International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Privatisation Gone Mad or State Capture! Kenya's privatisation is nothing short of a masterclass in state capture, a system so drenched in corruption that it's impossible to discern where public...
0 Reactions
1 Replies
469 Views
Waziri mkuu wa Taifa Teule Israel ameomba radhi baada ya Mateka 6 kukutwa wamekufa Source: BBC Mlale Unono 🐼
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Kabisa kabisa kama unaamini Tanzania tuna Siasa, Vyama Vya Siasa na Wanasiasa basi wasikilize Trump na Kamala Harris kwenye Mdahalo wao Utajua Hujui Nasubiri mrejesho Ahsanteni Sana 😂😂🔥
1 Reactions
4 Replies
313 Views
Ili nisiwachoshe, naona nibora niwawekee screenshots za cover page na page nyingine mbili ambazo zinafichua 1. BBC ktk taarifa zao waliepuka kutaja kuwa kati ya waliouawa walikuwepo askari wa...
0 Reactions
2 Replies
558 Views
Harris campaign wants a second debate Harris’s campaign has almost immediately called for a second debate against Trump. “Under the bright lights, the American people got to see the choice they...
1 Reactions
4 Replies
6K Views
Tamko la aina hiyo limeshatolewa huko nyuma na makamanda wa jeshi la Marekani na ikaonekana kama ni utani.Kwa mara nyengine limetolewa na kamanda mkuu wa vikosi vya wanamaji wa Marekani eneo la...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Haya sasa piga kura hapo kati ya kamala na trump nani kashinda Mimi hapa naenda na Trump 100% he just COOKED kamala
11 Reactions
49 Replies
4K Views
Ndege isiyokuwa na rubani inayogharimu dola milioni kadhaa za kimarekani imedondoshwa na wanamgambo wa Houth huko Yemen. Taarifa za kuangushwa kwa ndege hiyo ya upelelezi ya MQ-9 reaper bado...
0 Reactions
7 Replies
884 Views
Wanakumbi. Netanyahu alikuwa akitetemeka sana wakati mpiga picha alipogundua, mara moja alijaribu kuwaficha kwenye video . Netanyahu ana kila kitu anapewa misaada ye pesa na silaha kutoka...
6 Reactions
48 Replies
2K Views
Kwa ufundi na subira za hali ya juu Hamas wameweza kuhimili kipigo kizito cha Israel na washirika wake mpaka umefika mwaka mmoja hapo Septema 7. Uzito wa vita hivyo umeonekana na kila upande...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
TRUMP: Anamshutumu Kamala kwa mfumuko wa bei uliopanda maradufu. Anamshutumu Kamala kwa makosa waliofanya kupelekea vifo na uachaji wa silaha za vita kipindi wanaondosha jeshi Afghanistan...
8 Reactions
48 Replies
3K Views
Habari za kijasusi za Marekani kwamba Iran wameisambazia Urusi makombora ya masafa mafupi zitakazotumika katika vita na Ukraine, sasa si siri tena baada ya mbunge wa Iran na mjumbe wa kutunga...
8 Reactions
38 Replies
3K Views
Marekani ina mabilionea wengi zaidi duniani kwa kiasi kikubwa, zaidi ya mara mbili ya nchi inayofuata kwa juu zaidi duniani-China. Lakini wote wanaishi wapi? Tunapanga idadi ya mabilionea katika...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika ulimalizika mjini Beijing wiki iliyopita, ambapo wakuu zaidi ya 50 wa nchi au serikali za Afrika walihudhuria mkutano huo, na...
1 Reactions
8 Replies
899 Views
Usiku wa kuamkia leo Jumatano Septemba 11, 2024 wagombea urais wa Marekani, Donald Trump (Republican) na Kamala Harris (Democratic) wamefanya mdahalo wa kutoa hoja zao mbele ya wananchi huku...
1 Reactions
8 Replies
744 Views
Baada ya kufuatilia kwa makini mkutano mkuu wa Democratic na kampeni za Donald Trump nimegundua kwamba Trump hatoweza tena kamwe kuupata uraisi wa Marekani anaoutamani. Historia ya maisha yake ya...
10 Reactions
145 Replies
4K Views
Kuna uzushi mwingi wa vijiweni kwamba raisi wa MAREKANI anapatikana na deep state na kwamba kuna kikundi kidogo cha watu sirini wanamteua raisi. Hii sio kweli. Raisi wa MAREKANI anapatikana kwa...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu habarini za muda huu, Kwenye raundi zangu mbili tatu huko mtandaoni, nilikutana na article kutoka CBS News ambayo inaelezea wakina nani walikuwa na marais wabovu zaidi kuwahi kutokea...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Iran ilikuwa dhaifu na imefilisika awamu ya Trump, Iran imekuwa tajiri na yenye jeuri ya pesa za kufadhili vikundi vya kigaidi awamu ya Biden. Trump aliiwawekea vikwazo vikali mno Iran ili...
1 Reactions
7 Replies
531 Views
Katika hali inayoonekana kwamba vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Marekani na marafiki zake dhidi ya Russia vinaanza kuitesa taifa hilo. Benki za Urusi zimeondoa kiasi cha yuan, kwa kiasi...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom