Naibu Waziri wa Nchi wa Bunge upande wa Ulinzi Luke Pollard ameolewa na mchumba wake wa siku nyingi

Status
Not open for further replies.

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
10,403
24,540
Naibu Waziri upande wa ulinzi United kingdom ameolewa na mchumba wake wa siku nyingi.
==============
Some personal news: Sydney and I got married a few weeks ago in a small ceremony at Port Eliot in Cornwall.
Sydney is my rock and I’m a very happy man that I get to call him my husband.
When I was growing up it was illegal for two men to marry. We have come a long way. Love wins."

20240902_182452.jpg
20240902_182448.jpg
20240902_182455.jpg
Screenshot_20240902-182801.jpg
20240902_182455.jpg
1725307841520.png
 
Mimi hilo la kuolewa halinishangazi tena maana wameshaamua kinachonishangaza mimi ni hao kinadada na kinamama hapo wanaposhangilia wanakuwa wanajua...
Kwahiyo hapo umeona akina mama na dada tu wanaume hujawaona au unataka tu kuwalaumu wanawake kama kawaida ya wanaume wa JamiiForums?🙄🙄
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom