Nilipenda sanaa hii channel. Sikuhizi sitaki hata kuwasikia. Kila ukifingua Gaza, Gaza, Israel
Hivi wanajeshi 600 plus Ukraine wamedanja majuzi awakusikia ama ndio masharti na vigezo kuzingatiwaa.
THIS TELLS IT ALL,DIGITAL CURRENCIES ARE AN ENSLAVEMENT TOOL:
ISRAEL SEIZES
CRYPTO-CURRENCIES OF ALL PALESTINIANS
August 26, 2024
Israel has ORDERED the crypto-exchange "Binance" to SEIZE...
Wizara ya Biashara ya China hivi karibuni imelaani vikali uchunguzi unaofanywa na Tume ya Umoja wa Ulaya kuhusu uchunguzi wa kampuni zinazotengeneza magari ya umeme, ambapo Umoja wa Ulaya unataka...
Wanaukumbi.
Video hii ilitolewa mwezi Aprili na Hamas ikiwa na ujumbe ufuatao, kutoka mwa mateka wa Israel kwa kwa serikali ya Israel
"Fanya kile kinachotarajiwa kwako na uturudishe nyumbani...
Hii taarifa ilitoka siku 2 zilizopita. Sijui kama imejadiliwa humu ama lah. Lakini hebu tuijadili.
Serikali ya Marekani imeishitaki kampuni ya Apple kwa kuhodhi soko na biashara ya simu zake na...
Wanakumbi.
Aysenur Ezgi, Mmarekani mwenye hadhi ya Uturuki, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kichwani na wanajeshi wa Israel katika mji wa Beita.
Aysenur alipigwa risasi kichwani...
Habari zenu wanabodi,
Kwa namna siasa za marekani zinaendelea ni dhahiri shahiri kuwa Trump ana mengi sana ya kupoteza iwapo atashindwa kuingia pale White House mwaka kesho.
Siku ya Ijumaa, Jaji...
Walinzi watatu wa Israel wameuawa kwa kupigwa risasi kutokea upande wa mpaka wa Jordan kwenye kivuko pekee cha daraja linalounganisha ukingo wa magharibi wa Palestina na Jordan.
Uchunguzi umeanza...
Mataifa ya Uturuki na Iran yapo mbioni kutengeneza meli kubwa za kijeshi zitakazobeba droni kushambulia adui badala ya zile meli zilizozoeleka na zinazohofiwa ambazo huwa zinabeba ndege za kijeshi...
Safari ya Donald Trump kuelekea White House bado ngumu
Bado Republican Walikosea kumsimamisha Trump. Alikutana tu na weak opponent Joe Biden.
Sasa anapambana na mtu mwenye misuli ya Kisiasa na...
Harusi kubwa imefanyika huko Norway kati ya binti wa mfalme wa nchi hiyo anayeweza kuwa malkia pamoja na kijana mmoja mmarekani mweusi kutoka Carlifornia anayeitwa Shaman.
Wapo waliochukia harusi...
Mgombea urais wa upinzani, Edmundo González, amekimbia Venezuela baada ya serikali kutoa hati ya kukamatwa kwake, kufuatia upinzani kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais wa Julai 2024.
Aidha...
Umoja wa falme za kiarabu umekamilisha ujenzi wa kinu cha nyuklia ambacho kitakuwa ni cha mwanzo katika maeneo ya mashariki ya kati.
Kinu hicho kitatoa jumla ya 40 Terrawatts za umeme kwa mwaka...
Maelfu ya watu wamejitokeza jijini Paris Julai 7, 2024 kufanya maandamano ya kupinga uamuzi wa Rais Emmanuel Macron kumteua Mwanasiasa, Michel Barner kuwa waziri mkuu.
Maandamano hayo...
Ndugu hao walimdanganya Jordan kwa kujifanya Msichana wa umri wake kupitia Instagram na kumshawishi atume picha za faragha. Baada ya kupata picha hizo, walimtishia kuzisambaza ikiwa asingewalipa...
Hii ndiyo ile maana kamili ya vyama kutokuwa mama wa waungwana:
Uwaambie nini wale chawa kindaki ndaki wa pande za kwetu?
Kwamba hayapo wanayosimamia ila vyama.
Wakatoliki na waislam wanasheherekea upendo na huruma ya Mwenyezi Mungu kwa binadamu huko Indonesia.
Makanisa na misikiti ni nyumba za Mwenyezi Mungu kwani ndani yake hutajwa sana.
Imamu mkuu na...
Nomcebo Zuma, 21, atakuwa mke wa 16 wa Mfalme Mswati Il. Binti huyo alikuwa miongoni mwa mamia ya wasichana waliocheza ngoma kwa ajili ya Mfalme wa Eswatini katika sherehe za kitamaduni siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.