International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Amazing: How Do American Hunters And Farmers Deal With Million Of Wild Boar And Lion By Guns. Baada ya Miaka 20 Tanzania kutakuwa hakuna Simba.Watalii Wakija sijuwi watakuja kuona kitu gani...
0 Reactions
39 Replies
2K Views
Mimi sio muumini wa vita ya uvamizi,lakini nipende kukiri kuwa Syria iliishi kinyonge mno kuliko Ukraine inavyojipambanua katika vita hii kati ya Russia na Ukrain. Kila nikiwa katika kazi zangu...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Ukraine yadai kudhibiti kilomita za mraba 1,000 za eneo la Urusi Kiongozi wa Urusi Vladimir Putin ameelezea shambulio la kuvuka mpaka kama "uchokozi mkubwa".
2 Reactions
45 Replies
3K Views
Ni huzuni kubwa Yonatan Deutsch komandoo wa kitengo maalumu cha Maglan cha Jeshi la Israel ameuawa na magaidi huko blonde la mto Jordan Amezikwa kishujaa leo jijini Yerusalemu Akiwa na miaka 22...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni mfano wa shambulio la kupunguza casualities, wameyapa thamani maisha ya farasi kisha kuwatungua magaidi watatu kwa mpigo Wiki kadhaa zilizopita kiongozi wa Hamas alitunguliwa, casuality ya...
13 Reactions
81 Replies
3K Views
Foreign policy. Hali ya mambo ingekuwaje ?
1 Reactions
8 Replies
384 Views
Baada ya mda mrefu madarakani,akiiongoza nchi ya Rwanda kama raisi, leo tarehe 11 Agosti 2024, majira ya saa tisa na dakika 42, mbele ya jaji mkuu wa mahakama kuu ya Rwanda, Dr. Iyamuremye, Paul...
2 Reactions
49 Replies
3K Views
Baada ya kuwa muwazi sana kuhusu upungufu wa silaha,waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu sasa amesema bila kificho kuwa jeshi lake linapigana vita vigumu sana ndani ya Gaza yote. On Sunday...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Mwanamume mmoja wa Philadelphia nchini Marekani amehukumiwa kifungo cha kwenda jela baada ya kukiri kosa la kumuua bila kukusudia jirani yake kufuatia mzozo ambao mamlaka zinasema ulikuwa ni...
1 Reactions
0 Replies
497 Views
Aisee bwana Trump ametoa Kali ya mwaka na Mpya kufuatia kudai kwamba picha zilizosambazwa na kampeni ya Harris ikionesha maelfu ya watu waliofika uwanja wa ndege Kumlaki na kumpokea eti ni za...
1 Reactions
40 Replies
2K Views
Baada ya kuwakatalia watawala wa mashariki ya kati wiki iliyopita kutoishambulia Israel,sasa nchi hiyo imefanya kama hivyo kwa nchi za Ulaya' Raisi mpya wa nchi hiyo na waziri wa mambo ya nje...
3 Reactions
10 Replies
799 Views
Madeni Yaliyofichwa: Majaji wa New York wampata waziri wa Mozambique na hatia Paul Fauvet 2024-08-09 dk 5 kusoma New York, 8 Ago (AIM) - Jopo la majaji katika mahakama moja mjini New York siku...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Kati ya zaidi ya raia 100 ambao Israeli iliwaua bila huruma, waliwachagua 19 na kwa uwongo walidai kuwa ni wanachama wa Hamas. Wanne kati yao walitoka kwa familia ya Jaabari, ambao...
3 Reactions
38 Replies
1K Views
Chama kikubwa cha umoja wa wafanyakazi wa sekta ya uzalishaji magari, ndege na mashine za mashambani wamewafungulia mashitaka Donald Trump na Elon Musk wakilalamika mazungumzo yao ya jana Twitter...
1 Reactions
0 Replies
505 Views
Taifa la kiyahudi kila siku zinavyokwenda linazidi kujipambanua rangi zake zilizokuwa zimejificha mwanzoni mwa vita kati yake na wapalestina. Wako mawaziri ambao wameandamana na wafuasi wao...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Rais wa Uturuki ndugu Tayeb Erdogan amesema nchi yake inakusudia kuingia ndani ya Israel kuwasaidia wapalestina wanaouliwa na Israel. Hayo aliyasema kwenye mji aliozaliwa wa Rize wakari...
5 Reactions
108 Replies
5K Views
Wakuu hali si hali huko nchini Uingereza kwa mfalme Charles III, wananchi wenyeji wakiwa wamejihami kwa silaha mbali mbali wanatembea katika makundi makundi wakiwasaka wahamiaji na kuwatembezea...
15 Reactions
320 Replies
11K Views
Trump aliwahi kufungiwa kwenye mtandao wa X kipindi ukiwa unaitwa Twitter, Akaanizisha platform yake inayoitwa Truth kwasababu kwa kipindi hicho mtandao wa Twitter ulianza kuegemea zaidi maono ya...
0 Reactions
10 Replies
958 Views
Hawa magaidi ya waislamu, Houthi wamekua wakifanya maugaidi ya kidini huko mbali na Israel, walikua wanaonywa mambo yao hayo yaishie huko, juzi walithubutu kufikisha drone moja Israel, wamepokea...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimeshawaambia kuwa weatern siyo watu wazuri wakitaka jambo lao lazima litimie. Putin alinifanya mjanja sasa anapumulia mashine. Ukrain wameweza kuingingia nchini mwake na wanateka watu na putin...
15 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom