Katika ulimwengu huu wenye ubabe mwingi sana wa kitecholojia na uchumi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu.
Wamarekani wengi watamchagua Donald Trump ikiwa ni pamoja na vijana wasaka ajira...
Kuna watu wana uelewa mdogo sana kuhusu uwezo wa USA kiichumi, kivita, silaha, technology. Ukweli unabaki pale pale kwamba hakuna taifa lolote linalomsogelea MAREKANI kwenye:
a) Uchumi
b)...
Unajua "ideology" ndio pumzi ya mwanadamu katika jamii.
Inaweza kuumpa maisha au ika mpotozea maisha.
Kuna wakati Waarabu ndio waliongoza katika sayansi, uvumbuzi na ubunifu ambao hadi leo...
Mwanamke mmoja wa Irana aliyejulikana kama Ahou Daryaei amezua gumzo Teheran nchini Iran baada ya kutokelezea mtaani akiwa na nguo za beach kupinga ukandamizaji unaofanywa na polisi wa maadili wa...
Iranian woman strips clothes in protest after being assaulted for improperly wearing hijab - report
University officials claimed that the woman was suffering from "severe mental pressure...
Baada ya shambulizi la Israel dhidi ya Iran kuzuiliwa na mifumo ya anga ya Iran inaoneka wafuasi wa taifa teule wa humu JF hawaamini ndo maana kila dakika wanaanzisha nyuzi za kujifariji.
Mara...
Israel inapata kiburi cha kuua watoto na wanawake kwa misaada ya magharibi. Bila hivyo isingelithubutu,…
Msikiliza professor huyu akisema Iran ilikuwa imetengeneza silaha hizo kujihami na ubeberu...
asili ya mgogoro huu siyo dini bali ni ardhi. Wanagombania ardhi ya kuiita nyumbani, hawagombanii dini.
Israel ni nchi moja inayokaliwa na watu ambao hawajakubaliana kuishi pamoja, wayahudi na...
kama unakumbuka zile ngumi za zamani za utoto wetu unaanza kwa kuputa mchanga, kuchora mstali na kujipanga kunyukana .
leo hii Iran na wapambe wake wameputa mchanga kupigana na na Israel. Basi...
Amini au usiamini, kuna kila dalili kuwa huenda makundi ya wanawake, waarabu, waislamu na wahamiaji wanaelekea kumpa Kamala Harris urais wa USA kirahisi kabisa. H
Haya ndio maoni ya wachambuzi...
Israeli ilifanya mashambulizi makubwa dhidi ya Iran Jumamosi asubuhi, kama sehemu ya kisasi chake dhidi ya shambulio la kombora kutoka Tehran mapema mwezi huu.
Shambulizi hilo kutoka kwa Iran...
Habari wakuu.
Kuelekea uchaguzi wa Marekani kuna kitu nimejaribu kuwaza,
Sote tunazijua sera za Trump sio mtu wa kupenda mavurugu vurugu ndito maana hata uchaguzi uliopita alishinda ile deep...
Wanaukumbi.
Bunge la Marekani limepitisha kitendo ambacho kinapiga marufuku kabisa kuongea na kupinga Israel.
Hata ukihubiri sehemu za biblia zinazosema wazi siku ambazo Wayahudi walimuua Kristo...
Msemaji ofisi ya Waziri Mkuu Israel na Maofisa wanne Jeshi la Israel wamekamatwa kwa tuhuma za kuvujisha nyaraka za siri kutoka ofisi ya Waziri Mkuu
Wadau hamjamboni nyote?
Jisomeeni wenyewe...
Magaidi wa Hezbollah Wameamua kukimbia na kuyaacha maeneo yao baada ya kupata ki pigo kikali kutoka majeshi ya Israel.
Huko Lebanon kusini. Kitendo hicho cha Israel kimesababisha kilio huko...
Msemaji wa Jeshi la Yemeni maarufu kama Houthis brigadier Jenerali Yahaya Saree, amesema kuwa Wanazo taarifa za kiintelijensia kuwa Serikali ya kigaidi ya Israel imeanza kufanya ujanja wa kuuza...
Video ya Hayati Anwar Sadat anasema Siwezi kamwe kuhatarisha hatima ya Egypt kwa sababu ya tabia yao ya kitoto. Anawalaumu viongozi wa Palestina kwa kukutaaa makubaliano ya Camp David. Anasema...
Anafurahi tu anavyogonga mbele na nyuma kwa magaidi. Amekaa tu anapiga stories na washkaji kitaa. Wanampa tano na kupiga naye stories jinsi anavyo fanya micharazo.
Habari ndio hio Al Hourh wa Yemen wamepeleka majeshi yao Al Hudaida bada ya kusikia fununu Saud Arabia. UAE. USA na Israel wamejipanga kuishambulia Al Hudaida. Saud Arabia kisha jiandaa na ground...