Kwa hizi zana za Kivita zinazoondoka US kuelekea Israel nashindwa kuelewa ni nani hasa anapigana na Palestine! Ni sawa na Libya Kwenye Vita ya Kagera

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,028
142,087
Tanzania ilipigana na Uganda 1978 Libya ilimpa Idd Amin kila aina ya Silaha lakini hazikusaidia chochote zote zilitekwa na Baada ya Vita kwa dharau kabisa Mwalimu Nyerere akavirejesha kwa Gadafi

Sasa nashuhudia hapa kupitia Al jazeera msululu wa zana za Kivita za kila aina ukielekea Israel

Mungu wa mbinguni tupe Amani!
 
Iran wanavyotoa msaada kwa hammas wewe huoni au

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Bado nini? Sijakuelewa hiyo kauli yako?
Ni kwamba haijamaterialize, alitaka Africa tuwe na same currency kutokana na unequal fluctuations za sarafu za Africa na za nje ya Africa ila pia Africa tuipe nguvu ADB kiasi kwamba tusitegemee mikopo ya kinyonyaji ya wazungu, na alisema atatoa asilimia kubwa ya Fedha kufanikisha hili, wazungu wakamtengenezea visa wakamuwahi sa si unajua watu weusi ni wanafiki, jambo lilipigiwa makofi na halikumaterialize.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom