Mlipuko Tel Aviv: Hii drone iliwezaje kupenya?

enzo1988

JF-Expert Member
May 26, 2018
1,048
4,431
Mapema leo huko Tel Aviv kumetokea mlipuko karibia na ubalozi wa Marekani na kusababisha majeraha.

La kujiuliza ni aina gani ya drone iliyotumika kwenye shambulio hili yaani watu wanastukia kitu kinalipuka na hakuna onyo lolote! Udini na mahaba weka pembeni!

‘Suicide drone’ explodes near US consulate in Tel Aviv – reports​

An explosion injured at least seven people in an area near the US consulate in Tel Aviv early Friday morning. A man in his 30s and a woman in her 20s were wounded by shrapnel and were taken to the hospital, while the others suffered lighter injuries, according to the Times of Israel.

The Israel Defense Forces (IDF) are investigating the explosion, which it suspects was caused by “an aerial target,” a military term it uses for drones, the Times of Israel wrote, adding that no air sirens were heard ahead of the blast.

Mapema leo huko Tel Aviv kumetokea mlipuko karibia na ubalozi wa Marekani na kusababisha majeraha.

La kujiuliza ni aina gani ya drone iliyotumika kwenye shambulio hili yaani watu wanastukia kitu kinalipuka na hakuna onyo lolote! Udini na mahaba weka pembeni...
Mkijibiwa hapo mtaanza kulia lia dunia nzima jinai ya waisrael kuua watoto na wanawake
 
Netanyau Jana ametembelea Rafah huko,

Hamas wanaishi kwa mateso mno imagine unaendelea kupoteza ndugu zako, majirani zako unawaona wakishi kwa mateso, hupati mahitaji Yako muhimu, unaishi shimoni kama panya, kutwa unawindwa ufe utakuwa kwenye Hali Gani?
 
Angelia Mandela aliyehukumiwa kifo na kufungwa miaka 27 kwa kudai nchi yake.

Wapalestina ni watu wa vitendo, siyo wa kulialia. Miaka zaidi ya 7 leo wanadai haki yao kwa mapambano aina yte unayoijuwa wewe na usiyoijuwa.
Watu wa vitendo Gani tena huku wanateketea?? Au vitendo vya kuzikwa na dhambi zao!?

Nyie mashabiki Maandazi wapuuzi sana!! Wewe mwenyewe unaandika ukiwa umejificha msikitini hapo Mbagala Rangitatu!!
 
Watu wa vitendo Gani tena huku wanateketea?? Au vitendo vya kuzikwa na dhambi zao!?

Nyie mashabiki Maandazi wapuuzi sana!! Wewe mwenyewe unaandika ukiwa umejificha msikitini hapo Mbagala Rangitatu!!
sasa kijana, kijiji kidogo kama Ghaza kinyukwe na USA, Uingereza na NATO yote na wengine kutoka India na kwengine, halafu mpaka leo bado wanahimili vishindo na kurudisha mapigo, ni wa kuwadharau hao?

Utakuwa ni poyoyo wa mwisho kutokuelewa kama Wapalestina na Wayemni ni mashujaa wa kuimbwa.
 
sasa kijana, kijiji kidogo kama Ghaza kinyukwqe na USA, Uingereza na NATO ypote na wasenge zao wengone kutoka India na kwengine, halafu mpaka leo bado wanahimili vishindo na kurudisha mapigo, ni wa kuwadharau hao?

Utakuwa ni poyoyo wa mwisho kutokuelewa kama Wapalestina na Wayemni ni mashujaa wa kuimbwa.
Madam shuka kwanza kwenye boda boda.unaandika vibaya vibaya mno.
 
Angelia Mandela aliyehukumiwa kifo na kufungwa miaka 27 kwa kudai nchi yake.

Wapalestina ni watu wa vitendo, siyo wa kulialia. Miaka zaidi ya 7 leo wanadai haki yao kwa mapambano aina yte unayoijuwa wewe na usiyoijuwa.
Wapalestina wanadai haki gani? Embu niambie kuna taifa lililowahi kuitwa palestina na mwanzilishi wa hilo taifa aliitwa nani ? Na lilianzishwa mwaka gani?
 
Angelia Mandela aliyehukumiwa kifo na kufungwa miaka 27 kwa kudai nchi yake.

Wapalestina ni watu wa vitendo, siyo wa kulialia. Miaka zaidi ya 7 leo wanadai haki yao kwa mapambano aina yte unayoijuwa wewe na usiyoijuwa.
Mandela hafanani na magaidi wa hamas wewe Mandela hakudai uhuru kwa kubaka watu, kuchoma moto watoto wadogo , kuteka watu , na hakujificha shuleni, hospitalini kuhatarisha maisha ya watu wake
 
Back
Top Bottom