International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wadau hamjamboni nyote? Kazi kusaka magaidi haijapoa hata kidogo IDF imethibitisha kufanya shambulizi la anga karibu na mji wa pwani wa Lebanon wa Sidon mapema leo, na kumuua afisa wa Fatah...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Mtu mzee zaidi duniani, Maria Branyas Morera wa Uhispania, ambaye alizaliwa nchini Marekani na kuishi katika Vita ya Pili Dunia, amefariki akiwa na umri wa miaka 117, familia yake ilisema Jumanne...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakati nusu ya Wairani wakiishi chini ya mstari ufukara, huku hali ya uchumi wa Iran ikiendelea kuzorota na pesa yake ya Rial ikipoteza thamani wakati wananchi wakizidi kugeukia ununuzi wa...
3 Reactions
54 Replies
3K Views
Hapa ni orodha ya majina ya kificho ya Marais wote 45 wa Marekani, pamoja na maelezo ya maana yao: 1. George Washington - 711 - Hii ni nyongeza ya kulingana na nambari ya maduka ya Liquor ya...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Nchi dhaifu kabisa na nchi ndogo kama Ukraine leo hii ndo ya kuivamia Russia? Nani alitegemea haya kutokea? Kwa hali hii, Irani na nchi zingine zinazoiamini Russia na kuweka matumaini kwake...
11 Reactions
48 Replies
3K Views
Rais wa Mpito, Jenerali Oligui Nguema amepiga marufuku maafisa wa serikali wa nchi hiyo kusafiri nje ya nchi kwa ajili ya likizo. Pia ameweka ukomo wa likizo kwa muda usiozidi wiki moja kwa...
0 Reactions
1 Replies
734 Views
Habari zenyu wakuu, Nimeona watu wanashadadia kura za X(Twitter) zinazowahusu Kamala na Trump, kuwa Trump kashinda na Kamala ndio imekula kwake. Lakini hapa hata mimi ambaye sitashiriki uchaguzi...
0 Reactions
1 Replies
332 Views
🤣🤣 Acha tu nianze na kicheko Lakini pili: Napenda kujivunia nchi yangu Tanzania na Watanzania wenzangu wengi ambao licha ya kutofautiana dini, lakini bado, namna tunavyoishi, ni mfano wa ndugu...
55 Reactions
442 Replies
10K Views
First votes of the primary elections starts in Iowa, Iowans get to cast their votes first for the next President. Hillary Clinton and Bernie Sanders neck and neck in opinion polls. Trump and Cruz...
1 Reactions
315 Replies
23K Views
Wakati majadiliano ya kusitisha vita yakifikiriwa huko Qatar, idadi ya Wapalestina waliokufa ni zaidi ya 40,000 na waliojeruhiwa ni zaidi ya 92,000 Huku idadi ya watoto ikiwa ni zaidi ya 16,000...
0 Reactions
40 Replies
1K Views
Pato la Taifa hutumika kama kipimo muhimu cha kutathmini ukubwa wa uchumi wa taifa. Mbinu ya kawaida ya kupima Pato la Taifa la nchi inahusisha mbinu ya matumizi, ambapo jumla yake hutolewa kwa...
1 Reactions
3 Replies
7K Views
Wapiganaji wa Hamas chini ya kiongozi wao mpya Yahya Sinwar imesema haitashiriki kwenye mazungumzo yaliyopangwa kufanyika wiki hii. Badala yake kundi hilo ambalo limepigana na Israel kwa takriban...
7 Reactions
149 Replies
5K Views
Marekani ni taifa ambalo mara nyingi linaonekana kama mfano wa demokrasia kwa mataifa mengine duniani. Hata hivyo, kuna muktadha wa kipekee ambao unahitaji kuangaliwa kwa karibu: wakati nchi hii...
0 Reactions
1 Replies
337 Views
Kuelekea uchaguzi wa marekani, Donald Trump aanza propaganda za ukomunisti dhidi ya Kamala Harris. Kama unavyojua marekani na ukomunisti ni paka na panya. Je, Trump anatumia kete ya ukomunisti...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Juu ya meza sebuleni, Tina - si jina lake halisi - amefanya onyesho na miali ya chai, mayai ya rangi ya pastel, mishumaa na msalaba mdogo wa mbao. Ni njia yake mwenyewe, ya karibu ya kuashiria...
11 Reactions
90 Replies
3K Views
Nisema humu ndani kuwa wazungu hasa Magaharibi na Marekani wana akili nyingi sana. Putin amebaki kutishia tu kuwa ana nyuklia kali sana. Ukweli ni kwamba kitendo cha kupigana vita mda mrefu...
23 Reactions
130 Replies
9K Views
Mahakama ya malindi imemuruhusu Mkurugenzi wa mashtaka ya Umma DPP) kuondoa kesi ilyokuwa inaendelea inayohusisha kiasi cha cha billion ksh 8.5 za chuo cha Utalii dhidi ya aliyekuwa waziri wa...
0 Reactions
0 Replies
408 Views
Pamoja na ushabiki wetu, tunakumbusha tu Iran kuna wayahudi wengi tu na wanaendelea Kula maisha bila bugdha yoyote. Video ya kuvutia sana. Wayahudi wa Iran mjini Tehran wakisherehekea kuhitimu...
1 Reactions
16 Replies
957 Views
Top 20 Wealthiest Cities in Africa by number of Millionaires in USD 1)- Johannesburg 🇿🇦12,300 2)-Cape Town 🇿🇦7,400 3)- Cairo 🇪🇬7,200 4)- Nairobi 4,400 5)- Lagos 🇳🇬 4,200 6)- Cape Winelands...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Ukraine imeharibu daraja muhimu kimkakati juu ya mto Seym, wakati inaendelea na uvamizi wake katika eneo la Kursk nchini Urusi. Maafisa wa Urusi wamenukuliwa wakisema operesheni hiyo karibu na...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom