International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mahakama ya malindi imemuruhusu Mkurugenzi wa mashtaka ya Umma DPP) kuondoa kesi ilyokuwa inaendelea inayohusisha kiasi cha cha billion ksh 8.5 za chuo cha Utalii dhidi ya aliyekuwa waziri wa...
0 Reactions
0 Replies
408 Views
Pamoja na ushabiki wetu, tunakumbusha tu Iran kuna wayahudi wengi tu na wanaendelea Kula maisha bila bugdha yoyote. Video ya kuvutia sana. Wayahudi wa Iran mjini Tehran wakisherehekea kuhitimu...
1 Reactions
16 Replies
957 Views
Top 20 Wealthiest Cities in Africa by number of Millionaires in USD 1)- Johannesburg 🇿🇦12,300 2)-Cape Town 🇿🇦7,400 3)- Cairo 🇪🇬7,200 4)- Nairobi 4,400 5)- Lagos 🇳🇬 4,200 6)- Cape Winelands...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Ukraine imeharibu daraja muhimu kimkakati juu ya mto Seym, wakati inaendelea na uvamizi wake katika eneo la Kursk nchini Urusi. Maafisa wa Urusi wamenukuliwa wakisema operesheni hiyo karibu na...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Jeuri ya serikali ya Ujerumani kutaka kuendelea kwa vita baina ya Ukraine na Urusi zimekufa baada ya nchi hiyo kuamua kusitisha misaada yote ya kijeshi iliyokuwa imeahidi kutokana na bajeti za...
6 Reactions
8 Replies
733 Views
BURUNDI: Mtangazaji wa kipindi cha mazungumzo ambaye wa taifa la Burundi aliyefungwa jela kwa kuhujumu uadilifu wa taifa la Burundi amesamehewa. Floriane Irangabiye alikuwa ametumikia miezi 18 ya...
1 Reactions
0 Replies
364 Views
Rais wa Malawi, Peter Mutharika wikendi iliyopita alimshukia muhubiri maarufu nchini Nigeria, T.B Joshua wa kanisa la Synagogue Church of All Nations (SCOAN) kufuatia taarifa kuwa mhubiri huyo...
3 Reactions
146 Replies
22K Views
Benki Kuu ya Libya imetangaza kusitisha shughuli zake hadi pale Afisa wake muhimu, Musab Msallem aliyetekwa nyara, atakaporejeshwa Taarifa ya Benki hiyo imesema Msallem alichukuliwa kutoka...
0 Reactions
1 Replies
959 Views
Rais wa Urusi anakabiliwa na tishio kubwa zaidi kuwahi kutokea kwa utawala wake katika miaka 23 yote aliyokuwa akiongoza taifa lenye nguvu ya nyuklia. Ni jambo la kushangaza kuona jinsi...
3 Reactions
27 Replies
5K Views
Bilionea WA Nigeria amezikwa na Gari mpya Bmw lenye dhamani ya shilingi milion 800 .. Mazishi ayo ya kufuru yamefanywa na Rafiki zake aliokua akifanya nao biashara kabla hajapata umauti.. === A...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Hii si mara ya mwanzo kwa Ukraine kujifafagua katika vita utadhani ndio wameshinda.Walitaja mengi kule Kherson na kwamba walikuwa wako karibu kukata njia inayoelekea Crimea kwa kuuganisha bara la...
14 Reactions
86 Replies
5K Views
Russia imekumbukwa na tetemeko la ardhi la ukubwa wa 7.2 huku tahadhari ya tsunami ikitolewa.
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Katika nchi za uarabuni, huko mwenyezi Mungu ametandika kwenye ardhi mali kubwa sana ya petroli. Wanaichezea na kuitumia wale wenye nafasi za juu au viongozi tu na baadhi ya watu wachache. Na...
23 Reactions
214 Replies
4K Views
Leo nimeona niwachane, haswa wadau wa jukwaa hili kumekua na battle nyingi sana hususani linapokuja swala la vita kati ya wapalestina na waisrael. Watu wamegeuza hivi vita kama utani wa simba na...
16 Reactions
76 Replies
3K Views
Nilazima tumsimamishe Putin. Nilazima ajuwe hii vita hatoshinda. NATO members ukisikiliza maneno ya viongozi wa NATO utajuwa kile kipo mbele Dunia ya majasusi. Wanajambo lao ambalo huwendavmm na...
4 Reactions
77 Replies
4K Views
Wakati Marekani na marafiki zake walipoiwekea Russia vikwazo vya kiuchumi walijua nini wanafanya japo baadaye ilikuja kuonekana kama walikuwa wamechemsha. Takriban benki zote za Uchina zinakataa...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Ukisoma nyuzi za humu unaweza kuogopa. Utajua world war 3 ipo karibu siku mbili nyingi, Palestina/Israel itakuwa umeangamizwa ndani siku tatu zijazo. Hivi Ukraine ime survive vipi hadi leo, je...
0 Reactions
3 Replies
427 Views
Kulingana na Shirika la Usalama wa Afya la Uingereza (UKHSA) imeonyesha takwimu mpya ya ongezeko la visa vya Kisonono kutotibika iamka ya hivi karibuni huku idadi ya wagonjwa kuongezeka nchini...
7 Reactions
85 Replies
4K Views
Dunia inaenda kwa kasi sana na leo nimeona nije na huu Uzi ambao huenda ukawa kama ktk nadharia ya kusadikika ila ndicho kitakachotokea. Mataifa ya Dunia ya kwanza wanaona Kuna kila dalili Mrusi...
16 Reactions
100 Replies
10K Views
Chanzo cha picha,Reuters Ingawa "Z" inaweza kuwa ishara ya Urusi ya uvamizi wake, pembetatu inawakilisha jaribio la ujasiri zaidi la Ukraine la kuiondoa. Zimepachikwa au kupakwa rangi kando ya...
1 Reactions
120 Replies
5K Views
Back
Top Bottom