kusindika bangi katika Wilaya ya Musanze, nchini Rwanda umefikia asilimia 70% hadi sasa huku mradi huo ukitarajiwa kukamilika mwezi septemba mwaka huu, Mkurugenzi Mtendaji wa...
Rais wa zamani wa Argentina, Albero Fernandez (65) anatuhumiwa kwa mashtaka ya Unyanyasaji dhidi ya mke wake wa zamani Fabiola Yañez (43)
Waendesha mashataka nchini humo wameanza uchunguzi...
Mfanyakazi mmoja nchini china ashinda likizo ya siku 365 ambayo ni sawa sawa na mwaka mzima kwenye mchezo wa kubahatisha uliokuwa umechezeshwa na ofisini kwake.
Amepata likizo hio ambayo...
Muswada wa Bangi kwa matumizi binafsi uliokuwa unakutana na vipingamizi kadhaa toka mwaka 2018 umepitishwa na bunge nchini humo jana Jumanne 14/11/2023.
Vyama vya ANC, DA, IFP, EFF, NFP na PAC...
Unaruhusiwa kubeba bangi kiasi cha gram 25 , unasokota na kuvuta hadharani.
---
FRANKFURT, Germany (AP) — Marijuana campaigners in Germany lit celebratory joints on Monday as the country...
Rais wa Rwanda Paul Kagame amemteua tena Dr.Edouard Ngirente kuwa Waziri Mkuu katika Serikali mpya nchi humo.
Bw.Ngirente ameteuliwa kuwa Waziri Mkuu, siku mbili baada ya Paul Kagame kuapishwa...
Amazing: How Do American Hunters And Farmers Deal With Million Of Wild Boar And Lion By Guns.
Baada ya Miaka 20 Tanzania kutakuwa hakuna Simba.Watalii Wakija sijuwi watakuja kuona kitu gani...
Mimi sio muumini wa vita ya uvamizi,lakini nipende kukiri kuwa Syria iliishi kinyonge mno kuliko Ukraine inavyojipambanua katika vita hii kati ya Russia na Ukrain.
Kila nikiwa katika kazi zangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.