Wanadai Iran ndo ilishambulia makazi ya Netanyahu
Weledi wa mambo tunafahamu ukweli kuwa ile operesheni yao kuishambulia Iran ilifeli so wanataka kurudia upya!!
Wakati huo huo Iran imetangaza...
Operesheni True Promise 3 inakuja Safari hii wazayuni wakimbie nchi tu maana Iran inaenda kufanya jambo zito
Hawa Wairan ni vichaa ile Sera ya Israel ya ukiua mwisrael mmoja kwenu wanakufa watu...
Utangulizi
Za leo wana JF.
Kama kawaida yangu katika kuelisha watanzania ili waweze kuijua kweli.
Matishio haya na uvumbuzi wa hizi silaha za maangamizi hayana nia njema katika dunia yetu hii...
Serikali ya Kisiwa cha Mauritius imezuia upatikanaji wa Mitandao ya Kijamii kuanzia leo Ijumaa, Novemba mosi hadi Novemba 11, 2024 Siku chache kabla ya Uchaguzi Mkuu
Taarifa iliyotolewa na...
Kampuni ya Google imepigwa faini ya rubles bilioni 2 (takriban $2.5 decillion) nchini Urusi kwa kukataa kufungua akaunti za pro-Kremlin na vyombo vya habari vya serikali, kama ilivyoripotiwa na...
Zaidi ya wanajeshi 40 wa Chad wameuawa baada ya kituo chao kuvamiwa Jumapili jioni, ikulu ya Chad imesema. Rais Mahamat Déby ameagiza operesheni ya kufuatilia wahusika, kwa mujibu wa taarifa...
Wadau hamjamboni nyote?
Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo:
Times of Israel:
November 1, 2024
Germany urges citizens to leave Iran due to risk of hostage taking
By Reuters
Today, 1:10 pm...
Katika vitu vinavyochekesha na kuuzunisha ni kuona kundi la watu fulani wakichukulia usa poa sana
Wengine kwa akili zao wanafikiri ni taifa dhaifu sana
Any way tuombe tu Mungu amani iwepo duniani
Korea Kaskazini imezindua kombora jipya la masafa marefu ambalo ukubwa wake umeshangaza hata wachambuzi wa masuala ya silaha ya nchi hiyo. Mtaalam wa masuala ya ulinzi Melissa Hanham anaelezea...
Katika shambulio la wiki iliyopita dhidi ya Iran, Israel iliharibu mifumo yote ya juu zaidi ya ulinzi wa anga na kuuacha utawala huo "uchi" kwa mujibu wa maafisa.
Maafisa wa Marekani na Israel...
Miaka michache iliyopita ilikuwa huwezi kuzungumzia vita kati ya Uchina na Marekani lakini hivi sasa tayari hilo halipo na kinachozungumzwa ni vita kati ya mataifa mawili makubwa zaidi duniani...
Jana katika kusherehekea Halloween, akiwa White House, Rais Biden alionekana akivinusa vitoto vilivyokwenda kusherehekea.
Pia, alionekana akijaribu kuving’ata. Kuna wakati alionekana akiingiza...
Wadau hamjamboni nyote?
Kikao ni kesho usiku kuanzia saa 3 usiku huko Tel Aviv
Hofu dhidi ya shambulizi la Iran yatajwa! Taarifa zaidi kukujia.
Times of Israel:
========
November 1, 2024: PM...
Wanaukumbi.
Mambo yamekuwa magumu kwa Israel, sasa wanataka makubaliano hamna tena habari za malengo ya Netanyahu.
Nguvu sio kiini cha kila kitu
Kutambua wajibu wetu wa kimaadili na kimaadili...
Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu ya Nigeria (NHRC) na watetezi wa haki za binadamu wameomba ulinzi wa haki za kidigitali za wananchi kufuatia ongezeko la udhibiti, uingiliaji na unyanyasaji...
LATEST UPDATES:
Newly appointed Hezbollah leader vows to continue Nasrallah’s war against Israel
By Gianluca Pacchiani Follow
Today, 4:00 pm
In his first address after his appointment as new...
Mnadhimu wa Jeshi la Wanamgambo Israel amekoswakoswa na kuuwawa baada ya nyumba aliyokuwemo kulipuliwa na Wanajeshi wa Hamas. Lt Gen Halev alikua katika majukumu yake ya kukagua wanamgambo katika...
Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yatafanyika hivi karibuni mjini Shanghai. Ili kutekeleza kihalisi hatua za ushirikiano zilizofikiwa kwenye Mkutano wa Kilele wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.