Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, amemteua Ahmadou Al Aminou Lo kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo.
Ahmadou Lo, ambaye aliwahi kuwa kiongozi mkuu katika Benki Kuu ya Mataifa ya Afrika...
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameomba kuahirisha kutoa ushahidi katika kesi yake ya ufisadi ya muda mrefu ambayo ilipangwa kuendelea wiki ijayo, akitoa sababu ya hali ya usalama inayoendelea...
Wameanza kulia kulia na kuweka vikao kujadili silaha iliyotumika
used a powerful hypersonic Oreshnik ballistic missile in an overnight missile and drone attack on Kyiv, Ukrainian President...
Watu watano wamefariki dunia katika shambulio dhidi ya msikiti mmoja huko San Diego nchini Marekani, baada ya washukiwa wawili kuvamia eneo hilo kabla ya kujitoa uhai kwa kujipiga risasi.
Waumini...
🇮🇱🇮🇷➡️ The IAF has eliminated someone important in the heart of Tehran.
Rumours say it was Mohammad Bagher Ghalibaf, the president of the Iranian parliament.
We will find out soon enough but...
Msemaji wa wizara ya Mambo ya Nje wa Iran, Esmaeil Baghaei:
Ukweli kwamba tumefikia hitimisho kuhusu sehemu kubwa ya mada zinazojadiliwa ni sahihi.
Hata hivyo, kusema kwamba hii ina maana kwamba...
Urusi pia ilirusha makombora mawili ya masafa ya kati ya Oreshnik yenye risasi za MIRV kuelekea eneo la Kiev, huku picha zikionyesha athari nyingi za kuingizwa tena karibu na Bila Tserkva...
Spika wa bunge la Senegal ametangaza kujiuzulu nafasi yake, siku mbili tu baada ya mshirika wake wa karibu kufutwa kazi kama Waziri Mkuu, hatua inayozidisha mzozo wa kisiasa nchini humo.
Uamuzi...
Aliyekuwa Waziri wa Uhusiano wa Kimataifa na Ushirikiano wa Afrika Kusini, Naledi Pandor, pamoja na familia yake, walivamiwa na kushikiliwa kwa mitutu ya bunduki na majambazi wenye silaha nyumbani...
Kituo cha Rwampara kilichomwa moto na vijana wenye hasira wakati wakijaribu kuchukua mwili wa rafiki yao aliyedhaniwa kufa kwa Ebola, kwa mujibu wa ushahidi wa mtu mmoja aliyezungumza na shirika...
Siku ya jumatano, waislamu waliokuwa kwenye ibada, walishambuliwa kwa bomu na watu wasio julikana hapo NIGERIA
kwanini katika mAPIGAno na BOKO HARAM tunaweka wakristo mbele huku waislamu...
Ripoti mpya ya Axios inasema makubaliano yanayoibuka kati ya utawala wa Trump na Iran yanaweza kujumuisha Tehran kutoa akiba yake ya urani iliyoruyubishwa, kusimamisha urutubishaji wa urani kwa...
Baada ya Ukraine kuwashambulia URUSI kwa drones na kwenda kupiga kwenye Shule ya Watoto wa Primary usiku wa kuamkia Jana, leo Rais Putin kaidhinisha vikosi vyote vya Nyuklia kuanza mazoezi na...
The impending expiration of the current nuclear arms agreement between the United States and Russia on February 5, 2026, also called New START, would leave the countries without any cap on the...
Jana, tarehe 22 Mei 2026, ulimwengu wa siasa za Afrika Magharibi umeshuhudia mtikisiko mzito baada ya Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, kumfuta kazi Waziri Mkuu wake, Ousmane Sonko, na...
Ijumaa ilopita Iran wamezungumza na shirikisho la kandanda Duniani FIFA kuomba kuhamisha timu yake ta taifa ya kandanda na maofisa wote wanoandamana na timu hiyo nchini Mexico, baada ya kukikiri...
Wakati Mkurugenzi wa CIA John Ratcliffe alipotembelea Havana wiki iliyopita kwa mkutano wa nadra na maafisa waandamizi wa Cuba, aliambatana na mmoja wa opereta waliohusika katika operesheni ya...
Israel imeeleza kuwa kumekuwa na video inayozunguka Duniani ikimwonesha askari wa IDF akivunja msalaba wenye sanamu ya Yesu Kristo nchini Lebanon. Serikali ya Israel imeekeza kuwa kitendo hicho ni...
Ndege zisizo na rubani za Ukraine za masafa marefu zilishambulia kiwanda cha Metafrax Chemicals katika eneo la Perm nchini Urusi, takriban kilomita 1,700 kutoka mpaka wa Ukraine, katika mojawapo...