Wanajamvi,
Mongolia ni Taifa ambalo limesaini makubaliano ya kuwakamata wale wote ambao wana “arrest warrant” ya ICC, ambao watafika kwenye taifa lao.
Mfano European Commission imeitaka Mongolia...
Familia ya Walz inaonekana kuwa na mgawanyiko mkubwa wakati ambapo mgombea mwenza wa Kamala Harris, Tim Walz, ambaye ni Gavana wa Minesota anajiandaa kwa uchaguzi mkuu wa 2024 huko Marekani. Jeff...
Jopo la washauri bingwa la Afrika Kusini Ichikowitz Family Foundation hivi karibuni imetoa “Ripoti ya Uchunguzi wa Vijana wa Afrika (mwaka 2024)”, ambayo liliwahoji zaidi ya vijana 5,600 wenye...
Serikali ya Rais Xi Jinping imeahidi kutoa takriban Dola za Marekani Bilioni 50 (zaidi ya Tsh. Trilioni 139.39) kwaajili ya kufadhili shughuli mbalimbali za Ushirikiano wake na Mataifa ya Afrika...
Habari wana-JF,
Kumekuwa na uwepo mkumbwa wa atheist duniani, sasa unahisi nini kifanyike kuokoa ndugu zetu?
Na wapi tunapofeli? Na kama tukishindwa kukemea basi tuwachukie kwa moyo wote...
Kwa mara nyengine Marekani imeshindwa kuficha unafiki na nia zake mbaya katika vita vya Gaza.
Wakati kuna kesi na hukumu za mahakam za kimataifa za uhalifu ICC kwa ajili ya Israel na ambazo...
Captain. Traore kafunguka akiwa anaongea na mawaziri wake,
Alisema hivi. Unadhani kwako unapokaa kuna jirani atakuja kukujengea? Kamwe hayupo, Hakuna bepari atakayekuletea maendeleo bila wewe...
Wakihojiwa juu ya hali ngumu ya maisha wananchi hao wametupia lawama serikali lakini zaidi wabunge wao kua tatizo.
Wananchi hao Kwa nyakati tofauti wameonesha kukerwa na kuzorota Kwa maisha huku...
Tanzania ilipigana na Uganda 1978 Libya ilimpa Idd Amin kila aina ya Silaha lakini hazikusaidia chochote zote zilitekwa na Baada ya Vita kwa dharau kabisa Mwalimu Nyerere akavirejesha kwa Gadafi...
Naibu Waziri upande wa ulinzi United kingdom ameolewa na mchumba wake wa siku nyingi.
==============
Some personal news: Sydney and I got married a few weeks ago in a small ceremony at Port Eliot...
Why did Mark Zuckerberg choose now to confess?
Monday, September 02, 2024
Consider Mark Zuckerberg’s revelation and its implications for our understanding of the last four years, and what it...
Marekani, baada ya kuinunua Twitter kaanza kuruhusu kuwe na neutral ground kinyume na democrats wanavyotaka mawazo yao peke yao yasikike, hiki chama huwa kinacheza rafu sana, huanza kwa makesi...
Kila baada ya muda fulani nchi ya Marekani huwa inafanya mambo ambayo yanazidi kuishushia hadhi nchi hiyo.
Mambo hayo ni yale inayoyapinga kufanywa na wenzake.
Inaua sana kila nchi lakini...
Yule msemaji asiyechoka wa Hamas aitwaye Abu Ubeida amesema tangu mwezi Juni mwaka huu wamebadili mfumo wa kuwalinda mateka na kutoa maagizo hayo kwa wanaowalinda pindi askari wa Israel...
Mongolia ni landlocked country imepakana na China na Russia pekee.
Yote haya mataifa mawili ni nuclear powers na mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi.
Ili uweze kuivamia Mongolia na kuiangamiza...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Shabani Lukoo amesema, Watu 129 wameuawa wakati wakijaribu kutoroka katika Gereza Kuu la Makala jijini Kinshasa na wengine 59 wakijeruhiwa.
Waziri Lukoo ametaja madhara...
My Take
😂😂😂😂😂😂😂😆😆😆😆 Hii ikitekelezwa itakuwa Kali ya mwaka.
=========
Maafisa wa Mongolia wamesisitizwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kuwa na "wajibu" wa kumkamata Rais wa Urusi...
Chama cha Upinzani cha UTM kimekataa Ripoti ya Uchunguzi wa Ajali ya Ndege iliyosababisha Kifo cha aliyekuwa Makamu wa Rais Saulos Chilima na watu wengine 8.
Ripoti hiyo iliyowasilishwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.