Chama tawala chini ya Masisi chapoteza madaraka katika uchaguzi Botswana baada ya miaka 58

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
46,609
66,792
Inaripotiwa chama tawala cha BDP chini ya Rais Masisi nchini Botswana kimepoteza madaraka kwa Upinzani katika uchaguzi mkuu nchini humo na hatimaye kuhitimisha utawala wake wa miaka takribani 60,

Hiyo itamfanya Masisi kuwa Rais wa kwanza kutawala kwa awamu moja tu baada ya kufurushwa na raia katika sanduku la kura.

----
Bot.jpg
Voters in Botswana have rejected the country’s long-serving governing party in a result that marks a political earthquake in the diamond-rich southern African nation.

The Botswana Democratic Party (BDP) – in power since independence in 1966 – has won only one parliamentary seat as of early Friday morning, early election results show.

President Mokgweetsi Masisi has accepted defeat, saying that it was clear his BDP party had lost "massively".

“I will respectfully step aside and participate in a smooth transition process ahead of inauguration,” Masisi said in a press conference on Friday.
Advertisement

He has urged his supporters to remain calm and rally behind the new government.

The Umbrella for Democratic Change (UDC), led by human rights lawyer Duma Boko, has won 25 seats, according to the early tallies.

The party looks set to form the government as it is projected to pass the 31-seat

The Botswana Patriotic Front (BPF), supported by former President Ian Khama, has secured five seats while the Botswana Congress Party (BCP) has so far won seven seats.

The three opposition parties have together won more than 31 of 61 parliamentary seats, meaning the BDP has no chance of winning a majority.

As MPs elect the president in Botswana, Boko is on course to become the next head of state once parliament meets for the first time.

UDC supporters have been celebrating in the capital Gaborone and other parts of the country.

Official results are expected to be announced by the Independent Electoral Commission later Friday.

Despite overseeing a dramatic change in Botswana, recent poor economic growth and high unemployment dented the BDP’s popularity.

Masisi – in office since 2018 – led the BDP’s failed campaign.

The president ran on a message that his party could bring about “change”, but not enough voters were convinced the BDP could do what was needed for the country.
 
FRELIMO nayo ilitakiwa ifurushwe ili bongo nayo ione kumbe inawezekana kuipumzisha ccm iliyotawala muda mrefu nayo ikatolewa kwa heshima kutumia sanduku la kura. BDP imeonesha njia, ikajipange huenda ikarudi tena uchaguzi ujao
Chiluba alifanya siku nyingi,na bado CCM inadunda tu,anzisheni chama kitachounganisha dini na makabila yote,siyo chama cha wachaga na wachungaji,hamtopata nchi ng'o
 
Inaripotiwa chama tawala cha BDP chini ya Rais Masisi nchini Botswana kimepoteza madaraka kwa Upinzani katika uchaguzi mkuu nchini humo na hatimaye kuhitimisha utawala wake wa miaka 60,

Hiyo itamfanya Masisi kuwa Rais wa kuwanza kutawala kwa awamu moja tu baada ya kufurushwa na raia katika sanduku la kura.
Demokrasia ni kiini cha maendeleo.
 
Inaripotiwa chama tawala cha BDP chini ya Rais Masisi nchini Botswana kimepoteza madaraka kwa Upinzani katika uchaguzi mkuu nchini humo na hatimaye kuhitimisha utawala wake wa miaka 60,

Hiyo itamfanya Masisi kuwa Rais wa kuwanza kutawala kwa awamu moja tu baada ya kufurushwa na raia katika sanduku la kura.
Ni vizuri, ni Habari njema Sana hii kwa sisi wapenda haki na wapenda demokrasia.

Bongo ni kinacho webaba CCM ni wizi wa kura tu lakini nawambia kabisa CCM hawana uwezo wa kushinda kwa halali
Bongo ni kinacho webaba CCM ni wizi wa kura tu lakini nawambia kabisa CCM hawana uwezo wa kushinda kwa halali
Uzoefu duniani kote kabisa unaonyesha kwamba Vyama tawala vyenye siasa za Itikadi ya Ukomunisti/ Ujamaa huwa haviondoki madarakani kwa njia ya demokrasia au kwa njia ya kura. Mifano ipo mingi Sana.
 
Alikuwa na kiburi sana kwa wananchi, alishawahi kuwajibu wananchi kuwa dawa za arv anazowapa bure wananenepeana ndio zinawapa kiburi
Ni arrogant sana, wananchi walikuwa wanamchukia kwa kiburi chake, yule mzungu pori bado wanamkubali sana
 
Ni vizuri, ni Habari njema Sana hii kwa sisi wapenda haki na wapenda demokrasia.

Uzoefu duniani kote kabisa unaonyesha kwamba Vyama tawala vyenye siasa za Itikadi ya Ukomunisti/ Ujamaa huwa haviondoki madarakani kwa njia ya demokrasia au kwa njia ya kura. Mifano ipo mingi Sana.
BDP ya Botswana haina itikadi ya Ukomunisti, Botswana ni taifa liberal la kibepari tangu uhuru.
 
FRELIMO nayo ilitakiwa ifurushwe ili bongo nayo ione kumbe inawezekana kuipumzisha ccm iliyotawala muda mrefu nayo ikatolewa kwa heshima kutumia sanduku la kura. BDP imeonesha njia, ikajipange huenda ikarudi tena uchaguzi ujao
Ccm ikifurushwa nchini Tanzania automatically na FRELIMO nayo itakuwa imefurushwa nchini Msumbiji, kwa sababu uhai wa FRELIMO kuwepo madarakani hutegemea Moja kwa Moja na uhai wa Ccm kuwepo madarakani.
Kuiua Ccm ni kuiua FRELIMO,kwani hao ni mapacha ambao wana-share moyo mmoja.
 
Bongo ni kinacho webaba CCM ni wizi wa kura tu lakini nawambia kabisa CCM hawana uwezo wa kushinda kwa halali
Ukiachana na wizi wa kura bongo bado wajinga ni wengii sana
Kuna maeneo ccm inashinda kihalali kbs

Mtaji mkubwa wa ccm ni hao wajinga na bahat mbaya ndio walio wengi kwenye iyo nchi na kuwafanya ccm wawe na uhakik wa kukaa madarakan kwa mda mrefu ujao
 
Ukianzisha chama kwa bongo hii ukitaka win,egemea dini zote,bila dini hutoboi,ukiegemea dini moja hutoboi
You are completely wrong and out of point.
Paramilitary Politics is the only suitable and the most important means of doing the winning politics in Tanzania. Out of that, there's nothing will be possible to defeat the ruling party of Ccm.
 
Back
Top Bottom