Simuoni Kamala Harris akishinda hizi States

Simuoni Kamala Harris akishinda hizi States

Boeing787-8

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2018
Posts
1,202
Reaction score
1,296
Ukisoma maoni ya wabeba box uko U.S.A. wengi Wana chuki na Trump. Na hao hao ndo wanadanganya hapa JF kuwa Kamala Harris atashinda kirahisi sana ukweli ni kwamba mchuano ni mkali kabisa.

Harris sio mjinga mpaka alilie second debate na Trump. Lakini Trump nae sio mjinga kukataa debate dhidi ya Harris.

Swing states 7 ndo zitaamua nani awe raisi ajaye wa marekani.

Kwa Trend inavoenda ni vigumu Harris kushinda hizi states. Arizona, North Carolina, Georgia na Pennsylvania.

Kama Trump ata shinda izo states nne basi atakuwa ameshinda US presidency.

Utabiri wangu Trump atamshinda Harris Kwa idadi ndogo ya Electrol votes.
 
Back
Top Bottom