International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Nigeria, nchi tajiri kwa mafuta na gesi barani Afrika, imetangaza pia kuwa itaanza kuuza mafuta ghafi kwa sarafu ya ndani badala ya dola ya Marekani, ambayo bado inatumika sana katika biashara za...
6 Reactions
74 Replies
3K Views
Sisi waafrika tumelaaniwa na sidhani kama Mwenyezi Mungu alituumba na akili sawasawa. Ona Paul Kagame anavyotumiwa na nchi za Magahribi kuiba na kuua wacongo. Ninavyojua mimi wanamtumia ti...
1 Reactions
4 Replies
777 Views
Wanaukumbi. ⚡️Vyombo vya habari vya Kiebrania: Hillel Bitton Rosen: Ndani ya bomba la maji taka-hivi ndivyo askari wetu walivyoonekana leo, mara mbili, wakati wa operesheni za kengele katika...
6 Reactions
7 Replies
894 Views
Mfumo wa Arrow 1,2,3 na Iron dome kushindwa kuzuia makombora ya Ballistic ya Iran kwenye anga la Israel na mwishowe baadhi kupenya na kufikia ardhi ya Israel kamati ya vita ya IDF ilikubalina na...
10 Reactions
68 Replies
4K Views
Wadau hamjamboni nyote? Netanyau atembelea kambi ya Jeshi la Israel huko milima ya Golan. Ni kambi ile ilotandikwa Kwa drone za Hezbollah na kuleta maafa Kwa Jeshi la Israel. Netanyau amesema...
6 Reactions
95 Replies
5K Views
Wadau hamjamboni nyote? IDF inaendelea na majukumu yake bila kupoa MUHAMMAD KAMEI NAIM Kamanda Mkuu kitengo cha makombora ya kulipua vifaru cha Hezbollah ameliwa kichwa muda mfupi uliopita Mungu...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Hezbollah wamefanya shambulio la drone kutokea Lebanon na kupiga kambi ya jeshi ya Golan Brigade Base katika Jiji la Haifa ambapo wanajeshi zaidi ya 40 wamejeruhiwa na wengi wakiwa kwenye hali...
15 Reactions
135 Replies
7K Views
Libya kama kawaida yao, wamewalaza wachezaji wa timu ya taifa, Nigeria Uwanja wa Ndege kwa zaidi ya saa 12 bila chakula wala vinywaji, wakaona haitoshi wamewapa Hiace (basi dogo) kuchukua timu...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Utafiti mpya uliofanywa na Chuo Kikuu cha Queen’s, Belfast, umebaini kuwa nchini Uingereza, idadi ya watu wasioamini uwepo wa Mungu imezidi wale wanaoamini. Matokeo haya yanatokana na utafiti wa...
0 Reactions
6 Replies
632 Views
Ukisikia wanaume wapo kazini ndo hii sasa. Kwa siku pekee ya Jumapili Hezbollah wamefanya operesheni 38 dhidi ya Israel na kusababisha vifo na majeruhi zaidi ya 138 ndani ya Israel kwa siku moja...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
My TakeDemocrats wamekalia Kuti Kavu na Obama aliyemshinikiza Biden kuachia ngazi ajiandae.👇👇 https://www.instagram.com/p/DBGQTITKnL1/?igsh=eDdpNWh0YThuN2Rv
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha! Mayahudi wamecharuka! Kufuatia shambulizi baya kabisa kwenye kituo cha mafunzo cha Jeshi la Israel huko milima ya Golani jana usiku, Jeshi la Wanahewa la...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Iran under INTENSE cyber-attack. ALL critical infrastructure affected! Hal Turner World October 11, 2024 Reports are starting to come in CLAIMING Iran is now under intense cyber-attack. The...
7 Reactions
91 Replies
5K Views
Ki ukweli, kama ipo Nchi Duniani inapambana na hali yake kwa kiwango kisichoelezeka, ni Israel. Kuanzia Kusini, Magharibi, Kaskazini na hata Mashariki, Israel kila uchwao anapambania uhai wa...
2 Reactions
8 Replies
491 Views
Wadau hamjamboni nyote? Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau ameicharikia UN na kuitaka iondoe mara moja majeshi yake Lebanon akiashiria yamekuwa kikwazo kwenye operesheni za kijeshi dhidi ya...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Wanakumbi. YERUSALEMU Takriban wanajeshi 10,000 wa Israel wameuawa na kujeruhiwa tangu kuzuka kwa mzozo wa Gaza Oktoba 7 iliyopita, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Israel siku ya Jumapili...
11 Reactions
94 Replies
4K Views
Wakuu Salama! Nimeshangazwa na hii taarifa yani mshikaji kampiga kisu mwezie kisa alidhani ni shetani. Mhhh hii sasa inatisha sana. ==================== Mwanamume mmoja wa New Orleans Nchini...
1 Reactions
1 Replies
287 Views
At least 18 people have been killed in an Israeli air attack on northern Lebanon, the Lebanese Red Cross says. Israel air attack on northern Lebanon kills at least 18 At least 18 people have...
0 Reactions
3 Replies
544 Views
Hakuna linaloshindikana mbele ya Allah, haijalishi una udogo kiasi gani kukiwa na mkono wa Allah utawashinda wakubwa wanaoungana kukuchangia, Israel ni ka nchi kadogo lakini imeweza kuushangaza...
9 Reactions
60 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: BBCIsraeli strikes killed 51 on Sunday, Lebanese health ministry says published at 07:46 British Summer Time 07:46 BST The...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom