Habari za kijasusi za Marekani kwamba Iran wameisambazia Urusi makombora ya masafa mafupi zitakazotumika katika vita na Ukraine, sasa si siri tena baada ya mbunge wa Iran na mjumbe wa kutunga...
Marekani ina mabilionea wengi zaidi duniani kwa kiasi kikubwa, zaidi ya mara mbili ya nchi inayofuata kwa juu zaidi duniani-China. Lakini wote wanaishi wapi?
Tunapanga idadi ya mabilionea katika...
Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika ulimalizika mjini Beijing wiki iliyopita, ambapo wakuu zaidi ya 50 wa nchi au serikali za Afrika walihudhuria mkutano huo, na...
Usiku wa kuamkia leo Jumatano Septemba 11, 2024 wagombea urais wa Marekani, Donald Trump (Republican) na Kamala Harris (Democratic) wamefanya mdahalo wa kutoa hoja zao mbele ya wananchi huku...
Baada ya kufuatilia kwa makini mkutano mkuu wa Democratic na kampeni za Donald Trump nimegundua kwamba Trump hatoweza tena kamwe kuupata uraisi wa Marekani anaoutamani.
Historia ya maisha yake ya...
Kuna uzushi mwingi wa vijiweni kwamba raisi wa MAREKANI anapatikana na deep state na kwamba kuna kikundi kidogo cha watu sirini wanamteua raisi. Hii sio kweli.
Raisi wa MAREKANI anapatikana kwa...
Wakuu habarini za muda huu,
Kwenye raundi zangu mbili tatu huko mtandaoni, nilikutana na article kutoka CBS News ambayo inaelezea wakina nani walikuwa na marais wabovu zaidi kuwahi kutokea...
Iran ilikuwa dhaifu na imefilisika awamu ya Trump, Iran imekuwa tajiri na yenye jeuri ya pesa za kufadhili vikundi vya kigaidi awamu ya Biden.
Trump aliiwawekea vikwazo vikali mno Iran ili...
Katika hali inayoonekana kwamba vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Marekani na marafiki zake dhidi ya Russia vinaanza kuitesa taifa hilo.
Benki za Urusi zimeondoa kiasi cha yuan, kwa kiasi...
Wadau hamjamboni nyote?
IDF yawawahi magaidi kabla ya kuvuka mpaka wa Syria! Yaua magaidi wanne huko Syria waliokuwa safarini kujiunga na wenzao huko Lebanon.
Islamic Jihad imetuma mkondo wa...
Trump alikuwa ni mwiba mchungu sana kwa Putin
Video hiyo inamuonyesha Trump akiwakaripia ujerumani kwenye mkutano wa NATO (umoja wa majeshi ya Marekani na Ulaya) waliposaini mkataba wa mabilioni...
Wadau hamjamboni nyote?
IDF wanaendelea kuyashughulikia magaidi kwa mwendokasi
Mtoto wa gaidi maarufu Zakaria Zubeidi ni miongoni mwa Wapalestina watano walioripotiwa kuuawa katika shambulio la...
Mamlaka nchini Algeria zimetangaza Rais Abdulmadjid Tebboune (78) kuwa mshindi wa uchaguzi uliofanyika Septemba 7, 2024 kwa asilimia 95
Aidha masaa kadhaa baada ya matokeo kutangazwa Tebboune...
Takriban watu 50 wamefariki baada ya lori la mafuta kugongana na lori lililokuwa limebeba abiria na mifugo katika jimbo la Niger Septemba 8, 2024
Msemaji wa shirika la mafaa Nigeria amesema...
Nilipenda sanaa hii channel. Sikuhizi sitaki hata kuwasikia. Kila ukifingua Gaza, Gaza, Israel
Hivi wanajeshi 600 plus Ukraine wamedanja majuzi awakusikia ama ndio masharti na vigezo kuzingatiwaa.
THIS TELLS IT ALL,DIGITAL CURRENCIES ARE AN ENSLAVEMENT TOOL:
ISRAEL SEIZES
CRYPTO-CURRENCIES OF ALL PALESTINIANS
August 26, 2024
Israel has ORDERED the crypto-exchange "Binance" to SEIZE...
Wizara ya Biashara ya China hivi karibuni imelaani vikali uchunguzi unaofanywa na Tume ya Umoja wa Ulaya kuhusu uchunguzi wa kampuni zinazotengeneza magari ya umeme, ambapo Umoja wa Ulaya unataka...
Wanaukumbi.
Video hii ilitolewa mwezi Aprili na Hamas ikiwa na ujumbe ufuatao, kutoka mwa mateka wa Israel kwa kwa serikali ya Israel
"Fanya kile kinachotarajiwa kwako na uturudishe nyumbani...
Hii taarifa ilitoka siku 2 zilizopita. Sijui kama imejadiliwa humu ama lah. Lakini hebu tuijadili.
Serikali ya Marekani imeishitaki kampuni ya Apple kwa kuhodhi soko na biashara ya simu zake na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.