Video: Trump alikuwa ni mwiba kwa Putin Ndio maana Putin anaombea Kamala achaguliwe

G Tank

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
2,297
8,704

Well, I have to say I think it's very sad when Germany makes a massive oil and gas deal with Russia where you're supposed to be guarding against Russia and Germany goes out and pays billions and billions of dollars a year to Russia.
So we're protecting Germany, we're protecting France, we're protecting all of these countries. And then numerous of the countries go out and make a pipeline deal with Russia where they're paying billions of dollars into the coffers of Russia.
So we're supposed to protect you against Russia, but they're paying billions of dollars to Russia and I think that's very inappropriate. And the former chancellor of Germany is the head of the pipeline company that's supplying the gas.
Ultimately, Germany will have almost 70% of their country controlled by Russia with natural gas. So you tell me, is that appropriate? I mean, I've been complaining about this from the time I got in. It should have never been allowed to have happened.
But Germany is totally controlled by Russia because they were getting from 60% to 70% of their energy from Russia and a new pipeline. And you tell me if that's appropriate because I think it's not. And I think it's a very bad thing for NATO and I don't think it should have happened.
Now, if you look at it, Germany is a captive of Russia because they supply. They got rid of their coal plants, they got rid of their nuclear. They're getting so much of the oil and gas from Russia. I think it's something. I think it's something that NATO has to look at. I think it's very inappropriate. You and I agree that it's inappropriate.

Trump alikuwa ni mwiba mchungu sana kwa Putin

Video hiyo inamuonyesha Trump akiwakaripia ujerumani kwenye mkutano wa NATO (umoja wa majeshi ya Marekani na Ulaya) waliposaini mkataba wa mabilioni ya dola kila mwaka kunuanua gesi inayotoka Urusi wakati ni adui wa Nato, Kilichomuudhi ni kwamba Marekani inachangia zaidi bajeti ya Nato halafu Ujerumani inaenda kuwatajirisha Urusi ambae ni adui

Putin alikuwa anamheshimu sana Trump ndio maana hakuthubutu kuanzisha vita awamu ya Trump, Yani Biden alipoingia tu vyuma vililegezwa na hakupoteza muda kuanzisha vita

Video kama hii huwezi kuja kuiona inapewa airtime cnn, bbc, al jazeera, n.k. Hizi ni media za chama cha pinzani cha Democrats, walikuwa na lengo la kutengeneza propaganda kwamba Trump ni marafiki na Putin, Wamarekani wengi waliacha kuziangalia hizo channel, Kwa upande wetu 98 % wanaofuatilia habari za nje hutumia vyanzo tajwa au millard ayo, itv, tbc, n.k. ambao hutafsiri habari kutoka cnn.
 
Putin alikuwa staarabu awamu ya Trump, hakuanzisha vurugu kama zinazoendelea,
 
Sio kweli, Putin ameamua kumpigia kampeni Trump kiujanja.

Kwasababu tayari amejua shauku ya wamarekani wengi wanahitaji raisi mwenye guts za kimaamuzi ambaye hato yumbishwa na vitisho vya Urusi.

Sasa Trump ni coward na ni mtu ambaye hawezi kufanya lolote kwa Putin na mifano ipo.

Kinachofanyika hapo ni Putin kujidai anamkubali Camara ili wamarekani wajihisi wako unsecure na kuona option bora ni kumpigia kura Trump.
 
Tazama video na ujiulize kwanini vyombo vinavyo kubrainwash hayo mambo why havikuupa airtime huu mkutano, kulikuwa na sababu ipi ? jibu rahisi ni kwamba ili waweze kuendelea kuku brainwash kwa uzushi na uongo kirahisi, na kweli wamefanikiwa.

Ndio maana wamarekani wengi waliacha kuangalia cnn na bbc,, hapa bongo almost 98 % mnategemea habari kutoka kina millardayo, itv, n.k. wanatoa habari huko cnn na bbc.
 
Achana na mavideo hayo ndio yanayokupoteza kwenye dira ushindwe kujua lengo.

Kwanza unabidi utambue interest za Putin kwenye uchaguzi wa Marekani zimelenga kuhusu benefit anayoweza kuipata kwenye vita yake na Ukraine.

Kwa hiyo chochote ambacho anaonekana kukisapoti ni dhahiri anaangalia urahisi wa yeye kushinda vita.

Fuatila sera za Trump zile zote ambazo zimezungumzia mgogoro wa Ukraine na Urusi na namna ambavyo jicho lake yeye linavyo tazama hiyo vita.

Kwa maono ya Trump ni kuwa kutuma pesa kwenda Ukraine kwa ajili ya kuwasapoti kwenye vita, kitendo hicho amekiita ni ujinga.

Je Putin yeye kwa upande wake hilo swala unavyoliona yeye analipokeaje?

Wakati sababu kubwa ya hii vita kuchukua miaka miwili, wote tunajua moja ya sababu inayotajwa ni mkono wa Marekani katika kufadhili misaada Ukraine.

Kwamba Putin hapendi kuona Ukraine ikisitishiwa misaada ili apate wepesi kwenye battle field?

Na saizi tunaona Ukraine ameingia mpaka ndani ya Urusi kupitia nguvu hiyo hiyo ya michango aneyopewa na US.

Jiulize Putin hapendi kumaliza vita tena akiwa ameshinda? Hilo unaweza kuliona likiwezekana katika mazingira haya ya Ukraine kupewa misaada?

Kamala na Biden wote wana common interests, kiuhalisia ni kwamba iwapo Kamala atakuwa raisi usitegemee kuona utofauti kwenye mgogoro wa Ukraine na Urusi.
 
Jiulize kwanini Putin hakuthubutu kuanzisha vita awamu ya Trump.

Awamu ya Obama aliingia Ukraine, Kipindi cha Ytump alitulia, kipindi cha Biden akaliendeleza

Jibu jepesi ni moja tu, Putin alimheshimu sana Trump, Hakuweza kuthubutu kuvuruga, alisubiria huyu Biden aingie

Huwezi kuipuuza hio video kwasababu inaonyesha jinsi ambayo Trump alikuwa na usongo wa kumbana mbavu Putin,

Na sio kwa Putin Pekee ni mpaka Iran, Kaingia Joe Biden kawapa Iran Trilioni 16 kwajili ya wamarekani wanne wanaoshikiliwa Iran, Kipindi cha Trump hakutoa senti kuwarudisha wamarekani wawili waliokamatwa Iran, pesa hizo zimesaidia mno Hamas na vikundi vingine vya kigaidi
 
212903.png
 
Hakuanzisha vita muda wa kianzisha ulikuwa haujafika na sio kwa sababu anamuheshimu Trump.
Maadui wengi wa Marekani wameimarika kwa kiasi kikubwa chini ya utawala wa Trump kuliko kiongizi yeyote.
Alafu kingine punguza ujinga hizo pesa unazidai Marekani amempa Iran ili awaachie Wamarekani ni pesa za Wairan ambazo zinashikiliwa kwenye Mabenki ya Marekani kwa misingi ya kisiasa.
 
Biden kawapa Iran Trilioni 16 kwajili ya kukomboa wamarekani wanne (Trilioni 4.x kwa kichwa), ni mtaji tosha wa kufadhili Hamas , Hezbollah na vikundi vingine.

Kaondoa vikwazo kwa Iran, wanauza pipa milioni 1 na nusu kila siku, Hazina imenenepa kufadhili ugaidi.

Pesa iliyotolewa kukomboa wamarekani wanne ni pesa za Iran lakini ilipatikana kwa kuuza madawa, kuuza mafuta kwa kukiuka vikwaza, n,k. awamu ya Trump hazikutolewa, Biden ni mdhaifu aliwapa
 
Biden kawapa Iran Trilioni 16 za mateka, Biden ni mdhaifu Kaondoa vikwazo kwa Iran wanauza mafuta yenye thamani ya bilioni 3 kila siku, Ndiko wanakopatia pesa.

Ni pesa za Iran lakini wanazipata kwa mbiny za kigaidi, kuuza madawa, kuruka vizuizi, n,k. awamu ya Trump hazikutolewa, Biden ni mdhaifu aliwapa
Huna akili.
 
Back
Top Bottom