International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Habari ndiyo hiyo kwa sasa, Iran pamoja na axis of resistance aka muqawama watamjibu Israel kwenye operesheni promise 3 Safari hii achomoki mtu [emoji298]️BREAKING The entire Axis of...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Israel akirudisha mashambulizi kutokana na ugaidi anaofanyiwa mnawaita wauaji. Ooh, tushaelewa kwa nini. Turkey ni wale wale itikadi kali wenzenu ndio maana mko kimya.
5 Reactions
133 Replies
5K Views
Uchaguzi unaoendelea huko Marekani umeonyesha kila aina ya rangi. Wakati wagombea wote wakichuana vikali, na huku ikionekana kuwa kura za waislamu na waarabu katika swing states kama vile michigan...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
#Lebanon’s Prime Minister Najib Mikati has criticised #Israel’s “expansion” of its attacks on his country, saying it indicates the Israeli rejection of a ceasefire after more than a month of war.⁠...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Mahakama ya Juu imefungia Akaunti za Benki za Kampuni ya Huduma za Intaneti ya #Starlink inayomilikiwa kwa ubia na Mfanyabiashara Bilionea #ElonMusk ambaye pia ni mmiliki wa Mtandao wa X (zamani...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Tukisema huwa wanaficha madhara huwa mnatuona labda tunadanganya,wamemkamata na kumfungulia mashtaka eti kwa kosa la kuripoti kuwa makombora ya Iran yalilenga kambi zao!! [emoji1134][emoji631]...
9 Reactions
70 Replies
3K Views
Habarini wanajukwaa, hebu leo namimi #kimsboy nichambue haya mataifa mawili uimara wake na udhaifu wa nchi hizi kijeshi na kiulinzi. TUNAANZA NA IRAN Tukianza na Iran ana jeshi kubwa sana...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Tokea Israel ajaribu kuivamia Lebanon zaidi ya wanajeshi wake 300 wameangamizwa na majeruhi ni maelfu Mfano jana tu kikosi hatari cha makomandoo wa Hezbollah cha Redwan forces kiliingia Israel na...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Vyombo mbalimbali vya habari Nchini Israel na Iran vimeripoti hii Leo kuwa Iran inajiandaa kuishambulia Israel kwa makombora ya ballistic. Imeelezwa kuwa hii Leo Iran imehamisha makombora yake...
14 Reactions
122 Replies
6K Views
Baada ya kuhit targets za Haifa sasa Hezbollah wameanza kuichakaza Israeli Iko wapi ile mifumo bora dunian kama mtuaminishavyo?? #UPDATE[emoji599] Hebrew media: “The calmness of Hezbollah...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Karibia kila siku roketi na drones zinarushwa israel kutokea Lebanon. Hezbollah wamekuwa na mashambulizi ya mfululizo wa kurusha drones na makombola israel. Israel hawajawahi kupata changamoto...
10 Reactions
43 Replies
2K Views
Inaripotiwa chama tawala cha BDP chini ya Rais Masisi nchini Botswana kimepoteza madaraka kwa Upinzani katika uchaguzi mkuu nchini humo na hatimaye kuhitimisha utawala wake wa miaka takribani 60...
20 Reactions
121 Replies
5K Views
JESHI la Israel limemuua kiongozi mwingine wa kikosi maalum cha kundi la Hezbollah, Mustafa Ahmad Shahadi katika shambulizi lililofanywa eneo la Nabatieh kusini mwa Lebanon. Taarifa ya jeshi la...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Jina lake kamili ni Olukemi Olufunto Adegoke; alizaliwa Uingereza (Jan 2, 1980)na Wazazi wake ambao ni Wanaigeria wakiwa Uingereza walikoishi kwa muda mfupi. Jina la Badenock ni la Ukoo wa Mumewe...
0 Reactions
1 Replies
287 Views
Mwaka 1947 umoja wa mataifa uliweka mipaka kati ya waarabu na wayahudi. upande wa waarabu ukaitwa Palestina kwa mara ya kwanza (jina walilopewa waarabu enzi warima wakkitawala Israel), upande wa...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
‼️ S-500 Anti-aircraft Reach Russia has deployed S-500 air defense systems in Crimea. Here are some basic specifications to consider in relation to the S-500: The S-500 has a 600km range in an...
16 Reactions
24 Replies
2K Views
Ifike mahali wakataliwe na Kila jamii na Dini zote wanasababisha miji mizuri Kama kuharibiwa Labda MTU mwenye Sababu zenye akili za Hizbola kushambulia Israel azieleze hapa Pia mwenye sababu za...
9 Reactions
277 Replies
8K Views
Wajuzi T14 Armata 100 others and 100 others ILAN RAMON Mtu asiyejulikana, anayeaminika kuwa mpelelezi kutoka nchi ya kigeni, anatuhumiwa kwa kuendesha operesheni ya upelelezi inayolenga kambi za...
9 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakuu jana jioni nimecheka sana. Yule jamaa aliyeongoza jopo la watu walionisomea Albadiri iliyogonga mwamba (Wameahidi leo saa 10 watanisomea Albadiri. Ninasubiri kwa hamu kubwa sana) jana kaja...
18 Reactions
23 Replies
1K Views
Mayahudi hawajaacha kuua maarabu. Kamanda mwingine Mkubwa wa Hezbollah leo hii amewahi kwenda ku enjoy. Apewe haki yake asipunjwe hata kidogo.
11 Reactions
45 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…